Search results

  1. Suzie

    Samson Mwigamba 'atimuliwa' uongozi ACT-Tanzania, Prof.Kitila, Mchange wapewa karipio kali

    Hivi messenger akitumwa kupeleka mizigo posta inamaanisha ni ya kwake?????
  2. Suzie

    Miraj Kikwete: Mimi na dada yangu Salama hatumiliki Kampuni ya Simba trust

    Sasa mbona wewe umeleta maneno bila vithibitishi alafu umekuja kwa nguvu kubwa ya kujiamini. Wasomi wetu jamani ni bure kabisa
  3. Suzie

    Kunyonya matiti wakati wa tendo

    Umekosa kutumia lugha jifichi?
  4. Suzie

    Kunyonya matiti wakati wa tendo

    Msaidie tu. Nimesoma heading hapa nawaza tu
  5. Suzie

    Vita ya CHADEMA na CCM ya hamia kwa OCD na Mhe. Lema

    Kuna sheria inasema ukichokozwa upige?
  6. Suzie

    Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri - Jan 19, 2014

    Aliyelinukuu vizuri baraza lote atumwagie jamani
  7. Suzie

    Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

    Si bure una lako jambo, umekaa naye mpaka mmepata mtoto ndo vijambo vinakukwaza?
  8. Suzie

    Majangili waua tena faru Serengeti, jana usiku!

    Umeongea kitu kidogo lakini kina maana kubwa kwa mwenye akili. Utakuwa ni mmoja wa vipaji tunaopatikana hapa JF. Nimekupenda bure
  9. Suzie

    CCM yapita bila kupingwa Lushoto

    JF ndio makao makuu ya Chama? Je ulitaka kugombea chadema wakakuambia hawataki kuweka mgombea?
  10. Suzie

    Dr.Kitila Mkumbo: Tunahitaji mbadala wa CCM na CHADEMA

    Kitila nenda mwana kwendraa bwana acha kugeuka nyuma utageuka jiwe la chumvi bure. Umeona vyama ni CCM na chadema tu? Anza kuongelea CHAUMA
  11. Suzie

    Diamond Platinumz amiliki gari ya thamani kubwa

    Kurekebishana kupo na kwakuwa umelirudia hilo neno kuanzia kwenye heading na content ina maana hulifahamu naomba leo nikufahamishe mkuu THAMANI sio DHAMANI Najua sitakukwaza ila nitakuwa nimekusaidia
  12. Suzie

    Hivi kwanini Lowassa anachukiwa na viongozi wa CCM?

    Lowasa anachukiwa na ccm kama CCM wanavyoichukua chadema. Kwa ufupi CCM hawahitaji suluhisho la maisha magumu Tanzania ili waendelee kupitisha madawa yao ya kulevya
  13. Suzie

    Sala zenu kwenye interview ya PCCB

    Hivi ushadownload amptitude questions ukazifanyia mazoezi au uko bize JF alafu unategemea maajabu
  14. Suzie

    Mbunge wa CCM Luhaga Mpina azomewa kwenye mkutano wa Aggrey Mwamri Meatu. Kamanda Mawazo anahusika.

    Vipi rambirambi ya Mwangosi umeshaiwakilisha kwa mkwe
  15. Suzie

    Airtel wapandisha gharama

    Ila bado wako chini, ngoja kesho nikapate line yao hawa VODA wanaua sana, Tigo ndo kabisa wanakupa gharama nafuu lakini ukipata net unanyoosha mikono kushukuru
  16. Suzie

    Mwenye CV ya Mbwiga

    Unahisi na mimi nikiipata nafasi ya mbwiga nitaona nimepata riziki? Usitake nikufuru mkuu
  17. Suzie

    Mwenye CV ya Mbwiga

    Kiufupi ni chachandu yao. Hivi definition ya Mtoto wa mjini ndo ikoje
Back
Top Bottom