Akubali hali ya usingle mother - maisha yasonge.
Na nyie mjifunze kuwa makini mnapoamua kuishi na mke wa mtu, ili athari kama hii isijirudie huko mbele.
Maji ya mvua yasipowekwa chlorine (mfano waterguard) huingia aina za wadudu/fungus na kuharibika haraka, hata rangi aghalabu hugeuka kijani fulani.
Ukiongea a watu wa idara ya maji utapata ushauri jinsi ya kuhifadhi maji ya mvua, na namna ya kupata hizo dawa zenye chlorine.
Ukiyatreat hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.