Search results

  1. M

    Who is IGP Mwema? CV Please!

    Igp s. Mwema ni msomi mwenye degree ya kwanza ya sheria kutoka chuo kikuu cha dar es salaam ni mtu asiyekuwa mbinafsi wala upendeleo wa chama chochote ndo maana aliandika kitabu cha haki ya mpiga kura ktk uchaguzi wa 2010. Nadhani utashuhudia mwenyewe ktk uchaguzi huu matumizi ya nguvu yamekuwa...
  2. M

    Mkulo: Kilichoenda kwa wahisani si bajeti ni "makadirio"

    Wahisani nawashukuru kwa kuwa makini na serikali ya ccm kwani hawa ni ccm ni mabingwa wa kuchakachuwa.
  3. M

    TAKUKURU: Chenge hahusiki na tuhuma za RADA

    Ni ajabu chombo cha umma kutoa taarifa kama hizo ikiwa tu kuna kiongozi anataka kugombea uongozi ktk ofisi vyeti kabisa nchini. PCCB mlitakiwa kutoa taarifa hizi kipindi tu mlipo maliza upelelezi wenu. Naona kwangu haiingia kwa kichwa.
  4. M

    Natafuta kazi nimkimbie jk

    usikimbie kazi kwa kumuogopa mwajiri kwani hiyo kazi yeye ni msimamizi wa muda tu atapita watakuja wengine.
  5. M

    Elections 2010 Mkapa na Mwinyi kutoshiriki kampeni za JK

    Hawana umuhimu kwani kijana kaiva.
  6. M

    Orodha ya ahadi za Kikwete kwa wananchi 2010-2015

    treni yenye gauge ya kimataifa na sio ile yenye gauge ya mjerumani ili wagon na coaches za tazara ziweze pita bila shida katika reli ya kati. Ahadi ni nyingi mno lakini ni zake wala sio za ilani ya chama chake kwani itakuwa vigumu kumuuliza.
  7. M

    Elections 2010 Baada ya hatihati, Chadema yapendekeza wagombea viti maalum

    Haya masuala ya vipaji maalum kwa chadema nawapa big up lakini ccm nafasi hizo zimekwisha milikiwa na wamiliki wamekwisha pewa hati miliki angalia wanavipaji maalum wa mkoa mara ni wale wale hawabaliki.
  8. M

    Ban Ki Moon amteua Mkapa kuongoza kura za maoni Sudan Kusini

    tunamshukuru ban ki mon kwa kuthamini mchango wa mtanzania huyu katika nishani za kimataifa
  9. M

    Wasomi UDOM waandamana kumuunga mkono JK kuwa mgombea pekee CCM, akerwa na Zitto!

    Wakimaliza tutakutana makazini maaana naona wao wanajifunza sihasa zaidi kuliko kazi
  10. M

    Rais anapochangiwa hela ya kuchukulia fomu

    Elimu yao inanitia shaka
Back
Top Bottom