Search results

  1. mwendakwao chayi

    Uchaguzi 2020 Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!

    Vumilia ndugu yangu kubezwa na kusimangwa ni kawaida kikubwa heshimu nafsi yako inataka nini
  2. mwendakwao chayi

    Makamanda walioigharimia CHADEMA kwa machozi, jasho na damu, leo ni wakuitwa wasaliti? Karma Haitawaacha salama, itawatandika tu

    Pascal siku hizi umekuwa kama mchawi kujipendekeza upate nafasi za uteuzi zina sababisha uvunje Heshima uliyoijenga kwa muda mrefu !
  3. mwendakwao chayi

    Uchaguzi 2020 Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!

    Pole Sana ndugu vizuri umejua upande wa pili wa shiringi umethubu lakini haukuweza salute wangwi'se
  4. mwendakwao chayi

    Hukumu dhidi yangu: Shukrani kwa watanzania – Maxence Melo

    Hongera Max jogoo hafi kwa utitiri Mungu akuzidishie moyo wa ujasiri Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mwendakwao chayi

    Nimeamua Kustaafu Rasmi JF, Utangazaji na Uandishi wa Habari Baada ya Kuhudumu Miaka 30. Niko Free Kujiunga Siasa, Nimejiunga CCM na Nitagombea Ubunge

    [emoji47]Pole Sana Paskari !upepo Ukiwa mkali mwanzi huwa unajipinda kuwepa dhoruba ...ila mwembe hungangamara hatimae huanguka Sent using Jamii Forums mobile app
  6. mwendakwao chayi

    Tanzania ni nchi huru, a Sovereign State, Mahakama zetu ni huru? Hizi ndizo hukumu zetu za haki, who the hell is Marekani kutuingilia? Je, tukubali?

    Uhuru you unaousema mbona kila kukicha yanaenda kupiga Magoti kwa hao tunaosema wasituingilie Kwenye mambo yetu? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. mwendakwao chayi

    Mawaziri wakuu wastaafu Lowassa na Sumaye watinga bungeni, wabunge waweka itikadi pembeni wawashangilia kwa shangwe

    [emoji16][emoji16]Naona na wewe uko mbioni Sent using Jamii Forums mobile app
  8. mwendakwao chayi

    Hii si sawa, wabunge hawa wachunguzwe rasmi

    Sharuwala inakuwasha inatakiwa ukunwe Sent using Jamii Forums mobile app
  9. mwendakwao chayi

    Polisi Kirumba Mwanza, Mmiliki Mabasi ya Batco wazidi kutesa, kutapeli wananchi Mwanza

    [emoji419]huo ndio ukweli issue ya mama kashushura naijua vizuri sana
  10. mwendakwao chayi

    Mfumuko wa Bei wa Taifa Washuka hadi Asilimia 3.4

    [emoji41]mbona mahindi debe limefika 20000 kwa debe Mchele kilogram 1 shiling 2000 huo mfumuko uabashukaje?
Back
Top Bottom