Search results

  1. K

    huyu vipi?

    jamaa hana makosa ila hao waliomwandikia ndio wamemchora,wanatengenezaje sinema bila kuzipitia?
  2. K

    huyu vipi?

  3. K

    Kizazi Cha Sasa Hivi Bwana!

    picha nzuri,waone wenyewe hao wanaenjoy,very innocent kids,afya nzuri,furaha tele,mwenye ENZI Mungu awape umri na awazidishie afya nzuri
  4. K

    Wabunge na vikuku

    jamani bongo full maigizo mpaka bungeni....ila warembo hao,,,
  5. K

    Mtoto huyo kavutwa kope na mwalimu(Adhabu!)

    no no no jamani nini sasa hii,huyo mwalimu lazima anatumia drugs....
  6. K

    Mambo ya kwa Babu LOLIONDO

    mti huo majani yake ni chakula cha twiga toka enzi hizo(nenda kwa michuzi kuna habari zaidi)
  7. K

    Mambo ya kwa Babu LOLIONDO

    mhu jamani michuzi kaweka eti karibia watu saba wameshakufa sababu wamepelekwa wakiwa mahututi,pia msongamano ni mkubwa kupita kiasi,mi naona serekali ingeingilia kati kusaidia watu na huyo mzee,sasa wiki mbili hujamuona babu na watu wanazidi kwenda si balaa hilo,Mungu ambariki huyo babu azidi...
  8. K

    Msaada: Uvimbe wa wanawake kwenye kizazi

    uo uvimbe unaitwa fibroids ni common sana kwa wanawake weusi,wapo wanawake wengi wanapata watoto bila kuudistabu chakula chake kikubwa ni oestrogen mwanamke akiingi menopause uvimbe unanyauka .kuna ambao unaota ndani ya kizazi na mingiine nje ya kizazi.kuna docta mzuri sana mwanza anaitwa dr...
  9. K

    Ni heri nitoke jf

    we ndo kibalaka wa nguvu,kwenye comment nyingi mbio ndo huko unakimbilia,wenzio humu wanaukoo jitahidi jipendekeze jipendekeze utakua unasalimiwa,ukipotea utakua unaulizwa ulikua wapi?nipishe mie ntypu nnachojisikia kusema..........mzee mzimaaaa.....we ndo mjambaji nini?mpigo mmoja...........
  10. K

    Kitamu share na wenzio....hii kali

    sasa kwanini wasiongeze pombe wanaongeza maji wanatoa utam wote wa rubisi.
  11. K

    Ni heri nitoke jf

    ahaa sasa nimeelewa,kumbe ile post ya kabao kamoja na kujamba jamba na kuambiwa kama kidume onyesha nyumbani kwako kwanza ndio iliyowaboa ndo maana tuka........ dada wa watu ama kweli ukweli unauma.au sio ivyo?
  12. K

    Uzuri wa mwanamke upo wapi? Ni upi?

    acha uongo kimbweka,hayo mambo ya kunuka ya zamani enzi za karikiti,ebu uko......
  13. K

    P DIDY wa Maimatha afariki dunia

    Jamani.rip
  14. K

    Hivi Matonya yuko wapi wadau?

    angeendelea kuimba tu huko china!!!namuonea huruma atauwawa.maskini naupendaga wimbo wake wa ANITA NA VAIRET.
  15. K

    Tiger Woods aachana rasmi na mkewe

    apart from kwamba ni goffer number one duniani,there is something serious wrong!!!jamaa anakiusaiko fulani.ukisikiliza mazungumzo yake unaona kabisa kuna kitu kina miss.bora dada wa watu kapata kimshiko chake na kaanza watoto watakua tu,kuna faida gani ya kulea watoto bila amani ,upendo na furaha.
  16. K

    HIV-new case

    muhimbili wanakitengo,wanaangaliwa vizuri sana na dawa bure,unapimwa hizo cd4 kila baada ya mwezi sikumbuki vizuri,ila cliniki yao bomba sana wanasaidia mno kiushauri na dawa za hapa na pale.
  17. K

    TAKUKURU mmenidhalilisha na kunisingizia

    umenichekesha!!!!!
  18. K

    Haya muangalieni shemeji yenu huyoo

    shemeji ni wa nguvu,kuanzia nyonyo mpaka body yake iko toned,nampa 107%
  19. K

    Saluni za kunyoa nywele sehemu nyeti

    ' mwili umesisimka,AUCHI!!!!!!HIVI IKING'ANG'ANIA INAKUAJE?lazer poa ila inabidi ufanye ukishamaliza kutengeneza familia,kwa vile ukipata mimba nyele zote zinaota upya.alafu inachukua treatment kibao mpaka nyele ziishe.
  20. K

    Waziri apiga magoti,atoa shikamoo akiomba kura...!!!

    Fisdi atatumia kila njia akukamue,ata kutambaa wanaweza kweli tutajionea mengi.
Back
Top Bottom