Dah! Hii ilinikuta juzi aisee... Nimepanda basi natoka Tabora nipo na Tablet naperuz zangu Twitter huko. Kumbe jamaa anashuka na post zangu moja baada ya nyingine uzalendo ukamshinda kwenye post ya kikosi cha Simba akaniambia emh rudisha hapo sijamaliza[emoji28]
Wanasema hii ni mara ya pili dogo kutokomea hapo shule, je, mara ya kwanza pia alibakwa? Je, akibakwa ndio atoroke shule!? Mbona hiyo clip hajaongelea ilikuaje akafika kwa muuza mkaa?
Ni kweli mkataba una mapungufu ila nahisi mama ana hisa kwa braza Karamagi. Ni kama anapiga pasi hivi TICS ipewe bandari nyingine za Tanzania ikaoperate.
Ushuru na kodi ni kitu kimoja? Maana habari inaongelea ushuru wewe unauliza kodi. Pia habari inasema wataanza kutoza ushuru, nadhani hawamaanishi kupunguza au kuongeza ila wanaanza(kitu kipya). Nimejibu kutokana na utangulizi wa swali lako, sina taaluma ya kodi.
Mnaosema tungewekeza kwenye gas wala sipingani nanyi, ila kwa sasa busara ni kuanza na huo umeme wa maji. Hilo bwawa ukiacha kutuzalishia umeme pia litasaidia kuokoa lita nyingi za maji yanayomwagika tu baharini na kuyatumia katika shughuli nyingine za kiuchumi kama kilimo na ufugaji wa samaki...
Ukweli ni kwamba kufundisha ni wito, hivyo wengi wanaochukuliwa kwa nafasi hizo za assistant lecturers wakipata green pastures lazima wakimbie. Kumbuka wengi wanaopata hizi nafasi ni rahisi kupata ajira sehemu nyingine. My mtazamo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.