Search results

  1. Official Amo

    CCM iweke hadharani ukaguzi wa hesabu katika ziara za Makonda nchi nzima, ubadhirifu usifumbiwe macho!

    Tujikite kwanza kwenye ripoti ya CAG kwanza Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
  2. Official Amo

    Mambo ambayo mwanaume wa thamani hatakiwi kuyafanya kamwe

    Tatizo vijana wengi wa siku hizi mna mashaka na uanaume wenu. mwanaume ni mwanaume tu haina haja ya kuwekewa vigezo.
  3. Official Amo

    Unakataa ndoa wakati ulipatikana kwa tendo la ndoa!

    Uhuru wa kukataa kitu au kukubali kitu hauusiani na kuzaliwa kupitia tendo la ndoa .. ndoa ni hiari hata vitabu vya dini vimeeleza
  4. Official Amo

    Jitahidi usifike miaka 30 bila kuoa au kuolewa

    sasa huamini vp wakati wewe ni mwanaume, hiyo kawaida sana
  5. Official Amo

    Kama lengo lako ni kuzaa ili watoto waje kukulipa fadhila kwa malezi yako basi nakushauri hairisha kwa sababu wewe ni mjasiriamali na sio mzazi

    Wazazi wanakuwa na expectations kubwa sana kwa watoto mwisho wa siku wanakuja kuwa disappointed. Mwisho wa siku wazazi wanawabebesha laana watoto.
  6. Official Amo

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    kada yangu naona written na oral
  7. Official Amo

    Watanzania tumeridhika kuishi na shida ya umeme kwa kiwango hiki?

    naomba sana hiyo siku iwe hata kesho🙏
  8. Official Amo

    Watanzania tumeridhika kuishi na shida ya umeme kwa kiwango hiki?

    Elimu yetu duni (iliyotupandikizia uoga) na ugumu wetu wa maisha ndio chanzo cha yote hayo.
  9. Official Amo

    Paul Makonda: Tuishi katika kweli, tusitengenezeane ajali

    Makonda hatoicha salama CCM.
  10. Official Amo

    Watanzania tumeridhika kuishi na shida ya umeme kwa kiwango hiki?

    Mimi ninachojua ukiteswa sana mwisho wa siku yale mateso unayaona kama maisha yako ya kawaida ..ndio hali waliyo nayo sasa hivi watanzania Mungu awasaidie hawa ndugu zangu wa tz
  11. Official Amo

    Kamati ya Bunge Kilimo, Uvuvi changamoto ni nyingi sana. Mawaziri Bashe na Ulega hamtoshi

    Secta ya Kilimo na Uvuvi lazima ipate watu wa matokeo sio watu wa bla bla kama ulega na wasaidizi wake maana ni secta zilizobeba maisha ya watu hasa wa wakaida kabisa.
  12. Official Amo

    Kamati ya Bunge Kilimo, Uvuvi changamoto ni nyingi sana. Mawaziri Bashe na Ulega hamtoshi

    yani anachoweza ni uchawa tu yan Samia ana kwamishwa na wengi sana. sema hajui tu
  13. Official Amo

    Kamati ya Bunge Kilimo, Uvuvi changamoto ni nyingi sana. Mawaziri Bashe na Ulega hamtoshi

    wakina magufuli na mpina waliwezaje katika nafasi zao hizo? japokuwa upungufu wa bajeti ilikuwa bado ni changamoto kwao.
  14. Official Amo

    Kamati ya Bunge Kilimo, Uvuvi changamoto ni nyingi sana. Mawaziri Bashe na Ulega hamtoshi

    Ulega, naibu wake hawatoshi kabisa katika hiyo wizara ya mifugo na uvuvi hasa uvuvi bora wakina mpina na magufuli walijaribu kuonyesha mwanga..uvuvi haramu umewashinda kudhibiti pia usimamizi wizarani ni mdogo kutokana upungufu wa watumishi hasa maafisa uvuvi.
Back
Top Bottom