Search results

  1. J

    Kigamboni New City Master Plan

    Kwanini watu wanadata sana na Hizi issue!? Nchi hata isipouzwa we unafaidika na nini? Wacha wauze kwa sababu ndo wenye nafasi ya kufanya hivyo, kama tunashindwa kupiga kura nakubadili uongozi ili tupate mtazamo mpya wacha iuzwe na sisi watuuze pia. Tena wauze hata kwa mkopo au hata wagawe Bure!
  2. J

    Ni msukumo upi unapelekea wimbi la vijana kugombea uongozi kupitia CCM?!

    Msukumo mkubwa ni utajiri wa haraka, Halafu kuna imani ya kuwa ukigombea kwa tiketi ya ccm uwezekano wa kushinda ni mkubwa kwa sababu ya ununda wetu sisi wananchi tunaochagua watu kwa sababu zisizo kuwa na msingi, pia vijana wengi ndani ya CCM wana backup kutoka kwa wazee wao ambao wemeiteka ccm...
  3. J

    TZ Kazi zipo, wafanyakazi hamna?

    Habari Wadau? Inawezekana kweli bongo watu hawafanyikazi, lakini inategemea unafanya kazi kwa nani! Huwezi kufanya kazi kwa mwekezaji ukawa na uvivu mnaousema hapa! Watu tunachapa kazi sana tu. Tatizo la mawasiliano ni udhaifu wa lugha ya kigeni ambayo haileweki kama ndo ya kutumia kiofisi au...
Back
Top Bottom