Search results

  1. B

    Tuzo zilizoandaliwa na Bongo5 Media

    Wadau tunawashukuru kwa maoni yenu, kama ilivyoandikwa ktk thread hii Tuzo hizi bado ni changa, na mapungufu hayakosekani ila tutajitahidi kwa kadiri ya uwezo wetu kuziboresha mwaka hadi mwaka. Kutokana na hali ya kiuchumi mwaka huu tumeamua kuwa na categories 11 tu, lakini uwezekano wa...
  2. B

    Habari zenu

    Thank you
  3. B

    Habari zenu

    Asante sana mkuu
  4. B

    WARNING: Bongo5 ina Virus

    Asante sana kwa kutoa tangazo, ni vyema kutahadhari wadau tunapokutana na virusi. Ukipata tatizo tena usikose kuwasiliana nasi, namba za simu na email zipo ndani ya tovuti yetu. Pamoja
  5. B

    WARNING: Bongo5 ina Virus

    Unatumia antivirus ipi maana tumetest na antivirus nyingi na tovuti halina virus. Naomba u-clear cache yako pamja na Temporary Internet Files ili kufuta zile fiels za zamani, nadhani inaweza kusaidia.
  6. B

    WARNING: Bongo5 ina Virus

    Tumetest na antivirus zote, na halina matatizo. Umeclear cache yako pamoja na temporary internet files?
  7. B

    Habari zenu

    Unataka evidence gani nikupe sasa hivi?
  8. B

    WARNING: Bongo5 ina Virus

    Tuna uhakika 100%, tumehama na kuongeza uwezo wa server pamoja na kubadilisha na kuboresha mfumo mzima wa tovuti. Kwa nini tutake kuharibu PC zenu? Bila nyinyi tovuti halina maana
  9. B

    Habari zenu

    Tuna uhakika 100%, tumehama na kuongeza uwezo wa server pamoja na kubadilisha na kuboresha mfumo mzima wa tovuti.
  10. B

    WARNING: Bongo5 ina Virus

    Hiyo haiwezekani mkuu, labda utufafanulie zaidi
  11. B

    WARNING: Bongo5 ina Virus

    Karibu sana, tunasubiri maoni yenu.... Ningeshauri wadau ambao walikuwa wakiitembelea awali wacler cache zao ili files za zamani zisiwepo tena.
  12. B

    Habari zenu

    Ndio sisi, tovuti yetu ina-stream clouds fm live..unaweza kusikiliza kubya hapa http://bit.ly/aFxS2u
  13. B

    Habari zenu

    Habari zenu wana-Jamii. Tunafuraha sana kujiunga katika forum hii na tunategemea mengi mazuri yatajitokeza. Pamoja sana! Kikosi cha Bongo5.com
  14. B

    WARNING: Bongo5 ina Virus

    Tunapenda kuwafahamisha wote kwamba swala la virus iliisha muda mrefu na sasa bongo5 ina sura mpya. Msisite kuitembelea, na kama ina tatizo yoyote msisite kuwasiliana nasi. Asanteni sana!
Back
Top Bottom