Search results

  1. Genchi

    Biashara ya mchele

    Wadau habar? Nimepata wazo la kufanya bishara ya mchele/mpunga. Kama kuna mdau humu anaifanya naomba ushauri ; Je ipi bora zaid Kununua mpunga kuweka store kisha unauza badae? Kununua mchele mkoani na kusafirisha dar kuuza? Au ipi njia nyingine bora ya kufanya hii biashara? Ahsanten kwa wote...
  2. Genchi

    Fursa ya ufugaji nguruwe

    Habar wadau? Napenda kufuga nguruwe ila sina uzoez wowte ndo nataka niingie ktk game! Mwenye experience anisaidia , mbegu bora banda bora
  3. Genchi

    Zembwela/ Manara Wana maisha mazuri kuliko Profesa wa Tanzania

    Maisha mazuri ni yale yakumtumikia Mungu
  4. Genchi

    Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

    Mm napenda na nataman sana kufuga samaki pamoja na kuku!! nikitaka kufuga samaki kuanzia kujenga bwawa inatakiwa niwe na kias gan kwa kuanzia kiwango cha chini?
  5. Genchi

    SoC02 Elimu: Kutoka ufugaji wa kuku kumi na moja mpaka maelfu

    Nan anafuga kuku wa mayai humu ndani wadau? niko interest kufuga hao
  6. Genchi

    Tv inch 50 inahitajika

    Nataka tv LG nchi 50,55. Wauzaji njoo dm
  7. Genchi

    Nissan Serena 4 sell

    Gari inauzwa kwa kutupwa.haina tatzo lolote unawasha na kuondoka. Injin Wala gear box havijaguswa. Bei 5,000,000. Call 0683775566. Karibuni
  8. Genchi

    Car4Sale Gari inauzwa

    Nissan Serena inauzwa kwa Bei ya kutupa mwenyewe kabanwa shida. Injin Wala gear box havijawah guswa haina tatzo lolote unawasha na kuondoka. Bei mil.tano (5,000,000) 0683775566
  9. Genchi

    Plot4Sale Nyumba inauzwa Vikindu

    Nyumba ipo Vikindu pwani, Chumba 3 moja Master, Dinning, kitchen, store, sitting. Bei mil 16 tsh 0683775566
  10. Genchi

    Nyumba inauzwa

    Vikindu pwan,mbele ya mbagala kwa wasiopajua, Chumba 3 moja Master, dinning, kitchen, store, sitting. Price tsh 16 mil. Call 0683775566.
  11. Genchi

    Picha: Mbunge wa Mlimba akikagua Daraja la Sh. Milioni 31 lilojengwa kwa miti

    Mil.31 ? Yan Dunia inatushangaa watz kwakwel
  12. Genchi

    Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

    Mimi sio mwanasiasa ila ni mpenda mabadiliko hasa ktk katiba yetu ya Sasa Mana ina mapungufu mengi na haiendan na mfumo wa vyama vingi. Kosa la Mbowe na wenzake ni nn hadi kuwekwa kizuizini?
  13. Genchi

    Nini maoni yako juu ya uchaguzi Uganda?

    Ukiangalia baadhi ya matukio ya kisiasa Africa utabaki kujiuliza maswali mengi yasiyo na majibu. Baada ya Uchaguzi wetu Tanzania kuleta taharuki nyingi leo wote tunaangazia uganda kinachoendela. Ukiwa kama mdau wa siasa una maoni kuhusu uchaguzi mkuu wa Uganda?
  14. Genchi

    Askofu Mwamakula na matembezi ya hiyari Nchi nzima

    Nampongeza kwa kusimama kwa nafas yake kutetea taifa
  15. Genchi

    Askofu Mwamakula na matembezi ya hiyari Nchi nzima

    Nampongeza kwa kusimama kwa nafas yake kutetea taifa
  16. Genchi

    Joe Biden asema Trump hataudhuria sherehe za kuapishwa kwake!

    Rais wa Marekani Donald Trump amesisitiza kuwa hatohudhuria kwenye sherehe za kuapishwa kwa Joe Biden kuwa Rais Mpya wa Marekani, Joe Biden amesema ni jambo zuri kwa Trump kutofika maana huenda anaweza kuharibu shughuli kama atakuwepo. Marais watatu Wastaafu wa Marekani Barack Obama, George...
  17. Genchi

    New gospel singer

    Kutoka Tanzania namleta kwenu kijana mwenye upako wa tofauti ktk kumtumikia mungu kwa njia ya uimbaji na kufungua . Artist; Michael john song;Msaada wako Ingia youtube kuona kazi yake nami nahakika utabarikiwa. Like,comment,subscribe na Mungu akuzidishie.
  18. Genchi

    Uchaguzi 2020 Nani mkweli kati ya hawa watu? Spika, NEC au CHADEMA?

    Maoni yangu ni kuwa huu mpango umetengezwa na watawala ili kudanganya mabeberu kuwa tz kuna democracy. Kinachonishangaza ni kuwa pamoja na kuvuliwa uanachama bado watawala wanalazimisha kuwa ubunge upo palepale ambapo ni kinyume na katiba ya nchi
  19. Genchi

    Uchaguzi 2020 Mnyika: Sakata la Wabunge wa Viti Maalum limehusisha mfumo wa Serikali kufifisha ajenda ya 'Uchaguzi haramu'. Ahoji Nusrat kuteuliwa akiwa gerezani

    Maoni yangu kwa chadema ni kuwafuta uanachama wabunge wote waliofanya usaliti huu wa kihistoria, CHADEMA ni chama kikubwa zaidi ya hao wasaliti,,kinyume chake wanachama wengi watakosa imani na chama na kusababisha mpasuko hata kufa kwa chama . Mytake; Nasubiri tamko nijue chakufanya!! Hongera...
Back
Top Bottom