Habari wana jukwaa hili. Naomba kujua ni mambo gani ambayo unapaswa kuyaeka sawa kwa wakati wa mwanzo kabisa wa kuanzisha biashara(Yenye mfumo wa kampuni), ili iweze kuleata tija, faida na uendelevu kwa miaka ijayo mbele. Hili nikimaanisha namna ya kuandaa hesabu zako kwa ajili ya kodi...
Matukio mawili yanahuzunisha
1. Dogo alivyofikisha wiki tatu tu, tangu azaliwe akaanza tabia ya kulia usiku. Alikuwa anaanza kulia saa nne hadi saa Saba usiku kila siku hadi alipofikisha miezi sita. Ilikuwa inahuzunisha sana. Tulikuwa tunabembeleza nyumba nzima, kuanzia mama, baba, dada wa kazi...
Huku Zaznibar ndio kabisa. Ukishuka boat hakuna lolote, zero mnara. Hakuna internet kabisa. Yaani ni km unaingia nchi nyingine, kumbe kote ni nchi moja kimuungano [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Idea nzuri. Tatizo lipo ktk gharama za ku run a/c ya fedha za kigeni, na hasa US dollars. Kuna gharama kubwa mno, kiasi ambacho uki convert kwa T.sh unaeza ukatamani uzitoe zote
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nn unatoka tahadhari kuwa watu wasikope? Hata kwa mtumishi ambaye ana mshahara wake nae asikope? Ili ajitafutie kipato cha ziada?
Sent using Jamii Forums mobile app
naiona tanzania ya viwanda inakuja kwa kasi. Sasa kma bunge litashindwa kufanya kazi na CAG, inaamana zile trillion ndio zitaongezeka sasa?zile za 1.5 ?
kuna kipindi nilijihis nasema sana hadi nikajiona napoteza nguvu zangu, Kuhusiana na issue za kufanya kazi ndani. Naomba nitoe mifano ifuatayo, Na nilikuwa nafanya hivi just tu kwa kumuelewasha na sio vinginevyo;
1. Nilikuwa nina tabia ya kwenda mwenyewe sokoni, kwa hapa Dar yy sio mwenjeji...
Ni mvivu balaaa. Kuna kipindi alisumbuliwa na goti, Dr akashauri kuwa kwa kuwa ana uzito uliozidi na magoti yana acid nyingi, ikashauriwa kuwa apunguze vitu vya mafuta na uchachu. Pia aanze mazoezi mepesi ya kutoka jasho kwa ajili ya ku boost metabolism. HADI LEO HII NOTHING HAS BEEN DONE...
Age difference ni 6 years. Nilikuwa namueleza juu ya changamoto za maisha na misingi ya kuishi " sustainable life". Lkn uelewa wake ni mdogo, angalau km ni degree holder
Sent using Jamii Forums mobile app
Taken into account. Ila km intimacy imepungua nitaweza fanya hivi kwl? Imefika hatua ule ukaribu haupo kbs kutokana na matendo yake
Sent using Jamii Forums mobile app
I
I ws thinking of divorcing her.....! Lkn namuonea huruma sana mwanangu, with that kind of woman, he will not live the way I want to prosper in his life. Naumia mno na hii kitu, kwa kuwa napenda mtoto pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.