Search results

  1. Ntemi Kazwile

    CAG: Hela za Plea Bargaining(Kesi za uhujumu) za mabilioni ziliingia mifukoni mwa watu-hazikuingia Serikalini!

    Hiyo attachment mbona haipo? Hii siyo propaganda chafu hii [emoji53]
  2. Ntemi Kazwile

    Imetosha Rais Samia, rudi Nyumbani sasa

    Hivi haki unaweza kuinwea chai, nauliza tu lakini [emoji848]
  3. Ntemi Kazwile

    Kinachomtesa Rais Samia ndicho kilimtesa Mzee Mwinyi

    Peleka huko upuuzi wako mdini wewe
  4. Ntemi Kazwile

    Dkt Akandunduma: Kikawaida ripoti ya CAG ni lazima Isomwe sawia na ripoti ya Takukuru. CAG anakagua hachunguzi Rushwa wala Ufisadi ni muhimu kuelewa !

    CAG ripoti nyingi zinatumika kama fimbo za wanasiasa na watu wengine ku settle scores ambazo wakati mwingi hazina uhalisia zaidi ya kutimiza matakwa yake au ya waliomtuma
  5. Ntemi Kazwile

    Rais Samia, mtetee Magufuli kwani anadhulumiwa

    Kuna watu mikund.u kweli
  6. Ntemi Kazwile

    Zitto: Wanaompenda Magufuli wakazikwe naye Chato, alikuwa Rais fisadi zaidi kuwahi kutokea Tanzania

    Kama hujui naomba nikukumbushe kuwa kipindi cha mzee Mwinyi ndicho kipindi ambacho waliosimamia maslahi ya wanyonge walipotezwa kuliko awamu yoyote ile. Loliondo iliondoka na Kabendera, kuna kashifa ya ngano chafu iliondoka na mkemia, kashifa ya Chavda iliondoka na mtu (watu)... Kwa uchache. Ni...
  7. Ntemi Kazwile

    CCM ya sasa ni ya kupambana na marehemu

    SSH akiongeza miaka mingine mi5, nchi hii itakuwa vipande vipande, udini na ukabila vitashamili
  8. Ntemi Kazwile

    Zitto: Wanaompenda Magufuli wakazikwe naye Chato, alikuwa Rais fisadi zaidi kuwahi kutokea Tanzania

    Yaani katika watu cheap na ambao hawastahili hata kuwa wajumbe wa nyumba 10 ni pamoja na huyu mdini na fisadi anayeitwa Zitto Zuberi Kabwe. Huyu anapata wapi ujasiri wa kumtukana Magufuli? Hivi nchi yetu ilishawahi kushuhudia uhujumu uchumi uliofanywa na mtandao wa JK, au ule uharamia wa...
  9. Ntemi Kazwile

    Makonda, Mpina ni chambo tu, sukuma gang inakuja taratibu

    Upumbavu ni kama huu wa kwako. Hiyo kampeni yenu chafu mda si mrefu itaanza kutugharimu hata tusiokuwa na hatia. Hata Rwanda na Burundi walianza hivi hivi kabla ya genocide
  10. Ntemi Kazwile

    Makonda, Mpina ni chambo tu, sukuma gang inakuja taratibu

    Sukuma Gang ni kabila la Wasukuma hayo mengine ni mbwembwe tu.
  11. Ntemi Kazwile

    Makonda, Mpina ni chambo tu, sukuma gang inakuja taratibu

    Hiyo Sukuma Gang maana yake ni watanzania wanaozidi 27 million kutoka mikoa ya Mwanza, Simiyu, Mara, Shinyanga, Geita, Kagera, Kigoma, Katavi, Rukwa, Tabora, Songwe, Singida, Mbeya, Morogoro, Dodoma, Pwani, Dar, Lindi. Unapoanza kulibagua kundi hili kubwa ujue kichwani umejaza ubwabwa na...
  12. Ntemi Kazwile

    Makonda, Mpina ni chambo tu, sukuma gang inakuja taratibu

    Kweli kabisa, hii kampeni chafu inayoratibiwa na wachaga itatuvuruga sana kama hekima haitatumika. Kama JPM aliwaumiza wasiwaingize Wasukuma wote, unatuingiza hata ambao hatukuwa na elements za ukabila tuanze kuwa wakabila
  13. Ntemi Kazwile

    Makonda, Mpina ni chambo tu, sukuma gang inakuja taratibu

    Acha kuropoka, tafuta facts kabla ya kuanza kubwabwaja. Uzalishaji wa samaki uliongezeka kwa kiwango kikubwa sana baada ya kudhibiti uvuvi haramu, sisi wananchi wa Ziwa Victoria tunujua ukweli
  14. Ntemi Kazwile

    Godbless Lema: Nimeondolewa Zoom baada ya sura yangu kuonekana katika mkutano wa Balozi na Watanzania waishio Canada

    Kwenye ukoo wenu wa manyani usijumulishe tusiokuwa wa ukoo wenu
  15. Ntemi Kazwile

    Unakataje miti milioni 4 ili kujenga la umeme (JNHPP)

    Cubic meter million 2 ni sawa na miti million 2 eti? Acheni kutumalizia bundle kwa utopolo wa namna hii
  16. Ntemi Kazwile

    Waziri Mwambe: Mazungumzo ya ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo kuanza rasmi

    Mwambe anajua kabisa kuwa kabla ya mkataba wowote kusainiwa kunakuwa na MoU ambayo ndo huwa basis ya mkataba husika. inawezekana mkataba ulikuwa haujasainiwa ila MoU ilisainiwa, asitake kumdhalilisha hivyo huyu mzee aliyejipumzikia, RIP JPM
  17. Ntemi Kazwile

    Baada ya Ole Nasha kufariki ni wakati wa Mkataba wa bandari ya Bagamoyo kuwa wazi

    Ungejaribu kujibu hoja badala ya kumshambulia mtoa hoja
  18. Ntemi Kazwile

    JATU PLC ipo kwenye soko la hisa?

    Siyo kweli, PLC ni Public Limited Company. Kampuni yoyote yenye wanahisa zaidi ya 50 kwa sheria yetu ni lazima iwe PLC na siyo kweli kuwa PLC zote ziko "listed"
  19. Ntemi Kazwile

    Kesi dhidi ya Mbowe: Ushahidi wa Luteni Denis Urio ni muhimu sana

    Hebu acheni kumislead watu, hawa watuhumiwa walishafutwa na JWTZ wakati wanakamatwa, harafu hii kesi bado inaendelea na Mbowe inaweza ikamfunga vilevile kwa makosa anayoshitakiwa nayo. Wasingekuwa na ushahidi na kesi iliyosimama wasingeanza kusikiliza kesi, wangeipiga kalenda tu wakisema...
Back
Top Bottom