Search results

  1. K

    Kwanini sadaka la makanisa ya kiroho hazitangazwi kwa waamini wao?

    Ndugu tangu lini mtu akatangaza mali ya kupora? Hayo makanisa ni full wizi na utapeli tu. Mchungaji mkewe na watoto ndo heads of the kanisa waumini nao hawahoji kitu ila akili zao zimeganda kwenye kutoa tu au eti kupanda ili Mungu awatendee miujiza. Nk wizi tuu
  2. K

    Hamisi Damumbaya hafai kuwa Mlimani TV

    Lakini jamani siyo kweli kwamba samaki mmoja kioza basi eti wote wameoza, japo kuna wengine hapo Mlimani TV lakini siyo kwamba nao ni kama huyo mnayemlalamikia, mwacheni afe kivyake, na wengine wasafi wanaopeperusha bendera ya Mlimani Tv vizuri tuendelee kuwapongeza ili kuwapa moyo wa kuzidi...
  3. K

    Mtangazaji Dambaya TV mlimani, ana matatizo ya kuunda maswali

    Mtende, kujua Kiingereza siyo uhakikisho wa kuwa na busara wala akili, hapo kwenye tabia za Kiswahili ndiyo umenigusa, mara nyingi watu wenye tabia za Kiswahili swahili hata wasomeje madarasa na madarasa huwa ni punguani kwa baadhi ya mambo, na huyuo bwana ashajamba, avumilie tu ushuzi wake...
  4. K

    Sitta: Nafaa kuwa Rais wa Tanzania!

    Anajipendekeza na kujisafisha kwa serikali yake baada ya kukosa uspika, sasa alivyopata nafasi hiyo anataka kudhihirisha kwamba yuko bega kwa bega na serikali yake kumbe kuvichana vyombo vya habari anaashiria hatari ya kumbomoa kwa sababu ndivyo vilivyompandisha na ndivyo vinavyoweza kumdidizima...
  5. K

    Msaada wa kuchapisha kitabu

    Wandugu wapendwa. Salamu nyingi sana. Mimi ni mwanachama wa JF kwa kitambo sasa. Nina ombi ninaloomba waungwana mnisaidie. Nimeandika mswada wa kitabu kinaitwa Harakati za Fungate, Lizame Tugawane Mbao. Kitabu hiki kina mambo mengi ya kijamii (sana) kinazungumzia mtu mmoja aliyezaliwa kijijini...
  6. K

    Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    Fadhili Mawese, Kigoma kwenda Kibondo kupitia Kasulu. Likikupita utalipata tena baada ya wiki miaka kama 40 iliyopita hapo
Back
Top Bottom