Search results

  1. K

    Ukweli mchungu kuhusu KINANA

    Sawa umeongea vizuri, jaribu kupitia archives za miaka ya tisini kuhusu swala la uraia wake utagundua kwamba huyu mwanasiasa ana maficho mengi na hivyo lolote lawezekana
  2. K

    Prof Lipumba: Matatizo ya Tanzania yamechangiwa na sera mbovu za Mwl Nyerere

    Nadhani Watanzania tuamke tuache mzaha hata kama unachezwa na maprof! Mtoto wa Nyerere aliachia ngazi mwaka 1985, leo hii, 2013, tunalia kwamba matatizo yetu ni kwa sababu yake! Ebo, basi natuseme kwamba ni kwa sababu ya ukoloni wa Mwingereza kwani alitutawala kwa miaka mingi zaidi na kabla ya...
  3. K

    KAFULILA aeleze alipata wapi Shahada ya "BBA" na Mwaka gani

    Nadhani umeacha mada, swala hapa ni uadilifu wa Mh. Kafulila kwa upande mmoja na uvivu wa Bunge letu kukosa weledi. Mtoa mada hajasema Mh hana BBA hivy hafai kuongoza, la hasha.
  4. K

    Zanzibar ilipata UHURU mwaka 1963, kwa nini ukweli huu unafichwa?

    Sr. Uhuru ni hali ambayo kwayo wenyeji wa Taifa, Nchi ausehemu yake wana madaraka ya kujichagulia dira na viongozi wawatakao, uwezo wakuwaondoa kwa mujibu wa sheria zilizo pitishwa na vyombo halali vya kitaifa; nakwa hiyo kuwa na sovereignty juu ya Taifa au nchi yao na mstakali wake. Uhuruni...
  5. K

    USA na mkakati wa kuivamia Iran

    Ndugu yangu Buchanan (sijui unamjua vizuri mmarekani huyo?) Iran ikishambuliwa, itakuwa balaa ambayo haijawahi kutokea; mafuta yatapanda mara tatu kama si zaidi, biashara duniani itaathirika. Hapa kwetu usafiri, umeme, mbolea, vifaa na bidhaa za viwandani havitashikika, nchi itabomoka! Iran siyo...
  6. K

    Tanganyika manadated territory and mwalmus nationality

    Protectoratesand protected states Protectorates and protected stateswere foreign territories to which British protection was extended in some form. Protected states were places inwhich: there was a properly organised internal government; and Britain controlled only the state's...
  7. K

    Nyerere Hakuwa na mapungufu, alikuwa Kiongozi Mbovu!

    Ndugu NasDaz, Maoni uliyotoa ni yako, lakini yana walakini mkubwa kudai kwamba kwa sababu Mwalimu alikuwa Mkuu wa nchi kati ya 1962 na 1985, basi yeye ndiyo shina la dimbwi la matatizo tuliyonayo, nasema hapana. Sina haja ya kuchambua hoja zako moja moja, mimi nitajumuisha kwa kukuonyesha tu...
  8. K

    Kikwete has a point but here is a counterpoint

    In my opinion the President anchored his contribution on the legality of the process as provided for in the current moribund constitution, and as practised by his predecessors. The contention which the President and his supporters fail to comprehend is that the current constitution robbed...
  9. K

    Prince Waleed bin Talal awasili Tanzania

    Kingdom Holding ndiyo mmiliki wa hoteli inayojulikana kama Movernpick; Movernpick wenywenye ni kampuni ya Ki-Swiss inayoendesha tu Hotel.
  10. K

    Waarabu hawakuwa Wakoloni Afrika?

    Mwana JF, Vitabu ving tu vinaeleza vizuri matokeo ya biashara ya Waarabu na Sub-Saharan Africa ambayo ilipelekea kwa taratibu taratibu kwa pwani za Somalia, Kenya, Tanganika na Msumbiji kuwa makoloni; na Zanziba aidha kutekwa kabisa! Mpaka mwaka 1963, ukanda wa kilometre kumi za pwani ya kenya...
  11. K

    MOU si Mkataba

    The legal nature of M.O.U essentially rests on the nature of rights, obligation/duties or legal relationship it creates among the parties. No doubt, it embodies understanding of the parties in principle, however all understandings do not mature in contracts or in other words may not result in...
  12. K

    Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

    Confidence comes not from always being right but from NOT FEARING TO BE WRONG: Peter T. mcintyre
  13. K

    Nyerere alijisaliti na kuwasaliti watanzania

    Mengi uliyoandika siwezi kusema ni nkweli au si kweli, lakini kitu kimoja kimenionyesha kwamba wewe si makini na si mtafiti, mbaya zaidi lugha ya Malkia wa Uingereza huiwezi. Neno alilotumia Mwalimu Nyerere, "I can not allow my country to go to the dogs" au kitu kama hicho maana yake si hiyo...
  14. K

    Kuna Chuo Chochote Kinatoa Mafunzo Namna Ya Kuongea Mbele Ya Kadamnasi?

    Contact Mark Public Speaking Skills and Services - Pascal kasele - kasele.p@tz-mpsss.com
  15. K

    Membe ni muongo, Kikwete hakuvunja Baraza la Mawaziri: Raia Mwema 12-18/10

    Mwana JF, naungana na hoja yako mia kwa mia; hofu yangu ni weledi mdogo wa waandishi wetu. Hivi walio/aliye kuwa anamuoji hakuona upotoshaji wa Membe? Au ndiyo bahasha za kaki zinatumiwa kubomoana!
  16. K

    Kitchen designers

    Ndugu Nyaubwii, Kama kweli unataka kufungua Restaurant siyo swala la ku-dsign na FFE, bila inaanzia kwenye Concept ya Restaurant yenyewe, ni ya aina gani, wateja gani; halafu pawe na Schematic proposal, hapa ndipo huyo designer atakuja na Sketches ku-test Concept kabla ya mambo mengine. Ukitaka...
  17. K

    Hongera JK kwa kututoa katika Umaskini duniani! ila bado ....

    Mdondoaji, Is GDP a satisfactory measure of growth? If ever there was a controversial icon from the statistics world, GDP is it. It measures income, but not equality, it measures growth, but not destruction, and it ignores values like social cohesion and the environment. Yet, governments...
  18. K

    CHADEMA ndiyo walioshinda uchaguzi mdogo wa Igunga

    Marwa, Wewe kama Senior, chambua hoja na uikosoe, acha thihaka. Uchambuzi huo ni kweli au sikweli; maana wengine hatujapitia takwimu kwa undani nawe tupe wako kinzani na anayosema. Kama CDM walipeleka watu 2,000, ni kosa lipi? Walipiga kura katika vituo vipi?
  19. K

    CHADEMA ndiyo walioshinda uchaguzi mdogo wa Igunga

    Makoye, Nimependa tathmini yako nzuri; naamini hata ndugu Mukama moyoni anaamini hili. CCM ilikuwa na mtaji wa "encumbacy" kwa kupitia serikali, viongozi wakuu, mkuu wa mkoa, wabunge na vyombo vyote vya dola. Aidha wana matawi kila kijiji, tarafa na wilaya, kimetokea nini. Kama ningekuwakiongozi...
  20. K

    Tuhuma toka WikiLeaks: AL BAWARDY wajibu mapigo

    Dear Philip, Please have a little respect for our intelligence, every business greases its way up in one way another; it may be respectable courses like supporting the big man's favourite charity, his village or naturally the party. And on the assertion that anybody works their way up through...
Back
Top Bottom