Search results

  1. M

    Msaada: Biashara ya Nyumba ya Wageni (Guest House) imekaaje?

    Hiyo kitu ni ngimu Nyumba 10 standard vya guest viwekiwango anatakiwa awe Na 130m. Guest ni kitu ingine kabisa. Return inategemeana Na location ilipo guest napia competitor s wengine
  2. M

    Tunauza tofar kwa Tsh 800/= .Tupo Vikindu Mwajas. Wasiliana nasi kwa namba 0714277098 au 0652485749

    Jamani mkubali tu Kwamba hilo ni Soko huria. Na kila mmoja anaubunifu, unaweza ona kampuni IPO vizuri Na inamtaji mkubwa hivyo kupunguza gharama za uzalishaji wa Tofali Na Kuuza kwa gharama nafuu
  3. M

    Uchaguzi sahihi wa postgraduate programe(master degree)

    Msc project planning and management ( mzumbe)
  4. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Jina: Suzana manjati mahali: Nipo mkoa wa tanga wilaya ya kilindi idara: Elimu sekondari nataka kuhamia jiji la mbeya kama kuna mtu anataka tubadilishane tafadhali tuwasiliane 0767 009197
  5. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo wilaya ya kyela mkoa wa mbeya mimi nije wilaya ya kilindi mkoa wa tanga anayetaka tuwasiliane 0768049294. Idara ya elimu msingi
  6. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo wilaya ya kyela mkoa wa mbeya mimi nije wilaya ya kilindi mkoa wa tanga anayetaka tuwasiliane 0768049294. Idara ya elimu msingi
  7. M

    Kawekeze jaribu

    Haya nendeni kajengeni
  8. M

    Which category are you?

    KIPESA UMESEMA UMESHAFAHAMU KUNDI LAKO SASA HEBU TUTAJIE JAMVINI HUMU ILI TUKUFAHAMU VIZURI MDAU AU itakuwa balaaaaaa haaaaa, haaaaa
  9. M

    Which category are you?

    Which category are you? TYPES OF HUSBAND THEIR CHARACTER TRAITS 1 Bachelor Husband These are men who Love to do things on their own without consulting their wives Love to hang a lot with their friends rather than their wife. Not very serious...
  10. M

    Dawa ya kiuno

    Asante saidi
  11. M

    Utaratibu na gharama za kupata hatimiliki ya nyumba/kiwanja

    Wazee mimi nimepata hati miliki kirahisi sana huko wilayami nilitumia 2,000,000 ambapo tsh 1000000 nilinunua kiwanja na nikamwezesha mtumishi mmoja 1,000,000 nikapata hati yangu ndani ya siku 21.
  12. M

    Nauza kiwanja kipo korogwe mjini, kimepimwa na kina letter of offer

    ukubwa 3600square meter bei 20,000 maelewano yapo
  13. M

    Asante sana JF nimepata viwanja bomba vilivyopimwa

    KUNA JAMAA ALIRUSHA ISHU KUWA VIWANJA VINAUZWA KILINDI. EBWANA KAMA UPO NIPE SIMU YAKO NIKURUSHIE HATA VOCHA AU TUMA EMAIL kwanzamen@yahoo.com. Bwana nimepata viwanja bomba sana nilidrive kutoka Dodoma hadi Kilindi. Asante kwa kunipa taarifa ya kuuzwa kwa viwanja hivyo
  14. M

    Land Management and Valuation/SRES ALUMNI Establishment at Ubungo Plaza on 14th October, 2011

    Nikija nakutana na kayuza na mwasumbi? Wasije wakanikamata maana ninamengi ya kuwahoji
  15. M

    Simu simu simu

    kaka ofisi yako ni mobile? au ipo mfukoni mwako?
  16. M

    Nahitaji kiwanja

    ndugu kilindi kunakufaa sana ardhi ipo shwari jitahidi ufanye mawasiliano. ekati moja tsh 150,000
  17. M

    Viwanja vilivyopimwa na serikali vinauzwa bei tsh 500per sqr mita

    wakuu nimepita wilaya nyingi kutafuta maisha nimekutana na kitu adimu sana nchini humu. Nilifika wilaya ya kilindi mkoa wa tanga wilaya hii ni mpya imezaliwa kutoka wilaya ya handeni, nilifika nikakutana na maafisa ardhi ambao niliwashangaa. Kwani nilipewa fomu ya maombi nikalipia benki tsh 5000...
  18. M

    Viwanja vilivyopimwa na serikali vinauzwa wilaya ya kilindi

    Wajumbe wilaya hii ni mpya imezaliwa kutoka wilaya ya handeni, mradi wao unaviwanja 570 bei yao ni tsh 500 kwa square mita wametangaza kwenye magazeti simu zilizoandikwa kwenye magazeti za maafisa wanaohusika wa ardhi ni o787737616 au 0653792114 au 0756332665 haya wajasiliamali mshindwe nyinyi...
  19. M

    Dawa ya kiuno

    Wajumbe naumwa sana na kiuno mimi ni kijana wa kiume wa miaka 25 nitumie dawa gani
  20. M

    Dowans msiba

    Hii nchi iuzwe nami nipewe salio langu nimechoka na wizi wa waziwazi
Back
Top Bottom