Search results

  1. LOGARITHM

    Uchaguzi 2020 Majaliwa anafanya Kampeni kwa kutumia ratiba ya nani? Kwa nafasi gani ya Kitaifa?

    Rejea swali uliloliuliza, halafu uone kama sijakujibu accordingly
  2. LOGARITHM

    Uchaguzi 2020 Majaliwa anafanya Kampeni kwa kutumia ratiba ya nani? Kwa nafasi gani ya Kitaifa?

    Ambamize nani huyo mwoga wa ushindani. Jimboni kwake kaupata ubunge wa viti maalumu? Tunaongelea ukiukwaji wa kanuni na maadili ya uchaguzi.
  3. LOGARITHM

    Uchaguzi 2020 Lissu baada ya kuiteka ngome ya Kanda ya Ziwa, una kazi moja tu ya kuiteka Dar es Salaam umalize biashara hii mapema

    Kura huwa wanapiga vizuri tu kwa upinzani isipokuwa wale wataaalamu wa kutangaza matokeo, wasiohojiwa na mamlaka yoyote ile ndio kiwazo kwa miaka yote hii. Ukiona ccm wanajisifu kushinda kwa kishindo, basi ujue kishindo chao kiko kwa hao wasiohojiwa na mtu yeyote. Full stop!!!
  4. LOGARITHM

    Uchaguzi 2020 Kitendo cha Tundu Lissu kukubalika Kanda ya Ziwa kwa kiwango hiki inaashiria nini?

    Hayo ni majigambo ya wizi wa kura kama kawaida yenu. Sasa, hata wale waliokuwa wanawabeba wameanza kunywea na kulegea. Ibeni kura muone mwaka huu.
  5. LOGARITHM

    Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wajieleza kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, kwanini Maalim Seif (ACT) alimuombea kura Tundu Lissu (CHADEMA)

    Mkuu, hayo mabumunda yamejawa na HOFU ya kuwa chama cha upinzani baada ya Uchaguzi huu. Hofu ya umoja na ushirikiano wa ACT na CDM inawakosesha usingizi.
  6. LOGARITHM

    Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wajieleza kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, kwanini Maalim Seif (ACT) alimuombea kura Tundu Lissu (CHADEMA)

    Ni aibu kuwa Jaji ameshindwa ku-itafsiri sheria kwa facts zilizopo mezani. Sijui ni shinikizo au nikilaza, mii sijui. Lakini mwanafunzi wa mwaka wa pili wa sheria Chuo kikuu angeweza kui-apply sheria husika kwenye facts zilizopo vizuri zaidi. Sio hii michosho ya Msajiri.
  7. LOGARITHM

    Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wajieleza kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, kwanini Maalim Seif (ACT) alimuombea kura Tundu Lissu (CHADEMA)

    Kingereza chako ni majanga makubwa. Bahati mbaya sana kwamba hata hujielewi.
  8. LOGARITHM

    Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wajieleza kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, kwanini Maalim Seif (ACT) alimuombea kura Tundu Lissu (CHADEMA)

    Nakupa ushauri wa bure. Tumia kiswahili, maana kizungu chako cha la kwanza F kinakinaisha.
  9. LOGARITHM

    Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wajieleza kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, kwanini Maalim Seif (ACT) alimuombea kura Tundu Lissu (CHADEMA)

    Japo kingereza chako ni cha shida, omba msaada kwa wenzako urudie kusoma alichokiandika MISSILE OF THE NATION halafu wakusaidie kukuelewesha, ndio urudi hapa. Unachosha na arguements zako za chekechea.
  10. LOGARITHM

    Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wajieleza kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, kwanini Maalim Seif (ACT) alimuombea kura Tundu Lissu (CHADEMA)

    Huna lolote wewe na wenzio isipokuwa HOFU ya UBAMIZWA uchaguzi mkuu kwa CO-OPERATION ya ACT na CDM.
  11. LOGARITHM

    Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wajieleza kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, kwanini Maalim Seif (ACT) alimuombea kura Tundu Lissu (CHADEMA)

    Jibu hilo swali. Acha kupiga chenga. The cited reference is relevant, hivyo jibu swali.
  12. LOGARITHM

    Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

    Waambie ZEC hayo maneno mujarabu kabisa!!!!
  13. LOGARITHM

    Uchaguzi 2020 Rais Magufuli aingilia kampeni za Tundu Lissu Kazuramimba Kigoma

    Kupita sio ishu. Ni hicho alichokifanya.
Back
Top Bottom