Search results

  1. K

    Kigogo yupi anamiliki Jengo hili?

    Hapa ndipo ninapomfagilia Mheshimiwa Kikwete yaani katika uongozi wake hakuna aliyoko nyuma ya pazia. Ukiiba utaanikwa tu hata uwe waziri mkuu haaa haaaa haaa. Lowasa is paying for that. Halindwi mtu hapa kigogo mzee Hemed uchi. pengine aliko anahaha kujisafisha hatasafishika ng'ooo. nimependa...
  2. K

    Elections 2010 Kikwete: Wakuu wa mikoa msivuruge uchaguzi

    Hakuna mwenye ugomvi na kura za urais ingawa hatkuridhika na uongozi wako kwa kipindi cha miaka 5. lakini looh sijuwi ni shekh yahya au ni nani aliyetolowesha maji?. Ila kwenye ubunge lazima mkipate cha moto mwaka huu.
  3. K

    Elections 2010 CUF: Hakuna mwingine mwenye sifa?

    Haa we ni wa wapi? kwani hujuwi kuwa ni yeye tu ndiye aliyewahi kuwakaribia CCM kwa kura za urais katika chaguzi zote ukiondoa ule wa 1995. halafu sikufichi huyu bwana mkubwa anakubalika sana huku kwetu pwani na chama kinaendelea kuimalika sana mbadala ya sisiem ukanda wetu sisi ni CUF. Hao...
Back
Top Bottom