kaika somo la biology tunaambiwa mimea kama mnazi inpopinda huwa inafuata nishaaati (mwanga, maji, chakula nk) sasa huko kupinda kwako labda inatafuta mwanga
AHAAAAAAAAAAA UMENIKUMBUSHA HILI SHAIRI, HEMBU TIRIRIKA
UJANA
Ujana kitu kitamu, tena ni azizi sana
Maungoni mwangu humu, nilikuwa nao jana
Kwa wingi katika damu, tahamaki leo sina!
Nasikitika hadumu, rafiki yangu ujana.
Kichwa kimejaa mvi, kinywani meno...
Kama unaweza wakati unamuhisi mnusishe ugoro na hii sio kwa mwanume tuu, hata kwa demu akinusa tuu ugoro yale masalia yanatoka chini wakati akipiga chafya kwa wingi
Kweli umenena tumekua tukimlalamikia kuhusiana na usafi katika machinjio ya ng'ombe ukonga mazizini sehemu ambayo asilimia 70 ya wakaazi wa jiji wanakula nyama kutokea hapo,lakini wapi,hali ni mbaya ni pachafu kupindukia, yaani na mvua hizi hakutamaniki
Wadau naomba msaada mtoto wangu wa miaka 4 na niwa kiume hapendi kula chakula chochote zaidi ya chai na mikate ya boflo.Ukimlazimisha kula kwa nguvu anakula kiasi na baadae anajitapisha.
Nilimpeleka kwa Dkr alitibiwa malaria na kupewa dawa za kupenda kula inaitwa PHAMACTIN lakini wapi hataki...
NA NILICHOGUNDUA NDUGU WENGI WALICHEZA KATIKA TIMU MOJA ZA MITAA KAMA
1. SAIDI JECK (MAREHEMU) , BAKARI JECK NA HASSAN JECK (MAREHEMU)
2. MBWANA SAMATA NA ALI SAMATA
3. Madaraka na Iddi Seleman Kibode
4. HILAL HEMED NA HAMOUD HEMED
5. WAKINA IBRAHIMU MAGONGO
Kuna kipindi mtaa mmoja kulikua na timu za upinzani zilikua zikicheza mpaka ulinzi wa polisi uwepo, mfano kinondoni enzi hizo ilikuwepo mesina zikikutana na faru inakua balaa
Pole sana, wanandoa wengi nyumbani huwa hakuna goli la kurudia goli ni moja tuu, kuhusiana na swala la mtoto mwende hospital mkapimwe, na pia kama kuna style unazijua funguka kwa mumeona umuonnyeshe pengine mwenzio hana ajualo zaidi ya hiyo ya kidogdog, ila nyumba zina mambo mengi sana
Wanajamvi leo tukumbuke timu zetu za mtaani jinsi zilivyoleta mchango mkubwa katika soka la nchi hii kwa kutoa wachezaji wa timu za madaraja ya juu na hata taifa mfano
1. Maumau - alitoka ally maumba
2. Super bomboka - hilal hemedi,hamdu hemedi 9marehem), baby sempoli
3. Ibadan...
Nakumbuka zamani licha ya kuwa na mabasi mengi ya watu binafsi lakini kulikuwa na mabasi mengi ya vyama vya ushirika, kama tadeco,ushirika masaseni, rombo tupendane nk, ila mabasi ninayo yakumbuka hasa kwa mkoa wa tanga ambayo yalivuma sana ni: 1. Ambiance 2. Katiba 3. Mkaramo 4. Shakila 5...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.