Search results

  1. Benjamini Netanyahu

    Simiyu: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA

    Kodi kibao ukifungua biashara, ukilima hujui utamuuzia nani? mahindi sahivi gunia ni 30,000 lakini mbegu mifumo 4 kwa ekari moja ni 60,000, bado hujakodi shamba, mbolea ya kupandia na kukuzia, kupalilia, kuvuna, kusomba, kutunza n.k
  2. Benjamini Netanyahu

    Zanzibar ndiyo waliotoa Mtaji kuanzisha BOT. Sasa wanataka fungu lao

    Berlin conference 1885, ondokeni haraka na mtu wenu
  3. Benjamini Netanyahu

    Zanzibar ndiyo waliotoa Mtaji kuanzisha BOT. Sasa wanataka fungu lao

    Mbona hakuna ardhi ya bara kule kwao?
  4. Benjamini Netanyahu

    Zanzibar ndiyo waliotoa Mtaji kuanzisha BOT. Sasa wanataka fungu lao

    Kwanza hatuwataki ondokeni huku kwetu
  5. Benjamini Netanyahu

    Zanzibar ndiyo waliotoa Mtaji kuanzisha BOT. Sasa wanataka fungu lao

    Juzi wamekwapua ardhi Bagamoyo leo wanaitaka BoT, mpka maza amalize kipindi chake vitu vingine sn watakuwa wamechukua
  6. Benjamini Netanyahu

    Familia ya Hayati Magufuli: Tumeacha muda ujibu, hatutajibu mtu yoyote

    Kumbe Saabaya alishitakiwa na CHADEMA? leo ndiyo nimejua
  7. Benjamini Netanyahu

    Bajeti ya Wizara ya Nishati 2024/25 yapunguzwa kwa karibu nusu ya Bajeti ya mwaka 2023/24

    Hizo hela watapeleka kununua ndege wapate sehemu ya kupigia badala ya kuelekeza kwenye kugharamia bima za wanyonge pamoja na elimu
  8. Benjamini Netanyahu

    Bajeti ya Wizara ya Nishati 2024/25 yapunguzwa kwa karibu nusu ya Bajeti ya mwaka 2023/24

    Hizo fedha zilizopunguzwa zinaelekezwa wapi? hapo ndiyo patamu, zinatakiwa zikagharamie bima za watanzania wanyonge
  9. Benjamini Netanyahu

    Bajeti ya Wizara ya Nishati 2024/25 yapunguzwa kwa karibu nusu ya Bajeti ya mwaka 2023/24

    Ni jambo jema, hizo fedha zilizopunguzwa zipelekwe NHIF kulipia bima za watanzania wanyonge zisiwe posho za majangili ya nchi.
  10. Benjamini Netanyahu

    PhD Anazoendelea Kutunukiwa Rais Samia ni Mbinu za Kisiasa?

    Maza ni mpenda sifa wanamjaza hewa kichwani watu waendelee kupiga mali za umma
Back
Top Bottom