Search results

  1. sizy

    Bi. Anna, avunjwa mkono na askari polisi Manyoni

    Askari polisi anayejulikana kwa jina la Ester ambaye anafanya kazi katika ofisi ya polisi Manyoni amempiga na kumvuja mkono bi Anna anayeishi katika mtaa Kaloleni. Taarifa za awali zina sema kwamba Polisi huyo alifika nyumbani kwa bi Anna kwa ajili ya kumkamata kwa sababu ya kutuhumiwa na...
  2. sizy

    Taifa njiapanda,tuchukue hatua kwa maslahi ya vizazi vijavyo

    Chama changu kinajipambanua kiubaga ubaga kwenye itikadi na falsafa yake ! Tutasimama kusimamia raslimali za nchi hii, twendeni na ACT-Tanzania chama cha wazalendo.
  3. sizy

    ACT-Tanzania yapiga hatua mbele kubwa sana

    Hichi chama kitawatesa sana wahafidhina kwani hawaamini yanaowatokea kwa sasa. Nguvu nyingi wametumia kukidhoofisha lakini wanambulia patupu
  4. sizy

    Nahitaji kusafiri kwenda Msumbiji

    Ndugu wana bodi naombeni msaada, Nahitaji kusafiri kwenda msumbiji, mimi ni Mtanzania, je ninahitaji visa? ni mahitaji gani yanatakiwa? Nitakaa kwa muda wa siku tano. Asanteni.
  5. sizy

    Zitto ashinda pingamizi dhidi ya CHADEMA, sasa Baraza Kuu kuamua uanachama wake

    Nadhani, Lissu, Mnyika na Lema ni wabunge wa mahakama pia
  6. sizy

    Askari walinda Amani wa JWTZ wauawa Darfur

    Wadau, Hizi taarifa za kuuawa kwa wanajeshi wa Tanzania nchini Sudan, je kuna mtu anataarifa ya majina ya wanajeshi hao? mimi nina ndugu yangu toka jana simpati hewani, naomba wadau wa jamii forum mnijuze kwa majina ya Marehemu na waliopata majeraha. R.I.P wapiganaji wetu wa Tanzania.
  7. sizy

    Hali inayoendelea sasa Ndg Zitto, Mwigulu, Shonza, Nape, Mchange na Mwampamba wahojiwe

    Sina tatizo na ulichoandika na tatizo na unachowaza kuhusu Zitto
  8. sizy

    Vita kati ya Ben wa Saanane na Zitto Kabwe vitaiharibu CHADEMA

    Kuna conflict of interest kati ya zitto na mtu flan anayemtumia Ben wa saanane hilo wala halina ubishi kwani siwezi kuamini kwamba Zitto ni saizi ya Ben kwenye siasa ndani ya chadema. Kwa sababu hatuwezi kurudia simulizi zilizopita kwa tukio la kutekwa kwa Kibanda na video ya kutungwa ya...
  9. sizy

    Msininyang'anye haki yangu ya kikatiba kupigia kura CHADEMA-2015

    Nadhani Unaelewa kwamba kupiga kura ni haki yangu, na kura nitakipigia chama ninachokipenda na ninachokiamini ambacho ni CHADEMA. Mtafaruku huu wawezasababisha nisipige kura na kuninyima haki yangu ya kikatiba.
  10. sizy

    Msininyang'anye haki yangu ya kikatiba kupigia kura CHADEMA-2015

    Ingawa nitaendelea kuwa mipiga kura wa CHADEMA 2015, Ila naomba kuchangia kidogo kuhusu huu utafaruku unaoendelea. Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa matamko na uwasilishwaji wa hoja humu jamvini katika swala la Masalia na PM7, wengi wamekuwa wakichangia kwa hisia tofauti tofauti na wengine kuja na...
  11. sizy

    Upotoshaji wa Juliana Shonza na kundi lake kwa vyombo vya habari...

    Ben Wa Saanane nazidi kupata shaka, kwenye hili tamko kwani wewe si msemaji wa BAVICHA na kwa kutumia uelewa wangu sioni wapi na sehemu gani katika katiba ya Chadema inakupa mamlaka ya kujibu hoja zinazoikabili CHADEMA. Najua wewe ni binadamu waweza ukawa ulighafilika na mashambulizi juu yako na...
  12. sizy

    Tundu Lissu ashinda kesi ya kupinga ubunge wake

    Mbunge Tundu lissu ashinda kesi iliyokuwa ikimkabili na hakimu mkazi kutupilia mbali madai yote yaliyowasilishwa.
  13. sizy

    Kashfa ya fumanizi Igunga magazeti yaliyo ripoti, yote yanunuliwa CCM

    huyu jamaa kumbe ni mfanyakazi pia benk kuu ndo maana hatupati kazi wanapata wao tu
  14. sizy

    Mke wa tajiri yangu ananitaka kimapenzi

    piga mzigo ... ukibambwa na ww unaliwa
  15. sizy

    Makamu wa pili kuwa ndiyo mpokeaji wa rambi rambi wapi makamu wa kwanza?

    Natoa pole sana kwa watanzania kwa msiba mkubwa wa ajali ya meli, ila katika hili naomba wadau mnijuze hivi huyu makamu wa kwanza kazi zake ni zipi maana namwona mara nyingi makamu wa pili ndio anayehusika na masuala yote ya kupokea ugeni wa rambi rambi, au jamaa ni box tu.
  16. sizy

    Tra

    kwani vipi mukulu wamekuzunguka nini maana unaonekana kama ulipewa ahadi ya kuitwa
  17. sizy

    Vijana wa kitanzania na ujira mdogo.

    nimejaribu kufanya utafiti kwa zaidi ya miaka miwili, kwa kila secta binafsi hasa hiz Telecoms company, kijana wa kitanzania ambaye anafanya kazi sawa na mtu wanayemwita expert wakati anajifunza kutoka kwa mtanzania. kwa mfano mtanzania mwenye degree ya mawasiliano(Telecommunication) range yake...
  18. sizy

    Dokta Kitila Mkumbo usikimbie hoja mzee wangu

    unaonaje Sokomoko na wewe ukafungua chama chako halafu ukawapanga wanawake wa viti maalumu unao wataka
  19. sizy

    Zito awasha moto bungeni leo

    http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/zitto-kabwe-awasha-moto
Back
Top Bottom