Search results

  1. C

    Jini hili au

    Jamaa kama imekutouch flan hivi maana from no where na matusi juu! Its ok, ni mambo ya jamvini hayo!!!! Ku-do nae sikumaanisha namtamani ila nilitaka kuweka picha halisi kuwa majini nielewayo mimi kama hilo ni jini story zinasema huwa likikutokea ndotoni ni lazima m-do. Hivyo si kama...
  2. C

    Jini hili au

    Jamaa kama imekutouch flan hivi maana from no where na matusi juu! Its ok, ni mambo ya jamvini hayo!!!! Ku-do nae sikumaanisha namtamani ila nilitaka kuweka picha halisi kuwa majini nielewayo mimi kuwa kama hilo ni jini story zinasema huwa likikutokea ndotoni ni lazima m-do. Hivyo si kama...
  3. C

    Jini hili au

    Ni Jini Jamani??!!! Ni hivi, nilikuwa natoka kazini nimesimama stand ya daladala nikisubiri usafiri kwenda home, ilikuwa kama saa tatu hivi usiku as usual tulikuwa wengi stand hivyo sikuwa na wasi kabisa. Ilipita Range Rover Sport ikasimama kwa mbele kidogo na stand na alishuka binti...
  4. C

    Uafrika ndio huo, nani zaidi?

    Teh! Teh! Teh! Mmesahau kitanda hakizai haramu, bado ni mwanae huyo waungwana! Teh! Teh! Teh!
  5. C

    Nijuzeni jamani...Kigoli ni mwanamke wa namna gani???!!!!....

    Kigoli ni msichana aliyekwisha balehe (kupevuka) yaani aliyevunja ungo ambapo yupo katika hatua hizo lakini hajawahi kuingiliwa na mwanaume kimwili. Sina uhakika kwa wale wasagaji, i mean msichana amekwisha pevuka then hajaingiliwa na mwanaume ila anasagana kama nae ni kigoli bado. Siku...
  6. C

    Guys tunachohitaji toka kwenu ni kidogo sana....................

    Nakupa tano mkuu, mwanamke mpe yote, mfanyie yote but still atakufanya pumbavu!! Kwani ni mara ngapi tumesikia wanawake wanajisifu kuweka waume zao viganjani hawafurukuti wala hawakohoi kisa tu unakuta labda wanaume ni jamaa wapo fresh. Kiukweli ladies hawaeleki kabisaaaa!!!
  7. C

    Guys tunachohitaji toka kwenu ni kidogo sana....................

    Nakupa Tano Klorokwin!!! Kifupi Wanawake hawaeleweki, mpe yote, mfanyie yote atakugeuza mpumbavu! Tumesikia mara ngapi mwanamke anasema nimemuweka mume wangu kiganjani, hafurukuti? Kumbe jamaa ni respect tuu inamtuma kuwa mpole. Zaidi ya hapo ni respect kwenu
  8. C

    Home work!

    Si mama huwa anakuchapa mwanagu? Basi alitaka kunchapa na mie nikawa namzuia....!!!! Mh! Wanitisha, Yamekukuta nini?
  9. C

    Ikitokea kwako utafanyaje?

    Ajali huwakumba wanaochukua na wasiochukua tahadhari!! Ingawa kwa anayechukua tahadhari humjia katika madhingira ambayo hayakwepeki (mfano hayo ya kwako) Hupaswi kujuta but ni funzo la kukuongezea umakini ili lisitokee tena. Onana na mwenzio ili ujue moyoni mwake alidhamiria au ni ajali kama...
  10. C

    Wanaume na ndoa!

    Inaafatana na mtoa uamuzi. Inaweza kuchukua mwaka, na hata miaka! Ila wengine tunaogopa MAJUKUMU! Unajua yula wakukutana na kuachana, hana gharama! Yap! Unajua akijijua kaolewa anajua hang`ooki na hata aking`ooka na mali mnagawana, hivyo visa vyake balaa!!!
  11. C

    Wanaume na ndoa!

    Kumbuka kuoa au kuolewa ni kwamba umeamua huyo ni wa maisha yako yote awe dokozi au kikojozi, lazima uwe makini na mtulivu kufanya maamuzi. Ukiona mwenzio anataka kutoka mbio, usiingie kichwa kichwa! Lazima uchungulie kulikoni. Only that na wala si uoga!!
  12. C

    Nilifuata tigo mke wangu!

    Habari wana JF? Mambo mengine yakijadiliwa hapa ndugu zangu unaweza kudhani ni ya kutunga lakini kumbe yapo, hii ni live imetokea kitaa juzi!! Kuna jirani yetu hapa ambaye huwezi dhania ila ndiyo kama hivyo (mtu Mzima), alifumaniwa na mkewe live kwenye chumba cha guest house na inaonekana...
  13. C

    Najiuliza swali hili kila siku!!!!!!!!!

    Habari wana JF?Mimi huwa najiuliza swali moja, Watanzania tunafanya kazi saaana na tunakatwa Michango ya mifuko ya jamii kila mwezi. Hivi hatuwezi kuitumia fedha inayoingia kwenye hii mifuko ya jamii kama amana kukopa Mfano PPF, PSPF, NSSF, LAPF na n.k?Nauliza hivi kwa sababu kuna mgeni...
  14. C

    Hiki kisasi ni kibokoooo!!!!!

    Wana JF Muoneni huyu dada ambaye alianza kusema hivi: Sikia Chip, wewe unanifamu long time na mahusiano yetu kwa kiwango kikubwa unayafahamu. Sijamkosea Josh wala kumfanyia hiyana yoyote ile, hata yeye mwenyewe hajanikosea hata siku moja. Josh ananijua tangu sekondari na hata nilipomaliza...
  15. C

    Sababu za mwanaume kushindwa kurudia tendo!

    Kuwa na desturi ya kubadilisha viwanja uone.......!!!!!!! Kuchezea uwanja wa nyumbani pekee ni tatizo kubwa. Siku moja moja unajikung`uta unampeleka wife saloon anapendeza then unampeleka viwanja vizur vizur pembezoni mwa mji au nje ya mji. Usipokwenda extra time au ukimchoka basi inabidi...
  16. C

    Serena advert and greedyness of Kenyans

    Safi sana bro.....! but we are still asleep!!!!... Pamoja na kwamba wametusaidia kutangaza, kumbuka wale tourists watapitia Kenya then ndiyo watajua ukweli ndipo waje TZ either kwa gari au plane tena. But cha kusema ni kwamba bado wakenya wanatuibia mapato meeeengi sana ambayo tungepata kwenye...
  17. C

    Saloon za kike Kichaka cha umbea???

    Naomba niwe shuhuda, Mke wangu alikutana na kuwadi saloon hadi leo sitaki kusikia habari za saloon. Ilikuwa hivi: Mke wangu kila alipokuwa anataka kupendeza alienda saloon flan kujirekebisha kumbe kuna jamaa linamfukuzia likaanza kufua tilia nyendo zake na kugundua saloon anayotumia then...
Back
Top Bottom