Search results

  1. Dijina40

    UKIMWI upo ndugu zangu

    0786088074 Kwa Tiba.
  2. Dijina40

    Wanaume na suala la kuhonga

    Pale hata jogoo tu wa kuku alipowashinda. Maana jogoo hutafuta akajipendekeza kwa jike, na jike ataamua ama abonyee ama la ili jogoo aendelee kutafuta funza mzr zaidi mpaka jike akubali. Yaani hata wanyama wamebaki na taratibu za kimaumbile zinazoimarisha mahusiano. Pole zao wana, Mungu tu...
  3. Dijina40

    Kama siyo mlemavu sikushauri utumie choo cha kukaa nyumbani kwako

    Safari zangu zote ughaibuni (USA included) sikuwahi kamwe kukiona choo cha kuchuchumaa. Kamwe sikukiona. Mnaopenda vya kuchuchumaa ni hiyari yenu lkn aliyetutangulia technology yuko vya kukaa. Vya kuchuchumaa ni upgrade toka vya shimo kijijini. Wanaleta maneno meengiiii, urongo mtupu.
  4. Dijina40

    Machache niliyogundua kuhusu wanawake kwenye mahusiano

    Na iwe hivyo kwa wanao, binti zako, dada zako, mama aliyekuzaa, shangazi, bibi zako wote. Imeenda.
  5. Dijina40

    MWALIKO KWENYE MAKAMBI

    Mtukutu wa Nyaigela said: Sawa mkuu. watafundishwa kutii mamlaka kwa bwana Nilijibu hiyo. Kuwa na akili wewe kwanza usikurupuke.
  6. Dijina40

    MWALIKO KWENYE MAKAMBI

    Mie mwenyewe nimemtimua Jumamosi, wiki nzima anafunga nyumba anaishia Makambi kurudi giza, hakuna kuaga wala kushuka ni kama vile amepanga kwa Mwarabu. Jumamosi karudi kiburi kama pepo nikamtimulia mbali. Hata mimi nimeajiriwa na ninaheshimu mamlaka zilizo juu yangu duniani.
  7. Dijina40

    MWALIKO KWENYE MAKAMBI

    Kwa hivyo mnawafundisha kuitii Mamlaka ya Bwana pekee ya Duniani haitakiwi kuheshimiwa? kama ni hivyo sasa naelewa uharibifu wa tabia yao unatokea huko.
  8. Dijina40

    MWALIKO KWENYE MAKAMBI

    Muwafundishe wadada wa kazi kuomba ruhusa, kuaga kwenda kwenye hayo Makambi. Yaani dada kaamka J3 anajiandaa kwenda Makambi bila kutoa taarifa. Muwafundishe kuwaheshimu wakuu wao wa kazi. Wiki nzima anafunga nyumba anasepa kurudi saa 1 kasoro jioni, Makambi. Hakuna kuomba ruhusa, hakuna...
  9. Dijina40

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Nina wiki 3 channels zote zimepotea baada ya kununua kifurushi, inaonekana TBC1 na Guide tu. Nimeshawapigia simu sana na kuwasiliana nanyi lakn hakuna suluhisho. Msaada tafasali. 02035760135
  10. Dijina40

    Nimeshindwa Kuvumilia naombeni msaada wenu wa haraka nimuokoe huyu Mtoto kwa Mama wa Kambo

    Genta chukua ka video, hata ka sauti tu. Kama huwezi ajiri kijana akufanyie kazi ya ku-shilawadu ukishapata ushahidi huna haja ya kuongea unamwonyesha muhusika. Watoto wanapata shida sana na baadhi ya wamama wa kambo.
  11. Dijina40

    Hivi ni ukoo wetu tu tuko hivi au na wengine mna experience upuuzi kama huu?

    Ukoo umeenda mbali, wengine tukikusimulia ya ndani ya familia ya ndugu wa tumbo moja, wazazi kupendelea waovu na kuungana nao kuhujumu wengine wanaoonekana "wanajidai wako vizuri" hutakaa uamini. Tenda wema uende zako.
  12. Dijina40

    Kwa tabia hii wamama na wadada mnamaanisha nini?

    Jibu: Marahabaa au Jibu: Sijambo tu - Wataelewa salaamu unayoitaka.
  13. Dijina40

    Hivi mwanao akipata 1/43 kuna haka ya kuendelea kumlipia ada?

    HA HA HA HA HA HAAAA! Watu mna vituko kweli nyie. Napita tu jameni.
  14. Dijina40

    Mishahara mipya Novemba 2017 kuna ongezeko?

    Kwani mwisho wa mwezi tayari umefika? Teh Teh Teh!
  15. Dijina40

    Kwanini wanawake wengi wakishajifungua wanakuwa rahisi kuchukuliwa na vidume?

    Alaa kumbe, ina maana katika familia, ukoo wako, mtaa wako pia wapo na si ajabu na wewe ni zao lao. Hapo nimekuelewa.
  16. Dijina40

    Kwanini wanawake wengi wakishajifungua wanakuwa rahisi kuchukuliwa na vidume?

    Mazingo maza ndio nini na wanapatikana wapi?
  17. Dijina40

    Kwanini wanawake wengi wakishajifungua wanakuwa rahisi kuchukuliwa na vidume?

    Umewaza kama mimi. Sijui anaishi mitaa gani huko waliko hao wanawake wa aina hiyo anayoisema! Pole yake kubwa.
  18. Dijina40

    Ulaji wa mayai kwa kuku wanaokunywa dawa

    Ni hatari sana kwa afya. Hizo dawa huwa zimeandikwa muda wa kutotumia nyama/mayai ya kuku baada ya siku za dawa kwisha. Soma vizuri maelekezo.
Back
Top Bottom