Search results

  1. neutral G

    Swali kwa akina Sisters

    Hofu, kuhamisha mawazo muda Ukifika, hisia ziko mbali tofauti na wanaume, maandalizi yao si ya papo kwa papo wengi inabidi uwaandae hata siku nzima kwa msg, kumuonyesha upendo, kumchokoza anajiandaa hata kabla hujafika. Ukimuudhi tu km hajalitoa moyoni vigumu kuenjoy penzi hata karne na karne.
  2. neutral G

    Je, Sirro atapokea malalamiko ya wavamiwa?

    Alishaambiwa "I wish, I could be" sidhan km anao huo uthubutu tn n nafac yake atayeyuka kabisaaaaa tusijue kapotelea wapi. Vita n Vita muraaaaa
  3. neutral G

    Kosa kubwa analifanya Rais nikudharau hata wale wamemfikisha alipo je atadumu?

    Haka ni kasayari kapya tunaishi kamegunduliwa na mfalme na mwanamfalme. Hata namba zake bado sijazielewa natakiwa nizisomaje. Hii ni zaidi ya ccm ileile/mbele kwa mbele.
  4. neutral G

    Jamani tusemeni tu ukweli, Mange Kimambi is a Tanzanian hero

    Kwangu mm namsifu sana Mange kwa anachofanya. Wakatae kumuita the Hero ama wakubali kwangu mimi atabaki kuwa mwanaharakati mwenye nia njema na nchi hii. Ana uthubutu na hata ukifuatilia comments Za followers wake wapo watu toka nchi mbalimbali wanamsifu kwa jitihada anazofanya. Km hajui...
  5. neutral G

    Rais Magufuli amkingia kifua Paul Makonda. Asema yeye ndie anapanga nani akae wapi!

    Yani tunapoelekea msishangae kuona mwana mpendwa/kiumbe anaanza kuwachapa watu wazima vibao/fimbo hadharani pale wanapokosea Cz hiyo ni sehemu ya majukumu yake na yamepewa kibali
  6. neutral G

    Rais Magufuli amkingia kifua Paul Makonda. Asema yeye ndie anapanga nani akae wapi!

    Sidhan km hapa ana nguvu tn aiseee. Haitosaidia kitu tn
  7. neutral G

    Tanzanian doctors to arrive in Kenya by April 2017

    Hili game nalifananisha na mwanamke anayenyanyaswa na mumewe mkoa Mzima unajua na juhudi za kuwasuluhisha zimeshindikana ingawa mwanamke bado anapenda kuendelea kuishi na watoto wake Ila anatokea mwanamke toka mkoa wa jirani anaambiwa na baba yake mwanangu nenda kaishi naye wewe huyo mwanaume...
  8. neutral G

    Msimsumbue Makonda kuhusu vyeti au tuhuma zozote, mwenye mashaka atoe vithibitisho

    Utamu utawauwa wengi c kwa mahaba hayo kwa mwanaume mwenzako anayedhulumu haki Za watu mchana kweupeeee na facts zipo wazi. Nakumbuka kauli ya mkulu aliyepita wakati anaapishwa alisema Ukipenda kula vya wenzio sharti nawe ukubali kuliwa. Ss vingine vinapalia. Na shetani akishakuchoka kwa...
  9. neutral G

    Dharau uliyoonesha Makonda ni ya kiwango cha PhD

    Anajua kumshika mtu kuliko muhusika mwenyewe
  10. neutral G

    Makonda aporomosha matusi kwa mhariri wa gazeti baada ya kuulizwa kuhusu cheti chake cha Form four

    Para ya mwisho cjaielewa kabisaaa. Huyo kijana anasema kaisahau namba yake na ya shule alipofanyia mtihani??? Ama kaisahau namba ya shule na ya makonda alipomalizia form four??? Mwandishi naomba uanzie naye hapa aiseee kuna jambo hapa. Km nimeelewa vizuri ni yeye. Haiwezekani kabisaaaaa...
  11. neutral G

    Hivi ni kweli Serikali ya awamu ya tano imedhamiria kuleta mapinduzi ya viwanda?

