Search results

  1. R

    Mr Freeman Aikael Mbowe as i know him so Far

    Kumbe kithungu ni ,,UTATA EHEE".
  2. R

    Dk. Bana awajia juu CHADEMA/CUF kuhusu M4C & V4C

    Asante Mkuu kwa hii picha, Jinsi jamaa alivyo na sura ya hovyo kama meno na maneno yake, itabidi ni i print ili watoto wangu wakianzia kulia niwatishie kwa picha ili wanyamaze.
  3. R

    Jaji WARIOBA: Simsikilizi tena LISSU

    Do do do hivi kweli we ni Great Thinker au :-)
  4. R

    Tundu Lissu: 'Bunge la Bajeti' is another silly season!

    Uuuri arh Ighamba rahimba malolo aisee,,Isango'' Tupo pamoja'' ??Msalimie mnyampaa ,,D"
  5. R

    Benno Malisa aishambulia vikali CHADEMA

    Aisifie.asiisifie mwenyewe kaona kwamba ngoma imepasuka.There is no point of return.
  6. R

    Kijiji kizima kujiunga na CHADEMA Jumatano hii

    Ama kweli we ni ,,Fisadi Mtoto". Manake hata kiswahili hujui!!!alobaini ndio nini?au ulikuwa na maana arubaini we ni Gabachori au Msomali?
  7. R

    Lissu aitimulia vumbi CCM Babati, 1500 wajiunga Chadema, we acha tu

    Hata kama itakuwa hivyo hapajaharibika kitu.Si unajua pale kwenye jimbo la Lisu wanamwita ,,Ighamba". yaani ni lile dume la ng'ombe. Kwa hiyo sasa hivi hata wakirudia uchaguzi CDM watashinda kama vile kumsukuma mlevi.
  8. R

    Hongera mh.nape kwa kuyamwagia tindikali magamba yote..sasa yanapukutika

    Sawa tumeshakusoma ,,greenstar" sasa unaweza kwenda Lumumba kwa Nepi kuchukua mshiko wako wa Mboga watoto wasije kufa njaa.
  9. R

    Oh! Brother Lissu where art thou?

    Magamba walijua hiyo ndio maana wakaamua kumchelewesha kwenye kesi isiyokuwa na kichwa tumbo wala miguu.Yupo singida kwenye kesi waliomfumfungulia.Shame on Magamba's.
  10. R

    Hongera CHADEMA Singida mjini kwa kutimiza ahadi

    Wanampenda kwa wali na nyama ya ng'ombe anazogawa wakati wa kampeni, halafu ng'ombe wenyewe huwa ananunua walikaribia kufa kwa ungonjwa wa malale baada ya kuumwa sana na mbung'o.Si unajua tena pale uswahili umejaa kazi kunywa kahawa tu,,Munio wake mkonongo usuu".
  11. R

    Naanza kumkubali/kumpenda JK

    Mkuu ,,Ulukolokwitanga''. Kikombe cha babu wa Samunge Loliondo si mchezo bana, walioamini wamepona ambao hawakuamini ndio hivyo tena.
  12. R

    Mwakyembe aipasua serikali; Pinda amtaka azungumzie hali yake!

    Acha hiyo tu huyu ni waziri mkuu bomu ambaye hajawahi kutokea TZ. Angalia hii pia. Nanukuu: Pinda alisema inabidi posho za wabuge ziongezwe kwani wapo wabunge ambao mwisho wa mwezi hawabaki na kitu, kwani fedha zao zote za mishahara zimekatwa kulipia madeni waliyoingia kwa ajili ya kusaidia...
  13. R

    CHADEMA yatikisa Manyoni na kuvuna wanachama

    Mkuu Rejeo naona huyo Rais wa mkoa amechanganyikiwa kwa sababu anaongea vitu bila kufanya utafiviti,SGD kuna sehemu mahindi yankubali kwelikweli ,ntakutajia baadhi tu ni kama ,Ilongero, Mtinko, Mpambaa, na Iambi ukija wilaya ya manyoni sehemu kama Heka,Nkonko,Mpapa na maeneo mengine. Ndio...
  14. R

    Wananchi wanakula mizizi Kisarawe

    FF mchawi wako amekufa au????Mbona huna huruma hata kwa ndugu zako,kulikoni? Au mchawi ndio wewe mwenyewe?Lakini yote yana mwisho. Amen
  15. R

    BABATI: 15 Ethiopians Jailed One Year Each

    Mkuu ,,BornTown" vipi faza au ndio pilikapilka za mwaka mpya au ?Soma tena Total 15yrs maana yake kila moja ni mwaka faza Happy new year.
  16. R

    Wafu wangekuwa wanafufuka. Huu ungekuwa wakati mwafaka wa NYERERE Kufufuka na kukuta JK ndio Rais

    Mi nadhani angeomba arudi tena huko huko alikotoka:-)
  17. R

    Polisi singida wateka, watishia bunduki na kutaka kumlawiti mfanyabiashara

    Waugwana Tafaadhali hebu tujiuganishe tufanyane kitu cha kueleweka.Hapa nilipo nina hasira karibu roho ipasuke.Kwani inanikumbusha nilipokuwa singida nikakodi teks kunipeleka stendi mara tax driver akasimamisha nje ya stedi kwa kwa maelezo kwamba hapa ni shortcurti kufika kwenye basi ,lakini...
  18. R

    Zitto alipuka posho za wabunge kuongezeka kimya kimya

    Do kweli we ni Nyani Ngabu:shock:,,no more comment".
  19. R

    Kitendawili kimetegwa - Kikwete Tegua...

    Mwita nilianza kuona umebadilka kumbe ni bomu namna hii!!! Maelezo mengi yakowapi??Ama kweli ukitaka kumumuibia Mtanzania Mwanzoni weka maelezo mazuri katikakati weka vipengengele vyako na mwisho muwekee maneno matamu halafu malizia na signature..Ndio maana tunaiingizwa mikenge kwenye mikataba...
  20. R

    Singida goigoi kiuchumi, ila hoi zaidi kielimu zaidi!

    Do MkuuTzPride kweli umeipatia kwelikweli,Ndivyo tunavyoita hapo kwetu,ama kweli ujinga ni mbaya sana na MO anatuchezea kama watoto,,mufurhu".
Back
Top Bottom