Search results

  1. M

    CDF mteule Jenerali Mkunda ni Mkagulu toka Wilaya ya Gairo

    Acha ukabila ndugu yangu. Huyu ni mtanzania. That is all
  2. M

    Nimekuwa mkubwa, Nifanye kazi gani?

    Ni muhimu ukaishi maisha yako. Fanya kitu ambacho utafurahia kukuifanya huku unaingiza kipato. Ni vizuri ukaangalia moyo wako unapenda kufanya nini.
  3. M

    TANZIA Profesa Honest Ngowi afariki dunia kwenye ajali Mlandizi Pwani. Alikuwa mhadhiri Chuo Kikuu Mzumbe

    Pole kwa familia, jumuiya ya Mzumbe, vyombo vya habari alivyokuwa anashirikiana navyo na watanzania waliokuwa wanamfuatilia kupitia vyombo vya habari. Maisha ya Prof Ngowi yameisha kwa ghafla sana, kama kwa kukatizwa hivi,kweli Mungu una siri kubwa. tunafajikika kuwa kazi zake zitaendelea kuishi
  4. M

    Spika Ndugai ameeleweka vibaya, alikuwa hailengi Serikali ya Samia

    Uko sahihi, nimsikiliza kwa makini nimeona unachosema ni shihi
  5. M

    Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni

    Isanga family Kauli yako haileweki. Swali lilikuwa lipi bora tozo au mikopo? dhambi ipo wapi kwenye kuhoji hilo?
  6. M

    Nimepigwa na kitu kizito! Nimehudumia mtoto mwaka mzima kumbe sio wakwangu

    Inawezekana huyo mtoto hata siyo wa Balele. Check DNA
  7. M

    Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Mbona laana tena? Watu wazungumze hoja, majibu yako yanaonyesha chuki uliyonayo wewe
  8. M

    Miaka 35 huna familia, gari, nyumba wala mashamba... Unategemea miujiza gani kutoka Mbinguni?

    Uko sahihi asilimia 100. Cha muhimu mtu awe na malengo na taswira ya mafanikio yake na asikate tamaa. Hiyo kauli ya miaka 35 ni ya kukatisha tamaa na haifai kukubaliwa na wapiganaji.
  9. M

    Kuipa Dodoma hadhi ya Jiji ni lazima kujadiliwe

    Nakubaliana na wewe asilimia 100. Aombe msamaha wakazi wa jiji la Dodoma. Mimi nafahamu makao makuu ya mikoa yote bara na visiwani yakiwemo majiji yote matano. Lugha iliyotumika na huyu bwana ni ya dhihaka
  10. M

    Kuipa Dodoma hadhi ya Jiji ni lazima kujadiliwe

    Kwa kuangalia vigezo hivi Dodoma inastahili kuwa jiji.
  11. M

    Hivi mwanaume anapovaa hereni anamaanisha nini?

    Ukiacha, makabila machache kama wamasai na wagogo, ambapo kwa wagogo utamaduni huu unaisha, uvaaji wa hereni ulikuwa kwa wanawake zaidi. Wanaume wanaovaa hereni wanatumiwa kama wanawake. Uvaaji wa hereni unauhusiano mkubwa na ushoga na ubasha. Tena inasemekana sikio la kulia lina maana yake...
  12. M

    Zimbabwe: Rais Robert Mugabe ajiuzulu Urais kabla ya Bunge kumuwajibisha

    Hongera kwa watu wa Zimbabwe na nchi nyingi za Kiafrika. Kitu kimoja kinatakiwa kueleweka kwetu. Awamu ya kupigania uhuru wa Bendera imeisha na kwamba waliopigania uhuru walifanya kazi kubwa na wanapaswa heshima, lakini kisiwe kigezo cha wao kuendelea kung'ang'ania madaraka kwani inawezekana...
  13. M

    Tetesi: Prof. Kitila Mkumbo kuchuana vikali na Nyalandu jimboni

    Wewe pia unajua Nyalandu wa Tulu na Kitila wa Iramba. Kitila ni mgeni kwa jimbo la Nyalandu
  14. M

    Jacob Zuma asema Mugabe yuko kizuizini Zimbabwe

    Mimi ni mtanzania ni siyo tahira. Acha kulaani nchi yako, wala usijilaani mwenyewe, ushindi kwa wanaoupenda unahitaji positive attitude
  15. M

    Usichokijua kuhusu maporomoko ya maji Kalambo falls Sumbawanga

    Nchi hii ina utajiri mwingi na vivutio vya kutosha kwa watalii, mikoa hii ya Rukwa na Katavi imezungukwa na mbuga za wanyama lakini havitangazwi saana. Katavi yenyewe ina tembo wakubwa sana, kuna visiwa vilivyojengwa hoteli na watu wa wanje na sidhani hata tunapata kodi ipasavyo, mfano kisiwa...
  16. M

    UGANDA: Watanzania 13 wa familia ya Gregory Teu, wafariki katika ajali. Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi

    Poleni familia ya Teu, Mungu awape uvumulivu na faraja wakati huu mgumu kwa familia
  17. M

    Siku ya 7: Tundu Lissu bado amelazwa ICU na hawezi kula, kuamka na kuzungumza na yeyote

    Tunaendelea kumuomba Mwenyezi Mungu, afya ya TL iendelee kuimarika. Tunawaombea madaktari umakini mkubwa na ufahamu wa ziada ili waendelee kutoa huduma mwafaka. Tunawaombea wanao muuguza Mungu awaongezee busara nyingi wakati huu na upendo mkubwa utaokaompa afya TL. Upendo wa Mungu haujapungua...
Back
Top Bottom