Search results

  1. E

    Ufunguo unashindwa kuwasha injini ya gari

    Pole sana! Ita mafundi professionals wafanye pairing ya ufunguo na gari yako. Yaani kuufanya ufunguo na gari viwasiliane ama viongee lugha moja. Kwa namna ulivyoelezea, inaonekana ufunguo na gari haviwasiliani. Sijui umepatwa na nini ikawa hivi, but hiyo changamoto ni ndogo sana. Kila la kheri.
  2. E

    Nimemuonea huruma mume wangu baada ya kukagua simu yake

    Tuheshimiane tafadhali! Wasiochepuka tupo hata kama tuko wachache. Wakiisha nitabaki mimi
  3. E

    Data analysis bure!

    Habari wapendwa! Karibu nikufanyie data analysis bure kwa mahitaji mbalimbali. Inawezekana una repoti kazini,shuleni, au chuoni, Inawezekana unataka kujua ufanisi wa mradi wako kwa kadri ya malengo yako, Inawezekana una utafiti wako unaufanyia kazi na unahitaji majibu ya swali kuu, Inawezekana...
  4. E

    *NATAFUTA KIWANJA CHA KUJENGA KIBITI AU IKWIRIRI*

    Kama uko serious, nitafute. Mimi ninacho pale pale Ikwiriri. Kama unapajua vizuri pale Ikwiriri centre, upande wa kushoto wa barabara kuu kama unatoka Dar kwenda Lindi, kuna vijiji vinaitwa Umwe (Umwe Kusini, Umwe Kati, na Umwe Kaskazini). Changu kiko Umwe Kaskazini, unaingilia pale ilipo bar ya...
  5. E

    Hivi unajua bia moja kwa siku inaweza kubadili maisha yako?

    Umeandika vizuri Mkuu! Ila kuna kitu tuliwahi kukubaliana nikaanza, kufanya upande wangu kwa mwongozo wako then nikakutumia kwenye email lakini hukuwahi kujibu. Ilikuwa ni kuandika business plan. Kama uko vizuri niambie tumalizie kazi ile. Nawasilisha.
  6. E

    Mchanganuo wa Biashara (Business Plan) - REQUESTS

    Safi sana. Nimeku-PM shida yangu, majibu tafadhali!
  7. E

    Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

    Mkuu Malila, nimeku-PM kukuomba msaada wa mawazo kuhusu miti. Ikikupendeza na nafasi ikakuruhusu, naomba jibu lako
  8. E

    Biashara ya pikipiki aina ya boxer au fekoni.

    Kuna watu wachache sana wa aina yako; si rahisi kutukanwa, pengine hata na mtu usiyemfahamu, kisha ukajibu kwa upole na toba. Inawezekana kabisa "Mbingu" ni ya watu wa aina hii. Umenitia moyo sana. Tulio wengi tunalipiza ovu kwa ovu zaidi! Asante sana pia kumpatia ndugu ushauri mzuri juu ya...
  9. E

    Wachagga + Escudo + Mbezi kimara

    Red: Probably something to do with the Network theory of migration
  10. E

    Juice kwa kiswahil 2iteje?

    juice = togwa
  11. E

    Survey your plot at a reasonable cost.

    Mkuu, unless hauko serious na unachokisema, sidhani kama una sababu ya msingi kutotoa details hapahapa mpaka utumiwe PM. Kama unamaanisha ukisemacho, sidhani pia kama unafanya bure kazi yenyewe. Naamini clients wanalipia huduma hiyo - na automatically the more clients you have the more money you...
  12. E

    Nimetembea na shem pasipo kujua

    Haiwezekani!
  13. E

    Dk. Slaa aichafua CCM; Kuwaponza vigogo

    CCM wanapojifunga goli lawama zimwendee nani? Prudence Karugendo JUMA lililopita nilionyesha jinsi kanuni mojawapo, katika mpira wa miguu, inavyoweza kutumika vilevile kwenye ushindani wa kisiasa na kuleta manufaa yale yale yanayokuwa yamelengwa na kanuni hiyo katika mchezo wa mpira wa...
  14. E

    Orodha ya watu walio pona LOLIONDO HII HAPA

    Asante kwa nia yako njema kutujuza, lakini hizo tarehe sizielewi kabisa, kwani naona bado ziko mbele. Weka sawa tafadhali
  15. E

    Kwanini mbwa ni wachache lakini ng'ombe ni wengi japo kila siku wanachinjwa?

    Kwa nini kulinganisha Mbwa na Ng'ombe? Umetoa takwimu ya ng'ombe wanaochinjwa kila siku, lakini hujasema ni mbwa wangapi wanapoteza maisha kila siku. Pia ni katika muktadha upi unasema mbwa haliwi? Umesahau ule msemo wa chatu na mbwa? Mbwa pia ni kitoweo kwa baadhi ya jamii sehemu mbalimbali...
  16. E

    Msomi wa IT anapotongoza.

    Ona huyu naye: INSTALLING HUSBAND!!! A woman writes to the IT Technical support Dear Tech Support, Last year I upgraded from Boyfriend 5.0 to Husband 1.0 and I noticed a distinct slowdown in the overall system performance, particularly in the flower and jewellery applications, which...
  17. E

    My Wife wa rafiki yangu anataka nimchakachue

    Kufanya kazi ya Mungu siyo mpaka kwenye nyumba za kuabudia. Hongereni sana JF great thinkers. Watu wamemshauri huyu ndugu kwa busara sana na kwa moyo wao wote, nami naunga mkono hoja zao: Kaa mbali na huyo mwanamke tafadhali. Kikubwa tu usije kuwa ulishaharibu then ukaja kutafuta ushauri!!
  18. E

    Clinic on the Meaningful Modelling of Epidemiological Data

    FYI: The South African Centre for Epidemiological Modelling and Analysis (SACEMA), in collaboration with the African Institute for Mathematical Sciences (AIMS), is holding a 2 week modelling clinic that will emphasize the use of data in understanding infectious disease dynamics. The Clinic...
Back
Top Bottom