Hiyo speed ya 60km/h bado ni kubwa kwa gari kama mwendokasi, aliwezi simama kwa wepesi kutokana na uzito wake (momentum).
Dereva kama dereva anatakiwa kujua mwendo ama speed ya kila eneo, mahali penye mkusanyiko speed haitakiwi kuzidi 30km/h. Ila kwa sasa madereva wengi wa magari na bodaboda...
Hapo unaweza kuta mletewaji na mletaji (mzabuni) hawajui ni kitu gani kinatakiwa, pia unaweza kuta zabuni haikueleza aina ya jokofu. Probably uzembe umeanzia mbali.
Hapo kwenye katiba mpya inaonyesha kuna nguvu kubwa iliyojificha ndiyo inakwamisha.
Tuitunze miradi anayo endeleza.
Kuna baadhi ya barabara za DMDP zimejaa mchanga kulia na kushoto,yaani gari zinapita katikati kama mto, nazo soon zitachakaa.
Taa za solar zilizowekwa maintenance yake nayo ni ya...
Kuna kipindi tulipoteza dira. NHC nayo imepoteza dira pakubwa sana. Tunahitaji moja ya zile 4R ya mama (reform) kwenye affordable housing.
Kuhusu kuhuzwa kwa Dege bado kuna mashaka, isije kuwa ni the same trick iltumika ya mv Bagamoyo
Mkuu hapo unaongelea feasibility ya huo mradi ama pre-investment. Huko tulishatoka na kinachotakiwa ni kuukwamua usiendelee kuoza. Zinatakiwa constructive ideas ili tusongo.
Remember kipindi kile projects zinaanza kujengwa tulikuwa na mzunguko wa pesa wa hajabu sana, apartments nyingi zilikuwa...
Mkuu hiyo project haikuwa na ufisadi kwa kiwango cha kusimama na kubaki magofu bali ni kukomoana pamoja na kuanguka kwa biashara ya real estate inchini.
Ni kweli mkuu. Inner circle ya Mama inatakiwa ije na constructive ideas ya kukwamua hizo project badala ya lawama tu.
Bado kuna uhaba mkubwa wa makazi bora, projects kama hizo za Dege and the like zinatakiwa kuwa nyingi ili kujenga jamii yenye ustawi bora zaidi na kuchochea kukua kwa uchumi.
Brother Jidula, huu mradi haukufisadiwa, bali ni matokeo ya kukomoana pamoja na mabadiliko ya investments kwenye real estate.
Angalia kawe na Morroco nayo yameachwa kama yalivyo.
Busara itumika projects ziishe na kupangishwa wananchi kwa kodi nafuu na kupelekea kuboresha suala la makazi bora...
Pole sana. Muhimu zingatia masharti uliyopewa na ma Dr. Kwani huo ni ugonjwa wa kurithi/generational.
Hakikisha anakuwa mkavu mwilini pia avae soksi za pure cotton
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.