Search results

  1. Mwita Matteo

    Upi ni uhusiano wa Marekani na Misri

    Baada ya Marekani kusitisha msaada wake kwa Tanzania kupitia MCC, kumeibuka mijadala mikubwa sana, kuhusu uhalali wa Marekani kufanya hivyo, na ni kiasi gani Tanzania kama inchi inaweza kuathirika na uwamuzi huo wa Marekani. Sababu kubwa za wamerakani kusitisha msaada huo zimeelezwa kuwa ni ni...
  2. Mwita Matteo

    Ijue istilahi “Levant”

    Nimatumaini yangu kua umesha wahi kulisikia neno Levant, au kama hujawahi kulisikia, basi kama ni mfuatiliaji wa habari basi ulisha wahisikia kifupi cha neno hilo, hasa pale linapotajwa kundi la ISIL ambalo kirefu chake ni Islamic State of Iraq and Levant. Levant ni nini? Levant ni istilahi ya...
  3. Mwita Matteo

    Lijue kundi la Boko Haram

    Boko Haram ni jina ambalo hutumika kulitambulisha kundi lijulikanalo kama “watu waliojitolea kueneza mafundisho ya mtume na jihad” yaani Ahlisunnah Lidda’awati wa’l-Jihad’. Boko Haram ni neno la kihausa lenye maana ya “makataa ya elimu ya kimagharibi” au “Elimu ya kimagharibi ni dhambi.” Kundi...
  4. Mwita Matteo

    BBC na mizengo pinda

    nahisi wewe ndo umeshindwa kuelewa maana ya neno "kuhusishwa"
  5. Mwita Matteo

    Nampongeza Aweda kwa kujilipua na hoja ya madawa ya kulevya ya (Mengi vs Nzowa )ITV , lakini....

    pamoja na aliyoyasema lakini aliupotosha umma kuhusu maraisi wa Mexico, rais wa sasa wa Mexico anaitwa Enrique Peña Nieto, na si Felipe Calderón kama alivyosema yeye wakati anachangia kuhusu tatizo la madawa ya kulevya nchini
  6. Mwita Matteo

    Nampongeza Aweda kwa kujilipua na hoja ya madawa ya kulevya ya (Mengi vs Nzowa )ITV , lakini....

    pamoja na aliyoyasema lakini aliupotosha umma kuhusu maraisi wa Mexico, rais wa sasa wa Mexico anaitwa Enrique Peña Nieto, na si Felipe Calderón kama alivyosema yeye wakati anachangia kuhusu tatizo la madawa ya kulevya nchini
  7. Mwita Matteo

    Waandishi&Watangazaji wa Habari&Katuni

    kwangu Masood Kipanya ni mwanafalsafa! hii ni kwa vigezo vyangu binafsi!
  8. Mwita Matteo

    Mshahara - Fedha za Nauli/Mafuta = kiasi gani kinabakia?

    kwa habari hiyo mm ntaendelea kufanya kazi wilayani ambako hakuna daladala, ni miguu tu kwenda kazini
  9. Mwita Matteo

    Prof Jay mwisho wa reli

    Ila kila mtu ana zama zake kama ilivyo kwa kila nabii na kitabu chake, japo alikua anatamba kwa miaka hiyo ila ki ukweli Jay, tena hana chake zama hizi na ukitaka umfurahie Jay then u better go back to early 2000's
  10. Mwita Matteo

    Utata kigogo UVCCM - akutwa amekufa hotelini Arusha

    habar zote hapo juu nimenukuliwa kutoka gazeti la Mwananchi ila, naona namba za chumba ni tofauti
  11. Mwita Matteo

    Afariki baada ya KUZIMIA kwa muda wa miaka 42

    nimeishangaa sana habari hii, alikua na kuzeeka na hatimae kufa akiwa kapoteza fahamu kabisa
  12. Mwita Matteo

    Tanzania na siasa: Lugha ya kutumia Kiswahili au Kiingereza, Tatizo lipo wapi?

    nimesoma baadhi ya michango nahisi kuna kitu tuna kikosa hapa, wanazuoni wengi wanao tetea hili swala hata ukiwauliza leo hawasemi kingereza kifutwe kabisa, ila wanataka tupite kwenye njia nchi nyingine zinazopitia mfano kuna watu wametoa mifano ya ujerumani, na sisi hapa wanataka kingereza...
  13. Mwita Matteo

    Kwa waliosoma Mpwapwa Sekondari tu

    Mimi nimelipenda hili wazo ila ningeshauri sherehe hizo zifanyike mpwapwa na kama itawezekana tufanye harambee ili fedha zitakazo patikana zi karabati bweni moja. Mimi nilisoma Mpwapwa mwaka 2000-2002. Sisi tukiwa wanafunzi wakwanza wa A'level na tulioweka historia ambayo haijapata kuwekwa toka...
  14. Mwita Matteo

    JF yapelekea Mkutano UDSM...

    mbona hujatuhabarishwa kilicho ongelewa ili tuweze kulinganisha
  15. Mwita Matteo

    Ungefanya nini ukiwa Rais wa Tanzania kwa mwezi mmoja?

    Kwa siku hizo 30, ningekua bado nawaza niongozeje?
  16. Mwita Matteo

    Sensa ingefanyika hivi - it could have been cheaper and time saving

    serikali inasema inafanya sensa ili kuiwezesha kupanga mipango ya maendeleo na kutoa huduma kwa wananchi, naomba niulize tangu uhuru hadi leo bado wanafunzi mashuleni wanakaa chini. je serikali haijui idadi ya wanafunzi ili kutengeneza madawati yakutosheleza wote? me naona sanaa imetawala
  17. Mwita Matteo

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Wadau tuelewe kuwa katiba ya tanzania inabainisha kuwa tanzania haina dini lakini watu wake wanadini na kwamba kila mtu anauhuru kikatiba kuabudu dini aitakayo na kuisambaza. Kwa mujibu wa waislamu, mahakama ya kadhi ni sehemu ya ibada na ni uhuru wao kuidai ukizingatia kuwa huko nyuma ilikuwepo...
  18. Mwita Matteo

    Viongozi wetu na Kingereza

    Japo hilo Tangazo linachekesha, kwa jinsi lilivyo andikwa, ila huo ni ushahidi tosha kuwa sisi kama Taifa hakuna tunachosimamia, kwa sababu si jambo la kushangaza hata tungemwambia muhusika huyohuyo kuandika tangazo la Kiswahili, bado angeandika kituko. Tumekua Taifa ambalo watu wake si...
  19. Mwita Matteo

    Unyanyasaji wa hali ya juu Arusha Sunrise Radio...

    Ninyi ombeni kuongezewa mshahara kama mlivyosema, na ndio mdai huo mshahara mpya ambao utakua angalau na nafuu ndio mkatwe pension, ila kwa kipato hicho mlicho kiandika hapo juu kisha kikatwe dah, sasa mtabaki na sh. ngapi??
  20. Mwita Matteo

    F.F.U wametapakaa kila kona ya manispaa ya Iringa Mjini!

    Kwani barua ya mkutano ilikua inasemaje?? Na kwanini mkutano uzuiwe na unafanyika saa 8, na mbona kuna muda mwingi tu wa kuhesabu watu, ila kama hali si hali, ni bora mkutano ukahairishwa kwa busara za viongozi, kuliko kuendelea kuwaangamiza raia wasio kuwa na hatia, kama ilivyotokea jana Morogoro.
Back
Top Bottom