    Jmn, mm nilihudhiria mkutano mahala fulan mwaka jana kulikuwa na wabunge wengi tu wa ccm na walipewa nafac kuongea walialikwa km wageni ili waalikwa wengine wapate dondoo mbili tatu toka kwao. Ss theme ya mkutano huo ilibeba ujumbe kuhusiana na kauli ya mheshimiwa kuhusu uchumi wa Viwanda...
  12. neutral G

    Serikali tuelezeni makanisa yanakusanya kodi ya 10% kwa kutumia sheria ipi?

    Hv ujue nilikuwa napita hii kitu bila kuisoma nikiwa najiuliza maswali tu kanisa gani linatoza kodi!!!! Kumbe fungu la kumi ndio unaita kodi Aiseeee angalia Mungu asikuadhibu na pengine hujui maana/faida ya fungu la kumi. Fungu la kumi limeanzishwa toka enzi za kina Kaini na Abeli. Na ni...
  13. neutral G

    Uchaguzi wa Rais wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS) ni tarehe 17.03.2017 jijini Arusha,

    Kwani zile unazopigaga mitandaoni ama kupitia vituo vyenu fake kwa viongozi wenu wa fisiem kumbe nawe huwaga mtoto ama kiroho kinakuuma?? Km mfanyavyo tn kwa uwongo mkubwa ndio linalotendeka hapa in reality kujua mwelekeo wa watu upo kwa nani
  14. neutral G

    Mbeya : mama afukua kaburi la mwanae

    Mbona mchungaji hajamsindikiza??? Siku hizi kwa kweli makanisani hasa ya kisasa yanashida sana. Kila kukicha wachungaji wanaibuka na mapya na wanajua sana kucheza na akili za waumini wao na hali ya maisha ya kila siku anayokabiliana nayo mwanadamu. "kweli watu wangu wanaangamia kwa kukosa...
  15. neutral G

    Kituko Makongo Juu, waweka msiba kumbe hajafariki

    Ss mbona sikuelewi naona acha ujinga....kwani hiyo post uliyonidirect na hicho nilichoandika kina tofauti gani??? Mm nilikuwa namuelekeza huyo aliyewasema wanawake na kumwambia si kila chenye negative impact kwenye jamii kinafanywa na wanawake tu na km n hivyo bac anamaanisha wanawake wote...
  16. neutral G

    Lissu afunguka kasoro alizofanya RC Makonda

    Duh! Embu wakati mwingine tuweke siasa chini then tuseme ukweli. Eti Lissu hana sifa hiyo...jmn..umesahau hata madam Spika aliyepita ameshawahi mkalisha chini bungeni mwanasheria msukuma tn si mara moja na kusema "Lissu amka utusaidie hapa ili tuelewe" na Lissu anawashushia vitu tn kwa lugha...
  17. neutral G

    Kituko Makongo Juu, waweka msiba kumbe hajafariki

    Mcpende kuwarushia tuhuma wanawake kwa kila jambo linaloonekana lina negative impact kwa jamii. Nao ni binadam na wanahisia na mapungufu yao. Mbona mama yako hakukuminya ww hadi umefikia hapo ulipo? So dada zako, mwanao wa kike ukija kupata, shangazi zako na huyo unayemshughulikia taahira asiye...
  18. neutral G

    Tundu Lissu: Kuwataja Vidagaa na kuwaacha Nyangumi/papa si ajabu ni moja kati ya mambo ya hovyo

    Mm naona Lisu hana alipokosea kusema hivyo kabisaaaa. Na inaonyesha anawajua ndio n c yeye peke yake viongozi wengi tu wanawajua wenzao huko wanaofanya hayo madhambi na wengine n wafadhili wakuuuu hukooo. Km Kikwete alikuwa anawafahamu na akatangaza kuwafahamu na alikuwa na mamlaka makubwa sn...
  19. neutral G

    Mugabe asweka ndani mashoga hadi washike ujauzito

    Masikiniiiiii. Mnawaonea huruma wenzenu? Unadhan aliyekutangulia angefanya hvyo ungekuwepo leo hiii ingawa naye umeshindwa kutumia vizuri uwanaume wako? Hongera sn Mugabe.
  20. neutral G

    Mazuri na mabaya ya Rais Magufuli tangu awe rais wa Tanzania

    Walau ubwana na utwana umepungua maana kuna watu walikuwa miungu watu, hata km umejamba kwako yy kackia harufu ikiwa inaishia atakupa jambajamba tu tn la kukuchorea nyumba yako X kuwa inahitaji ibomolewe[emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
Back
Top Bottom