Mwakasaka Boaz ni Msomi na Mtaalamu wa masuala ya Uchumi na maendeleo ya kijamii, Nishati Mbadala na Mtafiti wa kujitegemea Anajua kwamba katika dunia hii sababu kubwa na kikwazo kikubwa cha maendeleo ya kiuchumi na kijamii ni kushindwa kufikiri kwa ufasaha (Accurate Thinking). Leo Tuangazie...
USHAURI WA BURE KWA WAGOMBEA UBUNGE-2020
Kwanza nichukue nafasi kuwapongeza wote waliojitokeza kuwania ubunge katika majimbo mbalimbali hususani Boazi Mwakasaka mtia nia jimbo la ubungo kupitia SAU- Sauti ya Umma, Mh Paul Makonda jimbo la Kigamboni kupitia CCM, Mchungaji Josephat Gwajima jimbo...
KUJIFUKIZA (STEAM INHALATION OR AROMATHERAPY)
Kujifukiza (steam inhalation) sio tiba ya corona bali ni njia nzuri sana na sahihi yenye gharama nafuu ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya COVID 19
Kuna hatua mbalimbali ambazo ni lazima zipitiwe kabla havijachimba na kuingia kwenye kuta za...
Hapana ndugu Valuwhanoswela sitafuti uteuzi wowote natoa mchango wa mawazo kama wanajukwaa wengine. Jaribu kusoma maoni na kuyajadili kama yalivyo badala ya kuanza kubashiri..
Mheshimiwa Raisi Dr John Pombe Magufuli hajakosea kabisa kutengua uteuzi wa Mheshimiwa Faustine Ndugulile kwa sababu
-Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inampa mamlaka ya kuteua na kutengua
-Faustine Ndugulile hana uwezo na Sifa za kuendelea kuwa katika nafasi hiyo.
-Faustine Ndugulile...
Kimsingi mkuu Nzelu za bwino, kinyume cha unayosema unaweza kuwa ndiyo ukweli wenyewe wa mambo lakini ni suala linalohitaji akili kubwa zaidi kuweza kutambua hilo.
Raisi John Pombe Magufuli hajakosea kabisa kutengua uteuzi wa Ndugulile
kwa sababu ukimsikiliza Ndugulile na ukachambua...
CHAMA CHA SAUTI YA UMMA -SAU.
Kurugenzi ya uenezi na uchaguzi SAU inawatangazia wanachama wote wenye nia ya kuwania nafasi za udiwani kuwa zoezi la kupokea majina ya watia nia litaanza tarehe 13 Agosti 2018 had tarehe 17 August 2018 saa kumi na nusu alasiri. Nafasi wazi kwa mujibu wa tume ya...
Kuna umuhimu wa kurekebisha sheria za uchaguzi MAANA marudio yatatafuna sana kodi za wananchi kipindi hiki cha hama hama. Tunahitaji viwanda sio wabunge kuhama hama.
Mgombea udiwani Wa chama cha Sauti ya Umma -SAU Bw. Isaack Kireti amepamepata kura 2 kati ya 569 zilizopigwa. Africans Mlay Wa Chadema kura 163. Apaikunda Naburi Wa CCM kura 400 sasa NA asilimia 70%. CCM Hoyeee.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.