Search results

  1. Kamanda wa Kweli

    Nawezaje kupata Leseni ya Biashara ya online?

    Mkuu, ni ipi tofauti ya TNBP portal na Tausi portal?
  2. Kamanda wa Kweli

    Ninahitaji Mwekezaji kwenye biashara yangu ya uzalishaji wa vipodozi

    Preference shareholder (though dividend policy inakataa, kwa sababu Yeye anakuea entitled to a fixed portion of dividend)
  3. Kamanda wa Kweli

    Fahamu mambo haya muhimu kisheria juu ya umiliki na uendeshaji wa kampuni binafsi Tanzania

    Mojawapo ya changamoto kwenye haya mambo ni ulinzi Wa mali. Miezi kadhaa iliyopita kuna mchezaji alikuwa na kesi, aliyoshitakiwa na mtu ambaye inasemekana aliwahi kuwa mpenzi/mke wake. Lengo la huyo mwanamke lilikuwa kupata mali za yule mchezaji. Walakini baada ya kesi, ilikuwa kugundulika kuwa...
  4. Kamanda wa Kweli

    Je, unakwama kusajili kampuni au jina la biashara BRELA?

    Naomba elimu kuhusu "Group of Companies". Inakuwaje mtu/watu wanamiliki Group of Companies na ndani yake kunakuwa na kampuni nyinginezo? Ahsante!
  5. Kamanda wa Kweli

    Kufanya biashara ya ubia partnership na mbongo bora pesa yako ujenge nyumba ya wapangaji

    Kuwajenga watoto tangu wakiwa wadogo... nimekuelewa mkuu. Nimeona maelezo ya mzee Wa NJEE YA BOX (Mh. Kigwangala) mitandaoni, nimeona maelezo yake jinsi alivyoibiwa, na watu aliowaamini. Pia ulisoma michango (comments) za watu wengine nao wanalalamika kuibiwa na ndugu nk. Suluhisho kwa watu...
  6. Kamanda wa Kweli

    Kufanya biashara ya ubia partnership na mbongo bora pesa yako ujenge nyumba ya wapangaji

    Mkuu kufanya na mtu ili ufanikiwe ufanyaje? Maana naona bado watu wanapigwa pia.
  7. Kamanda wa Kweli

    Kufanya biashara ya ubia partnership na mbongo bora pesa yako ujenge nyumba ya wapangaji

    Swala la ubia, swala la kuajiri ndugu na watu wasio ndugu....ni kilio kikubwa Tanzania, ni nini suluhisho la kudumu la hili?
  8. Kamanda wa Kweli

    Nimemuajiri mtu ndani ya mwezi 1 kaanza kuniibia

    Automating...!!! Bila shaka ni kitu muhimu sana kwenye biashara, vilio vya kuibiwa vimekuwa vingi sana,watu wanaibiwa na ndugu Wa damu, njia nzuri zaidi ni ipi mkuu? Mfano mtu una duka la kawaida tu, au mtu anatuma pesa anunuliwe mali mfano mazao, Lakini anatapeliwa, katika vitu kama hivyo; nini...
  9. Kamanda wa Kweli

    Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    Ukianza sasa hutaanzia chini bali utaanzia kwenye elimu na uzoefu ulipota kutokana na tukio hilo. Hongera sana mkuu
  10. Kamanda wa Kweli

    Je, ni mfuko gani wa UTT AMIS uko vizuri zaidi?

    Na siyo lazima siku kumi, yaweza kuwa hata siku moja au mbili.
  11. Kamanda wa Kweli

    Kupitia UTT, Ninahitaji milioni 2 kila mwezi

    Bila shaka hiyo ni kwenye bond fund ambayo unakuwa umeweka 5m, wanasema ukiweka 10m unapata gawio kila mwezi.
  12. Kamanda wa Kweli

    Niko njia panda yenye maumivu moyoni: Biashara yangu imelala sana je, niende kwa mganga?

    Nachezaje na ulimwengu Wa roho ndugu? Naomba elimu tafadhali
  13. Kamanda wa Kweli

    Haya matukio yamenifanya nijitafakari upya tabia zangu

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Daah Raha sana
  14. Kamanda wa Kweli

    Haya matukio yamenifanya nijitafakari upya tabia zangu

    [emoji23][emoji23][emoji23] Hasa ninyi wandani (introverts) Tatizo kuna Raha sana kuwa mwenyewe mwenyewe, hakuna usumbufu, ni Raha tu. Naweza kuamua kutafuta sehemu iliyotulia mfano kwenye miti nikatulia zangu, au kukaa ndani siku nzima...yaani kuna Raha sana...hayo mengine sasa
  15. Kamanda wa Kweli

    Waajiriwa wote sio matajiri?

    Tuseme siyo cash tu, walakini cash pia ni sehemu ya utajiri
Back
Top Bottom