Search results

  1. C

    Mtaalamu wa kuchora ramani za nyumba/ majengo na picha mbalimbali kwa bei nzuri

    Nipo serious nahitaji ramani ya nyumba ya ghorofa moja zile za manaibu waziri pale Kijitonyama Victoria nyuma ya usalama wa taifa.
  2. C

    WHO IS: Gladness Mboma

    Hivi ndo yule alikuwa na Mhe.............jumamosi iliyopita pale Viva Villa Mbezi Beach na Lap top wakicheka na kuandika vitu kwenye lap top au namfananisha?
  3. C

    Zitto: Sijengwi na Kikwete, najijenga mwenyewe

    Ben, Kwa kusoma maandiko yako ni dhahiri kuwa wewe ni kijana mwenye upeo mkubwa sana na uwezo mkubwa sana. Ila nakutahadharisha kama umeamua kufanya siasa basi, itoke katika moyo wa ndani kwa kusukumwa na shida unazoziona kwa watanzania na wewe ukapata uchungu wa kutaka kuzitatua. Lakini kama...
  4. C

    Kikwete: Nataka kurithiwa na rais kijana!

    Well said Mwanakijiji; Zitto ni mwanasiasa mwenye akili sana lakini anakosa hekima ya kisiasa na ndio itakayomuangusha.
  5. C

    Wale wa Mbeya Day

    Handeni; Mzee Mwakamele na Zoya walifariki? lini tena jamani. Pia najua mwl Simwanza (geography) na yule mrefu wa Physics alikuwa anatokea Iyunga au Nzovwe pia alifariki (alikuwa anaitwa Labani) Vipi unamkumbuka Seme wa hesabu na Mwakyembe wa Raia Mwema?
  6. C

    Wale wa Mbeya Day

    Unamkumbuka mwl wa history Meela au ''Msegeju'' au Mwl wa kiingereza Mr. Mposi na madoido yake ya kugeuza shingo.? Namkumbuka Magelewenya alivyokuwa mkali wa hesabu, lakini hata yeye alikuwa anamkubali mwanafunzi mmoja akiitwa Nikutusya Mwangupata huyu alikuwa ni balaa kwa hesabu. Mtihani wa...
  7. C

    Mh Freeman Mbowe, jiuzulu uwenyekiti wa chama

    Rufumbu, Hoja yako yaweza kuwa na ukweli fulani, tatizo lako ni jinsi ulivowasilisha hoja yako unaifanya ikose mashiko. Lakini kama vile Zitto anavyosemwa sana na watu, kadhalika ndio watu pia wanavyomsema sana Mbowe. Ni jukumu lake kujitathmini na kuona kwanini watu wanamsema sana, kwanini...
  8. C

    Mh Freeman Mbowe, jiuzulu uwenyekiti wa chama

    Rufumbu, Hoja yako yaweza kuwa na ukweli fulani, tatizo lako ni jini ulivowasilisha hoja yako unaifanya ikose mashiko. Lakini kama vile Zitto anavyosemwa sana na watu, kadhalika ndio watu pia wanavyomsema sana Mbowe. Ni jukumu lake kujitathmini na kuona kwanini watu wanamsema sana, kwanini watu...
  9. C

    'Ruksa' kwa watumishi wa umma kushiriki siasa

    Kwa wale wanaojua muongozo huu naomba wanisaidie nataka kujua je inawezekana mfanyakazi wa umma akawa diwani/ Meya na kisha kuendelea na utumishi wa umma kwa wakati mmoja?
  10. C

    Nikaishi wapi Dar hii, nikimbie hizi foleni?

    Hali ni mbaya sana, traffic wana tija yoyote ni bora taa ziongoze magari kuliko hawa jamaa. Jambo la kushangaza hata katika masaa ambayo hakuna magari mengi wao hutaka kuongoza magari. Mwanzoni sikujua skuwa kuongoza gari kwenye taa ni deal , mpaka siku moja nilikuwa ndani ya gari ya jamaa mmoja...
  11. C

    Imekuwaje Meya wa Kinondoni awasikilize CHADEMA na kufuata Madiwani wake...?

