Search results

  1. Kingdom_man

    Vunja Bei SmartPhones: achana na bei za zamani sasa Bei imepoa:

    Vipi kioo cha note 5 unacho? Bei?
  2. Kingdom_man

    Huyu Kamanda wa Jeshi anatukera sana wakazi wa Mbezi

    Kwanini mbona CDF unatembea na gari 3 tu bila MPs kuninginia na mabunduki. Chief of Staff ana nini cha ziada?
  3. Kingdom_man

    Wauza smartphone tukutane hapa

    NATAKA LG V20 BOXED KAMA UNAYO NICHEKI
  4. Kingdom_man

    Wauza smartphone tukutane hapa

    NATAFUTA LG V20 MPYA. MWENYE NAYO
  5. Kingdom_man

    Roman Abramovich Mmiliki wa Klabu ya Chelsea Ahamia Israel na Kupewa Uraia

    Aisee hii habari kiboko. Na mwanamke aliyewakutanisha Prince Harry na Meghan anaitwa "Mischa Nonoo" ni Myahudi. Hii script mbona kama imepangwa hivi?!
  6. Kingdom_man

    Roman Abramovich Mmiliki wa Klabu ya Chelsea Ahamia Israel na Kupewa Uraia

    Aisee. You have enlightened me bro. Kweli huwezi kushindana na Wayahudi kwame!
  7. Kingdom_man

    Roman Abramovich Mmiliki wa Klabu ya Chelsea Ahamia Israel na Kupewa Uraia

    Aisee umepata wapi hizi deep info mzee? Tell us more!
  8. Kingdom_man

    Hatari sana, kumbe kuna uhusiano na urafiki wa kimahaba kati ya pesa/mali na mwanamke

    We jamaa fala sana. ulikuwaga unaandika madini kweli zamani. sijui nini kimekuingilia!
  9. Kingdom_man

    Kesi ya Bilionea Msuya: Licha ya mateso ya Polisi bado mshitakiwa akana kuwa na ukaribu na Chussa

    Duh aisee hii ngoma ya moto bado. jamaa wapo ndani tokea 2013. Lazima wamechoka aisee. Kwa maono yako kama Chusa hana kesi na Sharif kakataa ushahidi na dereva anamkataa Sharif. NANI SASA KAFANYA TUKIO??
  10. Kingdom_man

    Maadhimisho ya kuundwa kwa taifa la Israel

    Yericko you have lost touch now days bro. find something else to do Zamani ulikuwa ukiandika thread ilikuwa hatari. sasa umechuja kwanini?
  11. Kingdom_man

    Huwa simuelewi huyu Ansbert Ngurumo na post zake kama hizi ana maana gani....

    "Nitakupeni maelekezo baadaye" Kila siku hiyo hapo juu ndio kauli yake kuu. Namuona mzushi!!
  12. Kingdom_man

    CHADEMA hawako serious; kama kweli walishinda kata nyingi kama wanavyotuaminisha basi watinge mahakamani

    Hakuna Upinzani hii nchi. Wapinzani 80% ni mamluki wa ccm.
  13. Kingdom_man

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Mashudu yapo Dodoma mkuu. Karibu
  14. Kingdom_man

    Nahitaji kufahamu bei ya Mahindi mkoa wa DSM

    Dawa nikusaga na kuuza kama unga kilo 5 na kilo 25 kwenye package!
  15. Kingdom_man

    Nahitaji Alizeti tani 10

    Ninauza mashudu tani 10 kama unataka!!
  16. Kingdom_man

    Wapinzani, kabla hamjafikiria kupeleka malalamiko Tume ya Uchaguzi, jiulizeni swali hili

    Kama Mbowe angekuwa MPINZANI kwelikweli na sio pandikizi hakika tungekuwa na Mapinduzi Nobody is really serious
Back
Top Bottom