Search results

  1. Yombayomba

    Mbuyu Twite,Obrey Chirwa out Yanga,Jesse Were,Meshack Chaila in!!

    Watakuwa wamefanya makosa makubwa Chirwa bado ana umri mdogo, and is very promising player. Wakuacha hapa walikuwa Tambwe /Niyonzima na Twite. Tambwe hana msaada wowote katika mechi za kimataifa, Niyo umri umekwenda na ni mchezaji wa kufurahisha watazamaji. Hii game moja haiwezi kufuta makosa...
  2. Yombayomba

    Audio:Jerry Muro akiwachana wasaliti vilaza wa Yanga

    Kwa hiyo haao wanaopanga kinyume na katiba wako safi/sawa? Umesikia Msumii, amekiri, kuwa ni sauti yake. Tuwe, wakweli, pamoja na mapungufu yake Manji,lakini jamaa kaifanyia mengi Yanga. Kzi kila mtu unaiona, hamna wizi wa kijinga jinga tena. Wewe tuabie unataka/mnataka nini?
  3. Yombayomba

    Manji: TFF na BMT wanafanya njama jina langu likatwe ili nisigombee Yanga, nina ushahidi wa sauti

    Malinzi ni kansa ya maendeleo ya soka Tanzania, mnakumbuka alitraka kuleta ujajanja kwa mtani, akishinikiza rafiki yake Wambura agombee.
  4. Yombayomba

    Live updates(8/8/2015): Simba vs FC Leopard

    Hii ni bonanza, mtu asiaibike, hivi kweli mnategemea kuona ushindani?
  5. Yombayomba

    Shaban Nonda alitufanya uchochoro, Sasa tumekuwa barabara

    Hivi kweli ukimtazama Mkude unaridhika kabisa kuwa ni mchezaji bora wa kucheza nje ya Tanzania? jamani tuwe wakweli, magazeti yetu yanawapaq sifa ziszo na maana.
  6. Yombayomba

    Mbunge wa Kyela, Dr. Harison Mwakyembe aifunga radio ya jamii ya mpinzani wake kisiasa

    Pamoja na udhaifu wa Mwakyembe, lakini jamaa baado ni mtu anaweza kuwasaidia zaidi. Mwakalinga hana vision kabisa.
  7. Yombayomba

    Lowassa aongezewe ulinzi

    Mkuu Andrew Kwi kwi kwi kwi, haya maneno mazito saana
  8. Yombayomba

    Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    Hivi huyu Mwinyi siyo tamaa ya MADARAKA, yaani wao wakiona Unguja kimenuka wanakuja kufanya FUJO bara, huu ni upuuzi unatakiwa kuwa defined kwenye katiba
  9. Yombayomba

    Yanga: Mmeokota wapi hawa mafowadi?

    Kwanza si kweeli Bbarca walimuuza Zlatan kwa PSG,ukweli nni kuwa Zlatanaliuzwa kwa Ac Milan. Kuhusu wachezaji wa kigeni, uweppo wao kuna faida kubwa na mja ni hii, inawafanya waachezajiwzawa, kuujituma na kupambana ili kupata namba, a kuacha kubweteka. seaon iliyopita tuliona jinsi Msuva...
  10. Yombayomba

    Mwili wa commando Lt. Mlima kuwasili leo

    Makubwa hayo, aisee
  11. Yombayomba

    Hamis Kiiza 'Diego' amwaga wino Simba!

    Hivi kweli mnashangilia Simba kumchukua Kiiza? mtu hajacheza season yote, na wala hamjui kiwango chake? hapa kuna matatizo makubwa na kamati ya usajili ya Simba.
  12. Yombayomba

    Kwanini Charles Makongoro Nyerere kwa awamu hii ya 5

    Hujatoa sababu, zaidi ya kubwabwaja tu, kama mtoto kanyimwa uji. Funguka umetumwa na nani?
  13. Yombayomba

    Aunty Ezekiel: Nimezaa na Mose Iyobo lakini ndoa yangu ipo palepale

    Haiwezekani, hivi kwa nini Faraja asiombe mtoto apimwe DNA?
  14. Yombayomba

    Ankali Michuzi Umemaanisha Nini HAPA

    ohh, kumbe uncle ni CHADEMA? ha ha ha ha
  15. Yombayomba

    Mwili wa commando Lt. Mlima kuwasili leo

    Mkuu nini tena, sijakupa "MKAKSI" una maana gani, nielimishe
  16. Yombayomba

    Makongoro: Lowassa sikumuona Vita ya Kagera, Labda alikuja baada ya vita kuburudisha wanajeshi

    Mako ameongea mambo ya msingi kabisa, huwezi kusafisha Ufisadi, uwajibikaji, na rushwa katika serikali kabla ya kusafisha kwenye Chama. Wengine wanakwepa hilo, badala yake ooh, nachukia ufisadi na rushwa. Bi mkubwa FF, karibu ufturu kwangu leo, kama hutajali.
  17. Yombayomba

    Majibu ya Prof Mwandosya kwa Zitto

    Hivi, ni kitu kipi cha ajabu amefanya CoET? Cha kuweza kujivunia, zaidi ya kubatizwa jina handsome boy, kwa kupenda utunda
  18. Yombayomba

    Majibu ya Prof Mwandosya kwa Zitto

    Hivi unamjua au unajisemea? Waambie wapambe wake akina MADODI, wamlete hadharani, watu wakamue jipu
  19. Yombayomba

    Majibu ya Prof Mwandosya kwa Zitto

    Hajajibu lolote, kuna maswali mengi saana, hivi mlio karibu naye mnaonaje mkimshauri, aitishe press conference ili watu wawe huru kuja kumuuliza? kuna tuhuma pia akiwa katibu mkuu wa Nishati, alikuwa akitumia vibaya wadhifa wake, wakupeleka tenda kwa kijikampuni alichokuwa akimiliki yeye na Prof...
  20. Yombayomba

    Naomba maoni yenu katika picha hii, mimi nimeona mengi

    Yaani, wamatumbi wanakaa line yao?
Back
Top Bottom