    CHADEMA mbona mna ''double standards'' sana? Shibuda alipojiunga na CCM kuwaponda wabunge wenu mlisema kanunuliwa. Leo Mayor wa CCM anaungana na wabunge wenu kuponda ilani na maelekezo ya Chama chake mnaona kuwa ni sawa. Naomba muongozo: Hivi unaweza kuwa diwani/Meya na ukaendelea na ajira...
  12. C

    Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

    Habari hii inaweza ya kupikwa lakini imepikwa kwenye mazingira yanayoelekea kuwa kweli: Tanzania Daima kumpamba ENL Mbowe yupo kibiashara zaidi Mbowe hajawahi kumsifia/kumpamba Dr. Slaa hata siku moja (fuatilia), maana yake hapendezewi naye jinsi alivyo moto kwa mafisadi Mbowe hawajawahi...
  13. C

    Dotnata afanya kufuru kwa kvuta "Hummer" la nguvu

    bongo bwana ushamba unatusumbua, hilo ndio suala la kuandika kwenye gazeti. Safi dada mwenyewe kajieleza vizuri yaani hajashoboka kabisa tofauti na mwandishi wa habari hy
  14. C

    Imekuwaje Meya wa Kinondoni awasikilize CHADEMA na kufuata Madiwani wake...?

    Ama hakika nguvu za CHADEMA zinanatisha, sasa imedhihirika kuwa CHADEMA ndicho chama kinachoongoza kanseli ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni badala ya Chama Cha Mapinduzi ambacho ndicho kilichopewa ridhaa ya kuiongoza na wananchi wa Wilaya ya Kinondoni. Licha ya CHADEMA kuwa na jumla...
  15. C

    Viongozi/ wanachama wa upinzani nisiowaamini Tanzania

    Shitambala kwenye uchaguzi wa mdogo kujaza nafasi ya Richard Nyaulawa alijaza fomu yake bile kuwa na sahihi ya haki,u kama sheria inavyotaka na pia alirejesha fomu Jumapili Safari hii alikutana na kigogo mmoja wa CMM toka Dar siku moja kabla matokeo hayajatangazwa- lakini mwenzie sugu aligoma...
  16. C

    Wale wa Mbeya Day

    Whisper, Yule wa kigugumizi aliitwa Usega kue fine arts. Yule mama Fyatu kidogo jina limenitoka alikuwa anafundisha physics. Je ulikuwepo siku Mch Hiza na dada Lwaga walipotutembelea na Mch. Hiza akaimba nyimbo za Bob Marley. Toka siku hiyo na mimi nikasema ntakuja kuwa mchungaji- msela...
  17. C

    Zamu ya Zanzibar Urais 2015?

    Rais 2015 lazima awe mkristo..................................huo ndo utaratibu uliopo though haujaandikwa popote
  18. C

    Viongozi/ wanachama wa upinzani nisiowaamini Tanzania

    1. Sambwee Shitambala - Mgombea Ubunge CHADEMA- Mbeya. Huyo aliuza ubunge kwenye uchaguzi mdogo, kauza tena kwenye uchaguzi uliopita- ushahidi upo wazi kabisa- kila mtu anajua 2. Prof. Lipumba- Tangu ''alipovunjwa'' mkono na kutishiwa kuwa ana asili ya nchini kwetu( Burundi) amekuwa ni CCM...
  19. C

    Vinara wa Soka Waliopotea Kabla ya Wakati Wao!

    Cuthbert Mwangalaba Michael Paul
  20. C

    Wale wa Mbeya Day

    Mwandeko Mwakamele Mwakasala Unamkumbuka Mr. Mkwizu. Enzi zile Mr II (Mh. Mbunge) ndo anaanza mambo yake nakumbuka nilikuwa namuona amevaa rozari shingoni. Kulikuwa na rafiki yake Boniface Gwatengile alikuwa mtaalamu sana wa kucheza ''miziki ya wazungu''
Back
Top Bottom