Search results

  1. radika

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Tusema ukweli zile peneti angepigiwa chelsea dunia nzima ingeongea kama ile ya dalot ni penati mech ya arsenal gabriel alimdaka kabisa hojlund haikuwa penati sasa ile ya dalot aaaa kituko aiseee ukija ya cucurela nye nye nye
  2. radika

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ila scott ni namba 9 huko kungine sio
  3. radika

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kwa mpira anaotaka kuufundisha ETH Diogo Dalot ni mmoja ya wachezaj wanaofaa nawaza kama solskjaer angefanikiwa kumuuza basi timu ingekuwa imepoteza bonge moja la mchezaj Diogo Dalot
  4. radika

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Bruno huwa ana game mbaya kufuatana na kucheza mech nyingi bila kupumzika ila ndio mchezaj muhimu zaidi ndani ya united
  5. radika

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Man Utd have also STILL NOT LOST a home FA Cup game against Liverpool for over 100 years.
  6. radika

    Martin Chacha mkazi wa Tegeta inadaiwa ameuawa kwa kipigo na ASAS akishirikiana na SUMA JKT

    Sema nao wenzie wezembe mpo nchini kwenu ilitakiwa wawavamie hao wahindi na kuwapa kipigo cha mbwa koko wanaangalia tu
  7. radika

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Bora kombe libebwe na arsenal au liverpool
  8. radika

    Hivi kuna Mtanzania asiyejua sura ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere?

    Kuhangaika na mtu aliefariki ni kupoteza muda uwepo wake ulishafutika hakuna jipya tena
  9. radika

    Uchaguzi 2025 CCM vs CHADEMA, Samia Suluhu vs Tundu Lissu

    Ccm wakimsimamisha huyo mama chadema wanachukua nchi mapema hata wakiiba kura bado mama hatoboi bunge dhaifu Mahakama inatesa watanzania Umeme shida Mishahara hamna Sukar hakuna Kazidiwa nguvu na mawaziri wake mama hana kauli Vitu vidogo vimeshinda hivyo vinamfanya kuwa dhaifu sana hana sifa...
  10. radika

    Tetesi: Freeman Aikael Mbowe kutunukiwa degree ya Udaktari wa Heshima( PhD)

    Mama kizimkazi hana elimu yoyote kapata uraisi na u profesa vyeo vyote kavipata kwa njia ya kujipenyeza kwenye duduwasha la nguo za kijani
  11. radika

    Kamishna wa Sekretariati ya Maadili ya Viongozi wa umma amekataa kuchunguza suala la Mbunge wa Babati Mh. Pauline Gekul

    Watu wanaumizwa na kuteswa kwa kuwa hawapo ccm Mnara wa babeli
  12. radika

    Sukari imepanda Bei. Hapo ulipo bei ipoje?

    Moja ya sekta imefaidi nchi awamu ya sita ni SUKARI Kwa nini sukari ya Zambia inazuiwa wakati hatuna uwezo wa uzalishaji kiasi kamba mnakomoa raia kwa kigezo cha kulinda bidhaa zetu huku wafanyabiashara wajanja wanfaidika kwa huo mpango kwa kuumiza raia? Wakiamka wanajikuna kisha wanataja bei...
  13. radika

    Sababu ya Kuvunjika EAC-I, Kuundwa Upya EAC-II,"The Coalition of The Willing" Kujimwambafay na Jinsi JK Alivyoiokoa Jumuiya Isivunjike Kwa Kujishusha!

    Hata hivyo inavunjika tena hii ni kutokana na africa mashariki kukosa maraisi wenye akili peke yake rwanda wana mtu ila nae ana kashfa za kuua na kuteka hii inamfanya atoke kwenye kundi la watu wenye akili kwa sababu anachojenga leo kitabomolewa chuki haifi
Back
Top Bottom