Search results

  1. H

    Natafuta jiko la kukodi kwa ajili ya mgahawa/bar -Dar es salaam

    WADAU SALAAM! NATAFUTA JIKO/SEHEMU YA KUKODI KWAAJIRI YA KUWEKA MGAHAWA/BAR KWA HAPA DAR ES SALAAMU, NAITAJI SEHEMY YENYE MZUNGUKO MKUBWA WA WATU. NI PM KWA MAZUNGUMZO ZAIDI
  2. H

    Natafuta Toyota Harrier 2006 ya kununua

    Wadau, Natafuta gari la kununua. Model: Toyota Harrier (2006), low mileage na isiwe chini ya namba D. Nicheki DM kwa mawasiliano zaidi.
  3. H

    Vacancy:Audio Editor / Sound Engineer(Podcast)

    Seeking an experienced audio engineer to work closely with me to produce and create best-in-class podcast content across multiple genres. This is a chance to join a new and growing team, and impact lives of millions.Send CV at ceo@workplace.co.tz or comment your name on my wall.
  4. H

    Anaitajika: Chef wa Chakula cha Kiafrica (African Food Menue)

    niko serious mkuu naomba nipe mawasiliano yake nitamtafuta.
  5. H

    Anaitajika: Chef wa Chakula cha Kiafrica (African Food Menue)

    Anaitajika Mpishi mwenye uzoefu mkubwa wa kipika chakula cha kiafrika kwaajiri ya mgahawa ulioko block 41 Kinondoni. Nitumie msg DM kwa mawasiliano zaidi.
  6. H

    ANAITAJIKA:MPISHI WA KITIMOTO ANAITAJIKA

    WADAU, ANAITAJIKA MPISHI(CHEF) MWENYE UJUZI MKUBWA WA KUANDA NA KUPIKA NYAMA YA KITIMOTO KWA AINA NA MAPISHI TOFAUTI TOFAUTI. KUANZIA YA KUCHOMA MPAKA MAKANGE. KIJIWE KIKO BLOACK 41 KINONDONI(KARIBU NA BEST BITES). KAMA UNA UJUZI HUU NA UMEBOBEA TUPIGIE KWA NAMBA 0746 10 10 88. AHSANTENI.
  7. H

    Msaada: Siku za mnada wa mbuzi Vigwaza

    ahsante sana mkuu kwa msaada na nitakucheck PM
  8. H

    Msaada: Siku za mnada wa mbuzi Vigwaza

    Wadau naomba msaada, nahitaji kuwa nanunua mbuzi wengi kwa wiki katika mnada wa mbuzi Vigwaza. Mwenye uzoefu wa siku zipo kuna mnada na bei zake. Natanguliza shukurani!
  9. H

    Nyumba ya kupanga yenye mabanda ya kuku yanakodishwa Tegeta masaiti

    Mabanda ya kuku ya nauwezo wa kuweka kuku wa ngapi bloirer?(wanyama)
  10. H

    Ushauri wapi kwa kununua vifaa vya studio(mic)

    WADAU NAOMBA USHAURI WAPI NITANUNUA VIFAA HIVI VYA STUDIO KWA HAPA DAR ES SALAAM: 1. Shure SM7B Cardioid Dynamic Microphone 2. The Blue Yeti microphone 3.RODE PSA 1 Swivel Mount Studio Microphone Boom Arm NAMBA YANGU NI O743 319 304 AHSANTENI SANA KWA USHAURI.
  11. H

    vifaa vya kuuzia chips vinauzwa

    KANICHEFUA SANA, TUMEWASILIANA NJIA NZIMA SHIDA IKAANZA NILIPOSEMA TU NIMEFIKA ALIPONITAKA NISHUKIE!
  12. H

    vifaa vya kuuzia chips vinauzwa

    USHAURI NDUGU ZANGU HUMU, ALIETOA TANGAZO HILI NI TAPELI, LEO NIMESAFIRI MPAKA ALIPOSEMA VIFAA ANAVYOUZA VIPO MATOKEO YAKE HAKUPOKEA SIMU KWA SAA ZIMA NA BAADAE AKAZIMA NA SIMU KABISA. NAOMBA MUWE MAKINI ASIJE AKAWAPOTEZEA MUDA.NACHELEA KUSEMA NI TAPELI.
  13. H

    ANAITAJIKA-MPISHI WA CHIPS NA KUKU WA SEKELA

    ANAITAJIKA MPISHI MWENYE UZOEFU MKUBWA WA KUPIKA CHIPS ZA AINA TOFAUTI PAMOJA NA KUKU WA SEKELA NA UCHOMAJI WA NYAMA. OFFICE NI MPYA MAENEO YA MIKOCHENI KWA WARIOBA. MALIPO NI MAZURI KUTOKANA NA UZOEFU NA KUJITUMA KATIKA KAZI PIA. PIGA 0743 319 304 KWA MAELEZO ZAIDI
  14. H

    vifaa vya kuuzia chips vinauzwa

    Mkuu bado gipi hivi vifaa au ulishuza?
  15. H

    Naitaji Viti vya ukumbini

    Ahsante sana mkuu nitafika hapo!
  16. H

    Naitaji Viti vya ukumbini

    WADAU NAITAJI VITI VYA UKUMBINI (VIPYA AU USED). NICHECK KAMA UNAVYO AU NAOMBA MAPENDEKEZO WAPI NITAPATA VITI HIVI(PICHANI) KWA HAPA DAR ES SALAAM.
  17. H

    Chef na Mkaanga Chips Anaitajika

    Naitaji Chef mwenye uzoefu mkubwa wa kuchoma nyama za aina zote(hili ndio la kwanza) na mapishi aina mbali mbali pia. Pia anaitajika mkaanga Chips mwenye uzoefu na utaalamu mzuri. Tuma msg kwa 0743 319 304 nitakupigia kwa maelekezo zaidi.
  18. H

    Fahamu jinsi ya kutengeneza chakula chako cha kuku ili kupata faida

    theriogenology, Mkuu naomba contact zako.
  19. H

    Msaada wa mashamba ya kununua Morogoro

    Mkuu haya mashamba ya Mzumbe bado unayo?
  20. H

    Nahitaji mkulima wa mbogamboga...

    Mkuu unaweza nipa mawasiliano yako?
Back
Top Bottom