Search results

  1. K

    Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    kero zangu ni hizi zifuatazo: 1.wakufunzi kutolipwa fedha za likizo(ubaguzi uliopo kati ya watumishi waliopo chini katibu mkuu na tamisemi kwani hawa wenzetu wa tamisemi kabla ya kuondoka wanalipwa pesa zao tofauti na sisi wa katibu mkuu) 2.waraka wautmishi uliotolewa kwa wakufunzi vyuo mpaka...
  2. K

    Natafuta ajira ya kufundisha sumbawanga au mbeya

    ninataka kujiunga na jwtz ,jamani hivi ni lini wanatoa nafasi hizo nisaidieni wana jamii wenzangu
  3. K

    Mwakaleli na maji(rungwe mashriki)

    Awali ya yote napenda kuipongeza serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzani kupitia cha tawala cha kujivua magamba kwa kutuletea mradi wa maji tena mkubwa katika bonde letu la Mwakaleli. Pia nitakuwa mchoyo wa fadhira nisipo mshukuru mbunge wetu,madiwani wetu,maafisa watendaji pamoja na...
  4. K

    CHADEMA hopeless

    jamani nadhani huyu jamaa hajui kuwa chdema ni mkombozi wa wa Tanzania ya leo ,kwani kuwaelimisha wananchi kujua haki zao na kuzipigania ni huduma ya kiroho sasa wewe unaesema cdm ni hope less unamtukana MUNGU
  5. K

    Vimbano, vimini bungeni vyamkera naibu spika

    hawo ni malaya kazi waliyoendea bungeni ni kuwatega wazeee
  6. K

    Jeshi La Wananchi Tanzania

    usaili na namna ya kujiunga na jwtz ni lini? nisaidieni jamani
  7. K

    How to use JamiiForums effectively

    maisha yanapanda kiasi hiki ivi kweli maisha bora kwa kila mtanzania yanawezekana?
Back
Top Bottom