Search results

  1. Shida na raha

    Elewa huu mtego kwanza ndio utajua biashara nzima ya Forex

    Babu wa Mabibo uko poa? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Shida na raha

    Rafiki yangu ambaye ni marehemu nashangaa ananiomba urafiki Facebook

    Hapo kinachokuchanganya ni kitu gani sasa. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Shida na raha

    Tetesi: Chanzo cha afisa biashara aliyechana Quran tukufu ni kurogwa; aliwatesa wafanyabiashara katika ukaguzi wa leseni

    Wewe una chuki na waislam, watu wamesema boda boda ndo walimpa wewe unasema waislam wana choko choko usitafute la moyoni mengine tuache tuyahifadhi. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Shida na raha

    Tetesi: Chanzo cha afisa biashara aliyechana Quran tukufu ni kurogwa; aliwatesa wafanyabiashara katika ukaguzi wa leseni

    Kweli Tanga na Pemba baba mmoja mama mmoja yaani mpaka wewe unajua kipapai ni nini...?! Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Shida na raha

    Je, Wimbo wa Taifa la Zanzibar umeanza kutumika mwaka gani? Nimeusikia ukipigwa kwenye uzinduzi wa Hotel ya nyota 5 ya Verde

    Ulishindwa kuwauliza waliokualika umekimbilia kuja kujitapa humu na wewe uonekane upo juu au??? Usitusumbue. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Shida na raha

    Msaada: Napata wakati mgumu sana kulala tangu nianze kuugua

    Wengine hawajui maana ya uradi unawapa wakati mgumu. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Shida na raha

    Fahamu kuhusu biashara ya kuuza nazi pamoja na uwepo wa masoko

    Pia inategemea na ubora wa nazi zenyewe... Zikiwa kavu na kubwa bei inakua juu mara dufu. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Shida na raha

    Fahamu kuhusu biashara ya kuuza nazi pamoja na uwepo wa masoko

    Nimechungulia leo mkuu samahani nilikua busy kidogo... Wote walio ni pm nimewajibu. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Shida na raha

    Fahamu kuhusu biashara ya kuuza nazi pamoja na uwepo wa masoko

    Ikiwa kuna mtu ana uwezo wa kuleta mzigo Zanzibar alete, ni biashara ambayo hautajuta. Ikiwa pia hauna ndugu, jamaa au rafiki mimi najitolea ila nitakupa mtu maana mimi niko busy na kazi zingine. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Shida na raha

    Fahamu kuhusu biashara ya kuuza nazi pamoja na uwepo wa masoko

    Habari za majukumu ndugu zanguni wa bara kote kwa ujumla. Uzi huu ulipotea kiasi fulani ila napenda kuwauliza tena wale ndugu zangu wanaotoka mkoa wa Tanga vipi mishe zinaendeleaje kuhusiana na nazi? Nimefufua tena uzi huu baada ya kuona nazi zimekuwa adimu na kupanda bei sana kisiwani...
  11. Shida na raha

    Mke wangu ananipa wakati mgumu mpaka natamani niwe nae mbali.

    Tatizo sio kula nje kuna kitu nyuma ya pazio rekebisha uone kama utakatazwa. Mbona mimi nakunywa supu mara kibao na namuaga na pia sijawahi kufanyiwa hayo.
  12. Shida na raha

    Mshahara wa mwalimu level ya degree ni kiasi gani

    Siku hizi naona maswali ya mishahara kwa kada mbali mbali yamekua mengi... Kunani? ]Kupata hakuna kudogo
  13. Shida na raha

    Vyakula au miiti gani inaongeza sperms kwa haraka kwa wingi?

    Unazingua... Sent using Kupata hakuna kidogo
  14. Shida na raha

    Dar Kama hauna pesa utapata tu wa kukuita boss.

    Sijui hata nipo nafasi ya ngapi. Sent using Huawei P20 Lite
  15. Shida na raha

    Naomba msaada wa kiroho Toka juzi napenda kulala uchi

    Acha ubaghili nunua feni. Sent using Huawei P20 Lite
  16. Shida na raha

    Na ubahili wangu lakini kwa huyu dada nilizama mfukoni

    Uliwatafuna wale watanga pamoja na wamakonde waliozowea Zenji.. Au ulichanganywa na lafudhi? Sent using Huawei P20 Lite
Back
Top Bottom