Search results

  1. mxsdk

    Car4Sale Tunauza magari ya aina mbalimbali

    Mkuu umu katika uzi wako,kuna ata hiace used,nilikuwa naitaji. Sent from my SM-J400F using JamiiForums mobile app
  2. mxsdk

    bado facebook,whatsapp na instagram zinasuasua

    Simu yako mbovu mkuu,mambo Mbona safi tuh toka jana usiku wa manane. Sent from my SM-J400F using JamiiForums mobile app
  3. mxsdk

    Je, huyu ni atatambulika kama mhandisi?

    Subri wanakuja wataalamu.
  4. mxsdk

    Airtel Money na huduma ya ovyo kuwahi kutokea

    Bado kuna binadamu wantumia huduma za airtel kweli?Mimi ata nikiwaona freelance wake mtaani,nawaona makanjanja tuh na kupita mbali nao.
  5. mxsdk

    Diamond Platnumz atua na Rolls Royce 2021

    Gud,atua mzuri.
  6. mxsdk

    Nurkovic aukubali muziki wa Simba SC

    Acha wivu wa kike
  7. mxsdk

    Gwambina FC 0-1 Simba SC | Simba yapaa kileleni

    Tupe majibu mkuu!
  8. mxsdk

    Kukatwa matangazo ya BBC kwenye channel ya Star Tv

    Jipatilize basi na jielewe,acha domo kaya.
  9. mxsdk

    Airtel Tanzania tumewafanya nini wananchi wa Wilaya ya Songwe?

    Airtel tena jamani? Mkuu si uame mtandao mwingine!?
  10. mxsdk

    Msaada kisima changu kimejaa chura

    Polee mkuu,uwazoee tuh wadau Wa umu.
  11. mxsdk

    Najiuliza kuhusu ukimya, pale ambapo pande mbili zinapopingana mmoja akaamua kunyamaza

    Mara nyingi penye tatizo au viashiria vya ugomvi(iwe kwa kaka,ndugu,mpenzi,rafiki etc)nakaa kimya,kama msg/calls sijibu wala sipokei tena mpaka yesu arudi.
  12. mxsdk

    Tanzania ukijua kuongea Kiingereza unaonekana msomi

    Tanzania ni nchi yenye watu wa maajabu, Wanaongea ngeli/kiingereza pia waonewa wivu na chuki!?! Mnapoteza muda kuwajadili;.
  13. mxsdk

    Kwanini Wachaga, Wahaya na Wanyakyusa ndio makabila yenye nguvu kielimu na uchumi Tanzania?

    Jenga hoja yako kama sio hasi kwa ayo makabila?!!
  14. mxsdk

    Diamond platinumz ni THE G. O. A. T

    Amka wee,jenga hoja zenye kujenga na ushaidi! Unajua kwanin ameitwa GOAT? Km ni mpenzi za kijapan/China!utafunga ujinga wako!
Back
Top Bottom