Search results

  1. T

    Miss Tanzania namba 2 (Lilian Kamazima) ''ana tatizo la uraia''

    Kwani huyo mzee alikuwa jenerali wa jeshi la nchi gani?
  2. T

    UKAWA hamna hoja, nipo hapa kujibu hoja zenu

    Hao wananchi unaowasemea walishirikishwa kupitia chombo gani? na walishirikishwa kwa lipi ambalo ktk katiba ya nyerere haikuwashirikisha?
  3. T

    UKAWA hamna hoja, nipo hapa kujibu hoja zenu

    Eti ndio Great Thinker wa CCM hapa JF!!!!
  4. T

    Canal mstaafu Fabiani Massawe

    Mkuu na wewe mrefreji ndio nini?
  5. T

    Watumishi wastaafu, wataabika kisa trillion 8 zilokombwa na CCM

    Halafu mama yake akilipwa tu anasahau moja kwa moja! watanzania ni wabinafsi tu, kinachomfanya mtu aichukie ccm ni shida za kwao tu, kama kwao mambo ni mazuri hataona umuhimu wa kujua wengine wanataabika vipi.
  6. T

    Serengeti fiesta 2014 special thread

    Si tayari umesema first world, huku ni third world mkuu.
  7. T

    Serengeti fiesta 2014 special thread

    Kumbe sare za jeshi zinaweza kuvaliwa kwa ruksa!
  8. T

    Kumuona Daktari Tsh.10,000/=

    Suala la msingi sio kulinganisha wapi wanacharge kwa dola na wapi kwa shilingi, jambo la msingi ni kuangalia uwezo wa wananchi kwanza.
  9. T

    JWTZ yaonya wanaovaa sare zake

    Vipi watu wasivae suruali za kijani maana ni moja ya sare zao.
  10. T

    Mwanafunzi auawa kikatili baada ya kubakwa, kuchinjwa shingo na kunyofolewa sehemu nyeti

    Kama ni wabakaji basi watakuwa madomo zege, akina dada msiwe wagumu kwa wanaume, si mnaona matokeo yake?
  11. T

    Mwanafunzi auawa kikatili baada ya kubakwa, kuchinjwa shingo na kunyofolewa sehemu nyeti

    Hapana mkuu! watu kama hao unawatoa macho tu halafu unatupilia mbali, watakuwa mabalozi wazuri sana kuionya jamii.
  12. T

    Mjadala mkali kati ya wasomi wa Jamiiforums na Shy land

    Kuna Dr. mmoja wa uchumi ambaye hajui kwanini wananchi wake ni maskini halafu anawaambia atawaletea maendeleo!! je huyo yupo kati ya wasomi au?
  13. T

    Wingu zito mida hii Arusha

    MSALANI atasema chadema wamelipua bomu.
  14. T

    Tarehe 14/10/2014 tunamkumbuka Nyerere kwa lipi?

    1. Sarakikya-Kilimanjaro 2. Musuguri - Mara 3. Twalipo - Songea 4. Mboma - Mbeya 5. Kyaro - Mara 6. Waitara - mara 7. Mwamunyange - mbeya.
  15. T

    Miss Tanzania 2014

    Sasa kama ulifanya ufisadi kama lowasa si ilikuwa haki yako kuwajibishwa!! usidanganye umma kuwa lowassa hakufanya ufisadi.
  16. T

    Shibuda kuondolewa CHADEMA leo

    Cdm wawe wajanja, yaani wakimtimua mwanachama yeyote yule asahaulike kwenye ulingo wa siasa.
  17. T

    Tarehe 14/10/2014 tunamkumbuka Nyerere kwa lipi?

    Na sarakikya aliteuliwa na nani? kumbuka sarakikya ndie mkuu wa majeshi wa kwanza na ametokea kilimanjaro.
  18. T

    Tarehe 14/10/2014 tunamkumbuka Nyerere kwa lipi?

    Halafu kikabila kuna koo zao au familia ambazo hazina watu jeshini au wapo wachache, lakini unaweza kukuta koo vijana labda 50 wote wapo au wanataka kwenda jeshi, na unakuta hawataki kazi nyingine, hao watu nawapata vizuri.
  19. T

    Tarehe 14/10/2014 tunamkumbuka Nyerere kwa lipi?

    Amemaanisha katika wingi wao, ukichukua askari wote kutoka kabila la mwamunyange, mahita, kova na komba hawawezi kufikia hata nusu ya idadi kamili ya askari waliotokea mkoa wa General waitara, hao watu wanapenda jeshi na ndio kipaumbele chao cha kwanza.
Back
Top Bottom