Search results

  1. Kahema

    Mkurugenzi wa TAKUKURU, uko wapi katika sakata la wafanyakazi wa TBL kudhulumiwa fedha zao?

    Huyu alileta uzi huu hajitambui. iwe kwa makusudi au katumwa. kifupi amedandia treni kwa mbele. kitu cha kwanza anachotakiwa kujiuliza ni why current employees hawajalalamika? why alikubali kustaafu bila kuchukua haki yake kama ipo? wapi aliwahi kukatwa pesa yake ya mshahara kununua shares? toka...
  2. Kahema

    Truth shall set you free

    kama nakuona vilee pole sana.
  3. Kahema

    TTCL mobile 4G

    kiongozi , mi sio mtaalam sana wa mambo haya, ila nimejaribu sana kutumia ttcl 4g. speed yao ni nzuri kama alivyosema mtoa mada ila kiukweli kama unafanya live streaming ni mbovu kuliko hata 3g ya voda. so nadhani kuna relation kubwa sana kati ya ping vs speed when comes to live streaming
  4. Kahema

    Kwanini TTCL inanisumbua kwenye Live Streaming?

    jana nimejaribu kuzima laptop nikabaki na display ya tv pekee nimeona improvement kwa ttcl hapakua na buffering kama ilivyokua , speed ya 23Mbps na ping ya 132
  5. Kahema

    Kwanini TTCL inanisumbua kwenye Live Streaming?

    sorry kiongozi laptop inatumia window 7 proffessional processor. intel R core TM(2 Duo CPU T9600 @2.8 GHz RAM 2GB
  6. Kahema

    Kwanini TTCL inanisumbua kwenye Live Streaming?

    thanks sana Ni kweli hua nina display screen zote mbili, nitajaribu kuzima hiyo ya laptop tv yangu ni full HD , 1080 p nita confirm hizo spec za laptop nikifika home ubarikiwe sana.
  7. Kahema

    Kwanini TTCL inanisumbua kwenye Live Streaming?

    sawa kiongozi nitajaribu nikifika home. kingine, mbona nikitumia laptop kidogo inakua stable, ila nikiconnect hiyo laptop kwenye screen ndo hali inakua hovyo kabisa.
  8. Kahema

    Kwanini TTCL inanisumbua kwenye Live Streaming?

    Ni wakati huo huo, ila maranyingi ninaconnect laptop kwenye flat tv natumia hdmi cable
  9. Kahema

    Kwanini TTCL inanisumbua kwenye Live Streaming?

    Asante kiongozi ila kama issue ni server, mbona kwa voda inakua nafuu kidogo kuliko TTCL?
  10. Kahema

    Kwanini TTCL inanisumbua kwenye Live Streaming?

    Habari wandugu Kama kuna mwenye uelewa na hili naomba anisaidie. Hua natumia internet kustream live football match, lakini mara nyingi internet inakua slow sana. Natumia 4G ya TTCL na hua nikitest speed inakua kati ya 25Mbps (downloading) ping inakua kati ya 37+ ila picha inakata kata sana...
  11. Kahema

    Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

    chief hebu nisaidie kidogo, natumia laptop, ila kodi inatetemeka ile mbaya kiasi kwamba hata siwezi ona chochote. nimejaribu kuinstall upya bado tatizo linaendelea. wapi nirekebishe? kodi niliyoinstall ni latest vasion.
  12. Kahema

    Tujulishane: EPL inaanza, DSTV hawashikiki tena kwa bei zao mpya

    Habari wadau, Jumamosi EPL inaanza kutimua vumbi, DSTV hawashikiki tena kwa bei hizo mpya, kama kuna mtu amepata maujanja ya jinsi tunavyoweza angalia mechi tafadhali tujulishane, Thanks
  13. Kahema

    Nahitaji kuoa anybody serious

    asante
  14. Kahema

    Nahitaji kuoa anybody serious

    am not that desperate as you think najitambua vizuri kiongozi jaribu huwezi jua
  15. Kahema

    Nahitaji kuoa anybody serious

    kiongozi mbona unatoa povu? hujalazimishwa kujibu staarabika kidogo, japo kwa leo tu
  16. Kahema

    Nahitaji kuoa anybody serious

    please try, you never know
  17. Kahema

    Nahitaji kuoa anybody serious

    kwani wewe mchaga? i can even think otherwise please try
Back
Top Bottom