Search results

  1. N'yadikwa

    Tupe maoni, ushauri, dokezo: Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wenye Makundi Maalum

    Mama Dkt. Gwajima D Tafadhali huduma za IVF zifikiriwe ziwemo kwenye kitita kikubwa cha bima ya afya, gharama za IVF ni kubwa na zinatesa. Kwa sasa ukienda kv Dar IVF bima kubwa haipati kibali utazungushwa hadi ukome. We need your intervention. Kukosa mtoto ilhali technology inaweza kusolve na...
  2. N'yadikwa

    Mkataba Barabara ya Mafinga - Mgololo (KM 81) Kusainiwa Kesho Dodoma

    Vipi walisaini yako wapi mbona hawajengi sasa
  3. N'yadikwa

    Vijana acheni pombe na Energy drinks, mwifwa

    Wanakujegea nyingine binti wa kinkiiki anataka azikwangue hela zenu kila mkizipata
  4. N'yadikwa

    Dini haziruhusu kuwa tajiri

    Ukristo hauzuii mtu kuwa tajiri. Usipotoshe wenye imani yetu tupo. SOMA: Kumbukumbu la Torati 8:17-18 Hapo usiseme moyoni mwako, Nguvu zangu na uwezo wa mkono wangu ndio ulionipatia utajiri huo. Bali utamkumbuka BWANA, Mungu wako, maana ndiye akupaye nguvu za kupata utajiri; ili alifanye imara...
  5. N'yadikwa

    Adha ya Mwendokasi: Je, Daladala zirudi kuokoa na kusaidia wananchi?

    Daladala zisirudi zinasababisha foleni sana Dar es salaam. Jamaa wa daladala ndiyo sababu namba moja ya jam asubuhi na jioni sababu ya kuegesha nje ya vituo vyao na kusimama pasiporuhusiwa. Mwendokasi iboreshwe. Tena nimeshukuru sana kuona ujenzi wa mwendokasi umeanza Ubungo Mwenge-Posta na...
  6. N'yadikwa

    Utegemezi wa Dunia sasa umeelekea Bara la Asia sio Magharibi tena. Kwaheri Umagharibi!

    Businesses zote sasa hivi zinazungumzia Uchina. Hapa tunazungumzia mega global businesses kuanzia hao kina Tesla, DP World, Apple, Electric car manufacturers, mega mining projects zote zikiwamo za madini ya betri na elektroniks nk
  7. N'yadikwa

    Utegemezi wa Dunia sasa umeelekea Bara la Asia sio Magharibi tena. Kwaheri Umagharibi!

    Ukisoma vizuri between lines utaona uzi unatumia uendelezo, which means the West iko kwenye hatua za kuanguka...hao jamaa sasa hivi hata ku service miundombinu yao tu wameanza kushindwa...wana fund sana military activities wamejisahau kujenga chumi zao...East haipambani na vita ila wao West...
  8. N'yadikwa

    Utegemezi wa Dunia sasa umeelekea Bara la Asia sio Magharibi tena. Kwaheri Umagharibi!

    dominance yao inakwenda kuonekana very soon na sidhani hata Dollar kama itarudi kuwa na nguvu kama ilivyokuwa hapo kabla. Imagine ni mwaka naa sasa dollar haipatikani mtaani na uhaba wake upo maeneo mengi duniani. The West is falling.
  9. N'yadikwa

    Utegemezi wa Dunia sasa umeelekea Bara la Asia sio Magharibi tena. Kwaheri Umagharibi!

    Ni ukweli kwamba mwegemeo wa dunia kwa sasa "global economic activity center of gravity " unajiegemeza bara la Asia hasa mataifa ya Uchina, Indonesia na India pamoja na Falme za Kiarabu. Hakuna ubishi tena kwamba enzi au zama za umangimeza wa nchi za Magharibi umeshafikia mwisho. Nchi...
  10. N'yadikwa

    Kampeni ya Mama Paka ina lengo la kutokomeza mnyama aitwaye paka nchini Zanzibar

    Kuna lipaka siku moja nakula zangu urojo pale forodhani na samaki, likaja likanyang'anya sahani likakimbia nayo.
  11. N'yadikwa

    Vijana acheni pombe na Energy drinks, mwifwa

    Piga lifaru john limoja mwanawane lisipotosha jazilizia na kasichana. tunaishi mara 1, hawa wanatutisha tu
  12. N'yadikwa

    Vijana acheni pombe na Energy drinks, mwifwa

    Ikifika tumboni inahamisha maini inayaweka kwenye figo nyingine inaenda kichwa cha juu inatriga button ya matusi na kuendesha bodaboda kama chizi
  13. N'yadikwa

    Vijana acheni pombe na Energy drinks, mwifwa

    Ni kama zilivyokuwa fursana. Sizioni siku hizi
  14. N'yadikwa

    Vijana acheni pombe na Energy drinks, mwifwa

    Mkuu we unakunywa maji ya hili tu si ndio
  15. N'yadikwa

    Vijana acheni pombe na Energy drinks, mwifwa

    Soda zinaua, si eti jamani!?
  16. N'yadikwa

    Vijana acheni pombe na Energy drinks, mwifwa

    Dokta Isaac tuelemisheni jamani, karibu.
  17. N'yadikwa

    Vijana acheni pombe na Energy drinks, mwifwa

    Mangi energy sio mbege eti!😄
  18. N'yadikwa

    Vijana acheni pombe na Energy drinks, mwifwa

    Hizi reference sasa zimekaa kitaalamu kabisa. Mwenye sikio na asikie
Back
Top Bottom