Mimi nitamkumbuka kwa kuiacha nchi ikiwa katika misingi imara ya KIDINI na KIKABILA/KIKANDA. Pia, kwa Usemi wake wa Maisha hovyo kwa kila Mtanzania!...na ahadi zake nyingi kuliko Rais yoyote yule aliyewahi kuwa madarakani.
Ndugu yangu unaweza kusema hayo, ila siye tuijuayo Siri ya nchi hii na umasikini/UKWASI iliyonao kwa sasa ndo maana tunashangaa mkuu wa zamani analipiwa na nani? Kama ni pesa zake ni kweli anazo.
Subscription Fee to Hello tunes, Je Serikali inapata kodi kutoka eneo hili?
Ndugu zangu wana Janvi, Nillikuwa najaribu kufanya utafiti mdogo kuhusiana na mapato ya simu za mikononi na kuangalia namna Serikali yetu inavyokosa mapato hayo. Nimejaribu kuangalia eneo moja tu na ninategemea na...
Nimesoma Mesage yako, imenisikitisha sana! niliwahi kufanya kazi Resolute na GGM na bahati nzuri hata Gold Room napafahamu uyasemayo sijui kama watanzania wanayajua au wameamua kukaa kimya!
Maneno hayo uliyo tumia ni sahihi kabisa kila mtu akisikia lazima akuite hivyo tu "We have a dead brain".
Dada Regia, hii ndio hali halisi ya watu wetu huko vijijini! na ili tuweze kuyaondoa haya ni kuendelea kuwahamasisha wananchi wengi wa vijijini wafunguke na kujitambua ili wadai haki yao.
Haswaa! kwa hapo umelenga, Tunahitaji kuendelea kuwabadilisha wananchi wengi wajitambue na wadai haki zao! ili CCM waendelee kudhoofu na hatimae kufa kabisa.
Hapo ndio umenena, tusiongelea vyama tuongelee watu wanaotaka kutuwakilisha! Je CCM, CHADEMA na CUF wameweka watu ambao wanaweza kutuwakilisha??? au ndio hivyo tunaanza kushabikia vyama hata kama waliowekwa ni UCHWARA!!!
Ungesema unafanya biashara gani au eneo lipi la biashara unafanya ili tuweze kueleza au kulichambua, Changamoto au mafanikio yanapishana kutegemea na eneo au biashara! be specific for area or business?
Tutachangia tu.
Tatizo letu sie Watanzania hatusomi documents, ila ni wazuri sana wa kubabaisha na kujifanya tunajua vitu wakati hatusomi. Nenda kwa wafanyakazi wa Serikali wakienda kwenye vikao, mara zote huenda hata document hawana, eti anataka kusikiliza ndio achangie! wezetu wanasoma na kuchambua hizo...
Big up MMJ, na tunashukuru kwa kutujuza taarifa hizo na kwa kutupa way foward, Ila inasikitisha sana kuona nchi yetu inatafunwa kiasi hicho na WAHUNI wachache ambao tumewapatia dhamana ya kiuongozi na wao wamebadilika na kuwa MIUNGU watu.
Ukiongelea matajiri wengi wa Tanzania ambao wamepata utajiri wao kutokana na imani za USHIRIKINA kama ndugu zangu WAKINGA wa IRINGA ambao wako Kariakoo, Mbeya au Tunduma ambao wamepata utajiri wao kutokana na imani za kishirikina ni sawa, hawa watu hawahitaji elimu, ingawaje anaweza kuwa...
Tusubili na wengine waachie ngazi, akina Andrew Chenge, ......., na Edward Lowasa ndio tunaweza kusema kuwa nchi hii inaanza kusafishika. Otherwise bado tunawakati mgumu sana, maanake wale ma master mind wa Serikali ya JK bado wapo madarakani.
Inawezekana Preta, na sometime ni uelewa wa hao ndugu zetu, wengi wanakuwa hawajapelekwa kusoma mind za watu kuwa huyu anafikiria nini na nini anaweza kufanya nini na kwa wakati gani! wezetu, polisi ni lazima awe na uelewa mkubwa na asitumwe na HISIA. Ndio maana unaona watu wanabambikiziwa kesi...
Ndugu wana JF, Leo nilikuwa nimekwenda NBC Arusha, (Branch ya Meru), Nimekuwa mteja wa NBC kwa miaka kumi sasa sijawahi kukutana na hii ya leo, mie nilianzia kwenye ATM na rafiki yangu aliingia ndani kutuma pesa kwa familia yake, cha ajabu mie baada ya kuchukua pesa kwenye ATM nikawa pale nje...
Unaposema kuwa SGR inachakula cha kutosha, na wakati huo huo Serikali inazuia wananchi wasiuze chakula nje ya nchi kwa sababu kunaupungufu wa chakula mie sikuelewi!!!
Serikali inunue chakula hicho kwa wakulima katika marketi price na iweke kwenye Maghala yake (SGR's) ila inapoendelea kuwabana...
"Kuhusu deni la taifa, Mkullo alisema hadi kufikia Desemba mwaka jana, lilifikia dola 11,380.2 milioni za Marekani na kwamba, liliongezeka kwa dola 654.28 milioni ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka 2009. Mkullo alisema ongezeko hilo lilitokana na mikopo mipya ya ndani na nje yenye...
Mkulo Mbona hajasemea hii ambayo kiwango kikubwa ni Recurent in nature!! (Matumizi ya kawaida!???), mimi nilitegemea asilimia kubwa ya pesa za Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa (OWM - TAMISEMI) zingekuwa za Development in Nature (Miradi ya Maendeleo na Si kwa ajili ya Matumizi ya Kawaida)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.