Search results

  1. chumvichumvi

    Mwenye connection na kampuni au viwanda vinavyozalisha sukari hapa Tanzania nipeni nipeleke miwa yangu

    Kwema wana jamvini. Nimelima miwa ya sukari kampuni niliyokuwa naitegemea wameyumba kibiashara. Naombeni msaada kwa mwenye connection na kampuni au viwanda vinavyozalisha sukari hapa Tanzania nijaribu bahati yangu.
  2. chumvichumvi

    Kwa nini iwe hivi katika dini hizi mbili uislam na ukristo??

    Issue ni mapokeo na tamaduni ila kihistoria haswa kwa ukirsto dini hiyo ilianzia Africa na kuenea sehemu zingine za dunia kuna kitabu kinaitwa "We don't want your white Religion" kimeandikwa na Dr. Bruce Britten ukipata nakala kitakusaidia sana
  3. chumvichumvi

    The Four magical Elements Water,Air,Earth and Fire

    Input is not sufficient as per the topic
  4. chumvichumvi

    The brutal words of "Richard Smith", famous British guitarist, during an interview...

    Do you have the article with you if yes please send as pdf if not put the link where it can be trace
  5. chumvichumvi

    Rais Samia aambiwe Makamu wa Rais ni Mkubwa kwa Rais wa Zanzibar, au anafanya makusudi!?

    Jambo hili huwa inategemea na shughuli huskika kwa mfano shughuli za SMZ zote zipo chini ya Raisi wa SMZ ila shughuli zote za Jamhuri Raisi wa JMT ndio boss ila ki-ujumla Raisi wa JMT ndio boss akifutiwa na Makamu wake sababu JMT ndio yenye Tanganyika na Zanzibar
  6. chumvichumvi

    Hakutawahi kutokea Tanzania Rais kama Mzee Kikwete

    JK na JK ndio huwa wanakumbukwa zaidi walijua zama zao zilikuwa zinaitaji nini
  7. chumvichumvi

    Hotuba ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe aliyoitoa jana Aprili 11, 2021

    Thoughtful Sent from my SM-N915F using JamiiForums mobile app
  8. chumvichumvi

    Hivi kuna siri gani askari yeyote akiua huko mbeleni hako mbeleni haji kusumbuliwa na mizimu kama raia wa kawaida

    Wana wa nchi tusaidiane kwenye hili Sent from my SM-N915F using JamiiForums mobile app
  9. chumvichumvi

    Tetesi: Utata mkubwa ripoti ya CAG , kuna uhariri umefanyika

    Kumbe hujaelewa tafuta wataalam wakueleweshe kuhusu ripoti ya CAG kwa ufupi sana kumbukumbu za risiti huwa hazipotei (traceability) Ila katika yote naona hoja yako kuu ni kumtetea mwendazake sasa ungetafuta namna nyingine yenye ushahidi Sent from my SM-N915F using JamiiForums mobile app
  10. chumvichumvi

    Nina nguvu za ajabu mpaka najiogopa

    Wazee wa record keeping
  11. chumvichumvi

    Nina Shahada ya Sociology natafuta kazi

    Mi nimependa jina lako na jinsi Uzi wako ulivyo hongera
  12. chumvichumvi

    Tanzania yadaiwa kujitoa kwenye Mahakama ya Afrika. Amnesty International na UN walaani hatua hiyo. Serikali yatoa ufafanuzi

    Nimelike alafu baadae nikajiuliza nime like sababu wamejitoa au nimelike sababu hicho kitendo kimelaaniwa na amnest + un au nimelike sababu hiyo habari sikuwa na ijua
Back
Top Bottom