Search results

  1. Sara

    Kwanini Watanzania wengi wanashindwa kutofautisha R na L kwenye kuandika Kiswahili na si Kiingereza?

    Mimi shidayangu kuitamka r na l kwenye english mtihaniiiii
  2. Sara

    Maisha ya Ulaya hasa Norway ni mazuri sana, Bongo bado sana

    ILa sio kwa upweke ule wa kuishi ulaya hapana aisee. mi bongo sihami wacha tukomae hapa hapa
  3. Sara

    Kwanini watu wa dini wanaepuka mijadala ya historia ya utumwa ya mwafrika

    Wanaogopa tutafunguka akili na wao watapoteza ugali na mboga kwa ujumla
  4. Sara

    Naomba Nijuzwe kama ni kweli kuna Wamarekani weusi wanahamia TZ kwa wingi

    wana enjoy sana tu mkuu, ingia youtube uonewanavyo hamasisha wenzao waje kuishi Tanznia au Africa. Wanasema maisha ni raisi mno bei za vyakula na kodi za nyumba ni cheap sana kulinganisha na hook kwao.
  5. Sara

    Naomba Nijuzwe kama ni kweli kuna Wamarekani weusi wanahamia TZ kwa wingi

    Ndio wapo kibao sana tu hasa maeneo ya Kigamboni na Mikocheni, mi najua Wamarekani wengi weusi wanahamia Afrika kwa hiari yao na mapenzi ya kuipenda Africa. Wapo wengi Zaidi Ghana na Ethiopia nasikia. Kwa East Africa ni Tanznia na Kenya
  6. Sara

    Natafuta wa kumrithisha mikoba, kilinge

    Hakuna cha moto wala mioto ya milele😜
  7. Sara

    Natafuta wa kumrithisha mikoba, kilinge

    vipi ulishafungua kituo chako cha kazi?
  8. Sara

    Natafuta wa kumrithisha mikoba, kilinge

    Usinisahu na mimi kwenye huu mgawo mh!
  9. Sara

    Utani wa Jadi Special Thread

    haya twende kazi
  10. Sara

    Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Ndio maana mikorogo haitokaa ikose wateja hehehe
  11. Sara

    Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

    Nae amevuna alichopanda. miaka yake ya ujana aliumiza wazazi wengi sana, hahaha.
  12. Sara

    Mwanaharakati Zara Kay akabiliwa na mashtaka ya kuwa na uraia pacha nchini Tanzania. Hati yake ya kusafiria yachukuliwa na Vyombo vya Usalama

    she might be very aggressive and bit silly, lakini kuna Ujumbe kidogo kwenye maandiko yake especially katika issue ya dini. Lakini ki ukweli DINI zimetufanya watumwa.
  13. Sara

    Wale ambao hatutaoa kamwe tujadili namna ya kuhudumiwa uzeeni

    Mchongo huo---wajanja wacha tufungue Nursing home soon ntakua napokea wake kwa waume wazee wasiojiweza kujitunza na kujihudumia wenyewe.
  14. Sara

    Mwanaharakati Zara Kay akabiliwa na mashtaka ya kuwa na uraia pacha nchini Tanzania. Hati yake ya kusafiria yachukuliwa na Vyombo vya Usalama

    Hiyo ni mawazo yako, mimi nimesema she is brave. unaweza fatilia page yake insta ukajifunza mawili matatu.
Back
Top Bottom