Search results

  1. U

    KUMBUKUMBU YA NYERERE SIHA YAZUA BALAA KWA VIGOGO

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo Siha,Kimetoa taarifa kwa wananchi kwamba hawatashiriki katika Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius K. Nyerere. Katika taarifa hiyo imeeleza sababu za wao kutokushiriki. kutokana na Watoa Mada kutokuwa na Sifa ya Kumzungumzia Baba wa Taifa...
  2. U

    Mkakati wa DC Siha kujinasua na shutuma za ulevi, washindikana

    Vita ya maneno kati ya Mkuu wa Wilaya ya Siha Dr Mlingwa na Mh Dr Mollel Mbunge wa Siha imezidi kuwa ya kali,kututokana na kila upande kujibu mashambulizi,Akichangia mjini Dodoma Mh Dr Mollel alimutumu mkuu wa Wilaya kuwa ni mlevi hivyo akimuomba raisi amuondo Mh Mollel aliliambia Bunge Mh...
  3. U

    National Institute of Transport (NIT) selections

    namba zangu ni 0764417748 email thobiasl882gmail.com
  4. U

    National Institute of Transport (NIT) selections

    naombeni mwenye informations namna ya kujiunga na nit anisaidie maana nimechaguliwa kusoma hapo ila sijui la kufanya
  5. U

    National Institute of Transport (NIT) selections

    ivi mbona join istruction na document zinginbe za nit hazifunguki? nisaidieni
  6. U

    Mwenyekiti kitongoji chadema avamiwa

    Mwenyekiti wa Kitongoji cha Muri kata ya Kashashi jimbo la Siha,Ndugu Godbless Mbonika amevamiwa na vijana wa ccm na kujeruhiwa Muda huu. Tukio limetoka katika kijiji cha Kirisha ambako ndugu Mbonika alivamiwa akituhumiwa kwamba amezui watu wasifike kwenye mkutano wa Mbunge wa CCM Naibu...
  7. U

    Malisa: Moshi Vijijini inanihitaji

    MOSHI VIJIJINI INANIHITAJI - MALISA.! UTANGULIZI: Kwa takribani miaka 10 sasa jimbo la Moshi Vijijini limekuwa "iddle" kutokana na kukosa mbunge wa kulisemea. Mbunge aliyepo Dr.Cyril Chami aliteuliwa kuwa Naibu Waziri na baadae Waziri muda mfupi tu baada ya kuchaguliwa (kabla hajaachwa nje...
  8. U

    Mapokezi ya Sophia Mwakagenda yatikisa Mbeya, Rungwe Magharibi

    Wanawake chimbuko la mabadiliko'
  9. U

    Mapokezi ya Sophia Mwakagenda yatikisa Mbeya, Rungwe Magharibi

    Watu wanaonekana wakimsikiliza mtetezi wetu wanawake. Ulitaka nini zaidi?
  10. U

    Mapokezi ya Sophia Mwakagenda yatikisa Mbeya, Rungwe Magharibi

    Magari yanaonekana, watu wanaoneka wanaomsikiliza wanaonekana,Ulitaka nini zaidi jenga hoja ya kumsaidia mama azidi kutukomboa wanawake wote wa Mbaya.
  11. U

    Mapokezi ya Sophia Mwakagenda yatikisa Mbeya, Rungwe Magharibi

    Mama alifika hapa kwa ajili ya kuwasaidia kinamama usijenge hoja kwa kumtukana mama yetu. Swala la yeye kufanya siasa ni jema sana sioni kosa lake,
  12. U

    Mapokezi ya Sophia Mwakagenda yatikisa Mbeya, Rungwe Magharibi

    Mama kafanya vizuri sana hapa Rungwe Jimbo anapewa kwa kweli sasa.
  13. U

    Mapokezi ya Sophia Mwakagenda yatikisa Mbeya, Rungwe Magharibi

    Sophia Mwakagenda ameanza ziara ya kumkombowa mwanamke katika jimbo la Rungwe Magharibi Picha za Mapokezi ya Sophia Mwakagenda akipokelawa na kutoa zawadi katika vikudi vya kinamama Rungwe.
  14. U

    Eng. Pamela Maassay ni kijana anayefaa kuwa mfano wa kuigwa katika taifa letu la Tanzania

    Ameonyesha kwa vitendo besa haina samani kwake;Utu ndio Maisha yake
  15. U

    Eng. Pamela Maassay ni kijana anayefaa kuwa mfano wa kuigwa katika taifa letu la Tanzania

    Amehitimu shahada ya kwanza ya mwaswala ya maabara chuo kikuu Dar Walihitimu wanawake wawili tuu Alipata FTC yake chuo cha DIT
Back
Top Bottom