Search results

  1. kapug

    Nini tatizo la gari kutaka kuruka ukibadilisha gia?

    Flash transmission (G/Box) na ubadilishe filter na ukaguzi wa torque converter lazima ufanyike.
  2. kapug

    Four cylinder Vs six cylinder

    Sina tofauti sana na wachangiaji wa mwanzo ila hapa nataka kuongezea kidogo nilicho nacho. CC ni kifupi cha centimeter cubic ( sentimeta za ujazo) wa cylinder moja kati ya 4 au 6. Kuwa na CC moja na namba za cylinder tofauti inawezekana. tofauti tutayoipata ni Torque ya Engine au kwa kiswahili...
  3. kapug

    Arthur Mwakapugi Afariki Dunia

    Rip agk mwakapugi
  4. kapug

    Kamishina Chagonja apatwa na kigugumizi kuhusu bomu lililolipuka Arusha.

    Viongozi bongo wanachosha kabisa sijui tufanyeje!!!!
  5. kapug

    Hii ni kwa wanandoa tu!!!!!!!!!.

    Aisee pole sana, ebu na wewe jaribu kumchunia kama wiki mbili hv halafu umwone.
  6. kapug

    Moden Interview

    Siyo Condoreza ubwabwa
  7. kapug

    Dar ni eneo hatarishi

    Huku kwetu miziki hiyo inaitwa kikodoro
  8. kapug

    Dar ni eneo hatarishi

    Du tutafika kweli? kwa mwendo huu,hapanaaaaaaaa.
  9. kapug

    Mfanyabiashara mkubwa Arusha mbakaji Mkubwa

    Hii kwa kweli inasikitisha sana yaani dhamana ya milioni 2? yaani nahisi huyu mharibifu lazima watamwachia tu,Na hii ni kwasababu ya njaa zetu tu.
  10. kapug

    Je huu ni uungwana?

    Huyo mshkaji sio wa ukweli mkuu kama vp mpotezee tu manake iko siku atakubandulia.
  11. kapug

    Fahali ya macho haifilisi duka!

    jamani ng ombe hazeeki maini
  12. kapug

    Interview ya nafasi ya meneja jtau, naombeni ushauri.

    Mwambie kwanza haondoe hofu kwani ana nafasi kubwa ya kupata hiyo kazi.
  13. kapug

    Kontena chachu ya maendeleo

    Mtu kama rais lazima azungumzie ajira bora na si bora ajira na kwenye uchumi wa nchi je?wakontena huyuhuyu!
  14. kapug

    Kontena chachu ya maendeleo

    Wadau, Tukiwa na siku tatu tangu tusheherekee sikukuu ya wafanyakazi tanzania,siku ambayo kwangu nilizidi kukata tamaa kutokana na kauli ya rais wetu kwenye hotuba yake kutamka kuwa kufungua kontena ni chanzo kizuri cha ajira na akisisitiza kuzalisha mabaamedi,makuli na wapishi mimi kwa...
  15. kapug

    Vimini vya akina dada vinanitoa udenda...!

    Hoya mkuu mbona unatoa hasara tu ya punyeto wakati punyeto ina sifa nyingi sana Ni njia sahihi ya kujikinga na ukimwi Unakuwa na muda wa kutosha wa kufanya mambo yako Unajipatia mrembo unayemtaka Unapata k size unayotaka na mengine mengi. Endelea kupiga punyeto mwana watakuua haooo!
  16. kapug

    Kutikisa makalio sawa na kuacha kitovu na maziwa nje mbona hamsemi?

    Aisee kuna makalio bandugu...... yaani ukilipiga kofi linatetemeka dakika kama moja hv ndio linasimama.
  17. kapug

    Anataka nyoka

    we tulia na mkeo utazoa ugonjwa tu
  18. kapug

    Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

    Jamani jamani uvinza tu! je ungeambiwa chunguni! si ungempa talaka
  19. kapug

    Wanaume Nisaidieni

    Pole dada mi kama dume napendela vyote ulivyovitaja yaani sex,feelings na company kikikosekana kimojawapo kati ya hayo basi naingia chaka.
Back
Top Bottom