Search results

  1. B

    Kero ya kuripoti kazini baada ya kupangiwa ajira na sekretarieti ya ajira, halafu unaambiwa urudi nyumbani mpaka upigiwe simu kuitwa!

    Ukisoma Barua Ile ya kupangiwa Kituo inamtaka mwajiri afanye uhakiki Wa vyeti vyako Kwanza ndipo akupokee rasmi. Nadhani hicho ndo kinakula muda
  2. B

    Kwanini Matapeli Wanatumia TTCL zaidi kwenye mawasiliano?

    Mitandao yote inatumika, sema mwandishi wa mada hii yawezekana alitumiwa kwa mtandao wa TTCL au ana jambo lake nyuma ya pazia.
  3. B

    Kwanini Matapeli Wanatumia TTCL zaidi kwenye mawasiliano?

    Baada ya wewe kusikia hivyo ulifanya utafiti kujua ukweli wake? Na je unadhani ni kitu kinawezekana?
  4. B

    #COVID19 Nilivyojisikia baada ya kuchanjwa chanjo ya COVID-19

    Side effects haziwezi kufanana kwa sababu uwezo/kinga katika mwili zinatofautiana kati ya mtu na mtu
  5. B

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Hakika, leo ametoa hotuba fupi lakini ndefu kwa aliyoyaongea. Hakika kiongozi tunaye.
  6. B

    Tabata Kimanga hakuna mtandao wa TTCL

    Nadhani simu yako inahitaji msaada wa kiufundi, network ya TTCL siyo tatizo kwa tulio maeneo haya ya kimanga Sent using Jamii Forums mobile app
  7. B

    TTCL lipeni wafanyakazi wenu, wanaadhirika mitaani

    Sio mshahara ni nauli ya likizo Sent using Jamii Forums mobile app
  8. B

    TTCL lipeni wafanyakazi wenu, wanaadhirika mitaani

    Huo ni upotoshaji wenye lengo na maslahi binafsi ya mtoa mada ambao unatakiwa kupuuzwa. Iweje baadhi ya wafanyakazi wathibitishe kulipwa halafu yeye ndo asilipwe Sent using Jamii Forums mobile app
  9. B

    Wahasibu watatu wa TTCL wapandishwa kizimbani kwa tuhuma za Uhujumu Uchumi

    Katika awamu hii management ya TTCL chini Waziri Kindamba inafuata nyayo za Mh. Rais JPM hakuna mchezo, hatua zinachukuliwa dhidi ya wote watakaofisadi mali ya umma na kuisababishia hasara Serikali kwa ufisadi.
  10. B

    Natafuta RAV4 Old model

    Wakuu natafuta gari RAV 4 old model, Sifa Namba=B/A/C Rangi=nyeupe au silver Mengine majadiliano, bei isizidi 6.5m Niko Dsm Nawasilisha
  11. B

    Kufuatia uhakiki unaohusisha vitambulisho vya NIDA:watumishi wa umma wanaumbuka bila kutegemea

    Kwani alipopewa kitambulisho nikiwa kimekosewa yeye alichukua hatua gani? Sent from my HTC One S using JamiiForums mobile app
  12. B

    Hivi BOT na TCRA wako wapi hizi riba za mikopo ya Tigo na Airtel?

    Utaratibu wa kukopa kwa voda ukoje, sijawahi ona hiyo option/menu
  13. B

    Je wajua?

    Asante sana kwa elimu hii
  14. B

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mi natumia uc mini iko mkeka iko hewan
  15. B

    Misconception kuhusu sisi walaji wa chips

    Mazoezi siyo tatizo, ndo yanayompa support na wala sio chips hizo
  16. B

    Misconception kuhusu sisi walaji wa chips

    Mazoezi ndo yanayompa kiburi hicho na wala sio chips.
  17. B

    Misconception kuhusu sisi walaji wa chips

    Acha hayo mazoezi unayofanya daily uone
Back
Top Bottom