Kuna upinzani mkubwa ndani ya nchi zao, watu wana maisha magumu huku wakiona mabilioni ya dola yanaenda kupiganisha vita vya Ukraine.
Donald Trump anasema tunakubalije kuambiwa mabilioni ya dola yanaenda kulinda mipaka ya Ukraine wakati mipaka yetu inapitisha wabakaji na majangili kutoka...
MKUU WA KANISA Katoliki duniani, Papa Fransisco, katika mahojiano na chombo cha habari cha Uswisi, RSI, amesema Ukraine inapaswa kuwa na ujasiri wa bendera nyeupe, ambayo ni alama ya kukubali yaishe kwa kupisha mazungumzo ya amani.
_______________
Pope Francis: Ukraine should have the courage...
mods, hii thread sicho nilichoandika
might as well futa thread nzima
niliweka namba ya Spika kama ambavyo imetangazwa hadharani na CHADEMA
jini limeshatoka kwenye chupa, huwezi kulirudisha
Kumpigia simu mtu bila ridhaa yake ni kosa kisheria ?
Anajuaje unataka kumpigia ili atoe ridhaa ??? Na anatoaje ridhaa kabla ya kuongea nae ????
Au unapaswa ufanyaje, umtume boda boda nyumbani kwake amtaarifu kuna mtu anaomba kukupigia?
Katibu Mkuu CHADEMA Taifa, John Mnyika, ameanika namba ya Spika hadharani ili ahojiwe moja kwa moja na Wananchi kwa kukataa kutii sheria inayomtaka awaondoe bungeni watu 19 waliofukuzwa uanachama CHADEMA, al maaruf Covid 19.
Amesema maelezo ya CCM kupitia Kinana kwamba watu hawa wanasubiri...
Rais wa Hungary, Katalin Novak ametangaza kujiuzulu baada ya kutoa msamaha kwa mtu aliyeficha taarifa katika kesi ya unyanyasaji wa kingono dhidi ya Watoto
Mtu huyo alitiwa hatiani kwa kuwalazimisha watoto kubadili kauli zao kuhusu ukatili wa kingono uliodaiwa kufanywa na msimamizi wa kituo cha...
Hilo la kuhusu mashamba, kasema wao hawataki sembe, maharage wala maugali yenu... Hawana shida na mazao yenu na chakula chenu.... Hujamsikia ?
Tanganyika ndio tunajikomba kwenye Muungano, tunajiona kama tutaachwa na mke vile...
Hata li mkataba bovu la DP World halifui dafu kwa limkataba...
Siku Waafrika wakisema tunapinga na kulaani, na ni mtindio wa akili kukubali mtu mwenye dhamana ya kukuletea huduma ya afya eti yeye ndio anasafiri kupata huduma ambazo sisi hatuzipati, tena anaenda kwa gharama zetu, siku hiyo ikifika ndio haya yatakwisha.
Kwa saab, kiongozi anakosaje...
Ya nini yote hayo ?????
Kama Zanzibar ingefanywa kama Singida Karume angepewa Uwaziri Mkuu kwa nini ??????????????
Singida au Tanga, kama Florida au Arizona, kwenye Muungano wa Marekani, hawajawahi kutoa Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Spika, Jaji Mkuu, nothing! Na hatujawahi kusikia...
Say whaaaaat?
Tema mate chini na uwaombe radhi watu wa Tabora!
Zanzibar hailingani hata na wilaya moja ya Tabora
Zanzibar kilomita za mraba 2,462
Sikonge kilomita za mraba 27,873
Zanzibar inaingia Sikonge mara kumi na moja!
Nyerere alikuwa amekunywa chakari siku anatuingiza chaka la Muungano
Sahihi, kwenye hilo la Waislam kuwa super sensitive na dini yao inapodhalilishwa -- lakini kwa mimi lina faida moja kubwa mno.
Imewasaidia sana Waarabu kuheshimiwa na beberu. Foreign Minister Hillary Clinton akitua jangwani anafunga hijabu, anatia adabu!
Mtu anakuheshimu na kukuogopa mpaka...
Hili jambo la ukombozi wa Tanganyika lilifika bungeni KABLA ya harakati za Mtikila.
Si sahihi kusema Watanzania hawakumuelewa Mtikila ilhali wananchi walishalipeleka mpaka bungeni kupitia G55 ya kina Generali Ulimwengu.
HAIL TANGANYIKA
DOWN WITH TANZANIA
Very naive observation
U think kweli Samia Suluhu hamjui Chalamila ni mtu wa aina gani na siasa zake na hulka yake na ukichaa wake ?
WEWE NA MIMI hutujawahi kukutana na Chalamila, kukaa nae mezani kula chakula, kumhoji, ku deal nae at a personal level. Samia kawahi. Samia anamjua Chalamila...
Chanzo
Kuelekea mkutano wa mazingira wa dunia, COP28, utakaofanyika mwezi December 2023 huko Dubai, CNN imetoa ripoti maalum inayoilaumu UAE kwa kuendesha miradi chechefu ya kimazingira ikiwemo kukwapua ardhi ya Afrika ikijifanya kutunza mazingira wakati nia halisi ni kujikingia kifua wakati...
Ahsante Anna Tibaijuka.
Hivi ndivyo watu wenye akili ambao hawakujenga legacy nzuri wakati wa uongozi wao wanavyojisafisha na kuji redeem. Wanapostaafu wanatumia influence yao kutoa moral clarity kwenye matatizo ya kitaifa.
Ulipaza sauti uuzwaji Bandari na hapa unasimamia suala la kijamii...
Katiba, Ibara ya 16
Kila mtu anastahili kuheshimiwa na kupata hifadhi kwa nafsi yake, maisha yake binafsi na familia yake na unyumba wake, na pia heshima na hifadhi ya maskani yake na mawasiliano yake ya binafsi.
===================================
HAKI YA FARAGHA kwenye katiba ipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.