Search results

  1. MAKULILO

    Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    Nimepost more than 20 new scholarships at my page www.ebmscholarship.com All the best
  2. MAKULILO

    Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    Dear friends, please share these links for scholarship opportunities (Current university students, Bachelors, Masters and PhD) in Europe and North America. All these scholarships are 100% funding (tuition and fees). Forward to others through WhatsApp groups, share on Facebook, E-mails etc. Don’t...
  3. MAKULILO

    Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    Dear friends, please share these links for scholarship opportunities (Current university students, Bachelors, Masters and PhD) in Europe and North America. All these scholarships are 100% funding (tuition and fees). Forward to others through WhatsApp groups, share on Facebook, E-mails etc...
  4. MAKULILO

    TANZIA: Ajali yaua Padre na Waumini wake huko Masumbwe, Kahama jioni hii

    In Loving Memory of Fr. Andrew Lupondya My dear friend, schoolmate, Fr. Lupondya, You have gone today on Christmas Eve. I think you have gone early to celebrate with Angels and Jesus in Heaven in this Christmas. For us as friends, and all people you have been teaching and giving the Word of...
  5. MAKULILO

    Ripoti ya Twaweza ya #SautiZaWananchi: Magufuli na CCM wang'ara dhidi ya wapinzani - Sept 22, 2015

    Kuna ujumbe umekuwa unatembea kila kona kuhusu tangazo la utafiti wa TWAWEZA. Miongoni mwa wageni walioorodheshwa ni Dr. Alexander Makulilo wa Political Science UDSM Nimewasiliana naye muda si mrefu. Hahusiki na utafiti huo. Na tafiti za namna hizi ameshazitolewa articles mbali mbali...
  6. MAKULILO

    Naomba vyombo vya Dola kuwa makini na usanii mpya wa kuchangia Lowassa

    Donald Trump ni bilionea wa dola (trillionea wa hela za madafu) anachangiwa fedha za kampeni hapa Marekani. Hakuna mgombea wa uchaguzi USA ambaye hachangiwi CCM inachukua hela za walipa kodi kupitia EPA, ESCROW, DEEP GREEN, BUZWAGI nk kufanyia kampeni ndio maana haichangishi. Na pia wanaogopa...
  7. MAKULILO

    NEC: Hakuna sheria inayozuia matokeo ya Urais kubandikwa vituoni!

    Kweaheri bao la mkono...maana kusubiria tume ya taifa ya uchaguzi makao makuu kutangaza mgombea hapo ndio huwa wanaiba kura kwa kuweka namba tofauti...sasa hapa ndio mwisho
  8. MAKULILO

    Mchungaji Gwajima ana cheo gani ndani ya CHADEMA mpaka kushiriki mchakato wa mgombea?

    Mbona Askofu Gwajima alisema yeye aliingia kwenye kamati kuu kama nani. Alisema aliingia kwenye kwenye kamati kuu kama mediator, yaani msuluhishi ambaye tangu awali alikuwepo kuhakikisha mambo yanakwenda kama yalivyopangwa
  9. MAKULILO

    UDA vs "Mabasi yaendayo kwa kasi" - Tofauti ni rangi, Nani aliua UDA?

    Home (CLICK HOME FOR THE SOURCE FROM NIPASHE)
  10. MAKULILO

    UDA vs "Mabasi yaendayo kwa kasi" - Tofauti ni rangi, Nani aliua UDA?

    UDA yavua nguo wabunge wa CCM Mbunge wa Temeke (CCM), Abbas Mtemvu ( aliyesimama kushoto), akimnyoshea kidole Mbunge wa Urambo Magharibi (CCM), Profesa Juma Kapuya (kulia), kwenye mjadala mkali wa bajeti ya Wizara ya Fedha kwa mwaka 2014/2015 , bungeni mjini Dodoma jana. Wengine pichani ni...
  11. MAKULILO

    Uchaguzi umebadilika na kuwa ni "movement" ondoa CCM

    Unaposema alimia zaidi ya 80% ipo vijijini ukimaanisha kuwa wao ndio "wajinga" hawajui kinachoendelea umepotoka sana. Hivi kati ya Dar es Salaam na Shinyanga wapi ni mjini na wapi ni kijijini? Kuna wabunge wangapi wa upinzani kutoka Dar es Salaam, na kuna wabunge wangapi wa upinzani kutoka...
  12. MAKULILO

    CCM ianze kuzoea kuwa chama cha upinzani mapema

    Hivi Shinyanga ina wabunge wangapi wa upinzani mpaka uiweke hapo kuwa ni ngome ya ccm? Zanzibar nayo ni ya CCM, hahaha hiyo ni ndoto kubwa mno.
  13. MAKULILO

    CCM ianze kuzoea kuwa chama cha upinzani mapema

    Usiwe mgumu wa kuamini kinachoendelea. Tumia mfano mdogo huu, halafu uangalie kauli yako kuwa "upinzani bado sana kuing'oa CCM". Mwaka 2005, Kikwete alishinda kwa kupata kura 9,123,952 sawa na 80.28%, aliyefuata ni Lipumba (CUF) kwa kura 1,327,125 (11.68%), na watatu ni Mbowe (CHADEMA) kwa kura...
  14. MAKULILO

    Uchaguzi umebadilika na kuwa ni "movement" ondoa CCM

    Kinachoendelea sasahivi Tanzania na siasa: Imevuka ile hali ya CCM vs CHADEMA, CCM vs CUF, CCM vs NCCR etc. Sasahivi imebadilika na kuwa MOVEMENT. Wananchi wengi wana wanataka CCM iondoke madarakani. Na kwa mara kwanza katika siasa za Tanzania, uchguzi huu, CCM yenyewe imeona hilo kuwa inaenda...
  15. MAKULILO

    Made in USA clothing - wholesale and retail

    Nimefungua kampuni EBM WHOLESALE, LLC ambayo inauza Clothing and Accessories MADE IN USA nchini Tanzania. Unaweza kupitia tovuti yetu www.ebmwholesale.com na Follow us on www.instagram.com/ebmwholesale_llc , na www.twitter.com/ebmwholesale , Like us on www.facebook.com/ebmwholesale Unaweza...
  16. MAKULILO

    Mtangazaji wa Radio One, Rachel Udoba akamatwa-akiiba dukani huko Marekani!

    County sio Country. County ni kama wilaya kwa kiswahili. Hakuna nchi ya Gwinnett ktk jimbo la Georgia (GA). Ni kama ilivyo kwa Orange County au other counties
  17. MAKULILO

    KATIBU CDM "MIKUTANO YA ZITTO KIGOMA NI HALALI,Pia atakwenda MOSHI,Mnz,Shinyanga"

    Si kwamba Zito anataka uenyekiti wa Mbowe. Mbowe ameshamaliza awamu zake mbili za uongozi kwa mujibu wa katiba hivyo atoke madarakani. Zito Kama mwanachama yoyote ana haki kikatiba kugombea. Hivi Kikwete akitaka kuendelea kuwa rais kwa kubadili katiba kipengele cha ukomo wa awamu mbili, je...
  18. MAKULILO

    Another letter to my son - happy 2nd birthday benedikt

    WHEN LOOKING AT YOU, BENEDIKT HAPPY 2ND BIRTHDAY My dearest son, Benedikt Fulbright Makulilo, Guess what Benedikt? It is another February 10th. On every change of calendar year, such day is very significant and special to you. It was on February 10th 2011 at 5:42pm Pacific Time when you...
Back
Top Bottom