Search results

  1. Mwanamayu

    Nitawashangaa Wanawake kama Watashindwa Kumuunga Mkono Rais Samia Uchaguzi wa 2025 Kwa Juhudi anazofanya Kuwakomboa

    Hapo kwenye kuchangia fomu ya kugombea Urais, kwani mambo haya yameanza rasmi kisheria?
  2. Mwanamayu

    Rais wa China atangaza Majeshi yakae tayari vita kubwa baharini

    Unatangazaje vita baharini bila kumtaja adui huyo utakayekabiliana nae huko baharini?
  3. Mwanamayu

    Rais wa China atangaza Majeshi yakae tayari vita kubwa baharini

    Nchi moja tu mpaka sasa ndio ilioachilia bomu la nyuklia.
  4. Mwanamayu

    Tuheshimu Katiba. Uchaguzi Mkuu ufanyike 2026

    Makamu wa Rais anachaguliwa na wananchi au anateuliwa na kuthibitishwa na Bunge. Soma ibara hizi za katiba ya JMT 47(2) na 50(4).
  5. Mwanamayu

    Tuheshimu Katiba. Uchaguzi Mkuu ufanyike 2026

    Hili sio suala la fani, bali la kusoma na kuelewa.
  6. Mwanamayu

    Tuheshimu Katiba. Uchaguzi Mkuu ufanyike 2026

    Soma tena vizuri katiba kwa kuangazia ibara ya 40 kifungu kidogo cha 4. Uchaguzi mkuu ni 2025 kwa mujibu wa kifungu hicho. Pia, Rais Dr Samia akigombea 2025 na kushinda, hataruhusiwa tena kikatiba kugombea.
  7. Mwanamayu

    Kwanini Kwaresma inaonekana haina uzito kuliko Ramadhani?

    Si vyema kulinganisha vitu visivyolingana!
  8. Mwanamayu

    Nina mke mjeuri sana. Naombeni mnishauri

    Hapo kwenye kupiga sana ndio ulikuwa unajiongezea urefu wa shimo uliotumbukia.
  9. Mwanamayu

    Dkt. Hussein Mwinyi adai Mzee Mwinyi hakuagiza azikwe Mkuranga

    Mheshimiwa ni vyema ukawa mpole tu, kwani huko Zenji wana siasa zao. Ingawaje sijui kama wewe sio Mzenji. Ila kama ni Mzenji, hiyo ndio siasa yenu.
  10. Mwanamayu

    Dkt. Hussein Mwinyi adai Mzee Mwinyi hakuagiza azikwe Mkuranga

    Hayati mzee Mwinyi katuachia urithi mzuri sana, yaani kile kitabu chake. Humo kaeleza mengi tu. Hayo yanayotokea ni 'Uzanzibari na Uzanzibara.'
  11. Mwanamayu

    Ila tuache masihara huyu dada mzuri aiseeeh.

    https://youtu.be/EpUtMQhY2Sc?si=P08boaECIpUnQ7bQ
  12. Mwanamayu

    Ila tuache masihara huyu dada mzuri aiseeeh.

    Haujakosea kwani kuna msemo 'uzuri upo kwenye jicho la mtu.' Tafadhari, jaribu kuchamua huo uzuri wake, mfano, midomo, miguu, na kadha wa kadha. Halafu mbona eneo la V pamevimba kidogo, au ndio uzuri wenyewe? Hajabana tumbo kweli na yale mamikanda yao?
  13. Mwanamayu

    Mtu anayeweza kutoa ushauri mzuri kwa Watanzania kuhusu mtindo wa maisha (lifestlye) ni Rais Mstaafu Mzee Ali Mwinyi

    Sio kwamba tumechelewa kuuliza, kwani ana uwezo wa kuyaeleza hayo, ikiwemo kumbukumbu?
  14. Mwanamayu

    Kama sisi ni umbwa hao watoto ni wanani nawauliza?

    Ni msemo tu usiomaanisha mnyama mbwa, wala usiangaike nao.
  15. Mwanamayu

    Madaraka Nyerere: Matusi niliyotukanwa yangekuwa mtaji ningeanzisha benki

    Nina mashaka makubwa kuwa jamaa alikumbwa na hallucination wakati aki-confirm ile sanamu!
  16. Mwanamayu

    Madaraka Nyerere: Matusi niliyotukanwa yangekuwa mtaji ningeanzisha benki

    Mkewe ndio angetoa jibu sahihi kuliko watoto, kwani alikutana na Nyerere kabla ya watoto kutokea!!
Back
Top Bottom